Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Hawaelewi. Mdogo wa umbo mkubwa wa mambo yule.Kale ka-toto kanajua mambo usiyoweza kuyafahamu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaelewi. Mdogo wa umbo mkubwa wa mambo yule.Kale ka-toto kanajua mambo usiyoweza kuyafahamu mkuu.
Baada ya maombi si muunganishe tu ndoa mkuu, kuna haja gani ya kwenda tena guest kuzini?hawa warembo kabla ya kwenda naye gesti house ni kumpeleka kwanza kanisani kwenye maombi.
Tena ni mkubwa na mpana kwa mambo mtoto yule.Hawaelewi. Mdogo wa umbo mkubwa wa mambo yule.
Baada ya maombi si muunganishe tu ndoa mkuu, kuna haja gani ya kwenda tena guest kuzini?
Usimsahau Seki.Mahusiano ya mastaa yakivurugika ata sishangai!
Ila hiyo ya Lulu na matunguli niliwai isikia, sidhani kama ni kweli. Si walisema kua kila mwanaume anaelala nae anakufa kwa sababu ya Kanumba na Komba!
Hirizi si dawa ya penzi
[emoji13] [emoji13] jiulize bila uchawi angekua nje mpaka Leo?!!Du kale katoto tunguli kametoa wapi
tena binamu tujiulize haswaaa....Aaaaaah, hirizi inahema? Loooh mtoto hafai Yule, ukikaona kadogo ila kwa uchawi hakajambo, unadhani mpaka kaangukia kwa CEO mchezo? Watu wanajilipua
ndiyo maana wanakufa kila sikuHaka katoto nuksi kweli kwa ushirikina maana ugomvi wake siku ile na Marehemu ilikuwa hayo hayo mambo ya hirizi..
Kitu kilikuwa kinapumua.
[emoji124] [emoji124]OhoooDuh!!!kumbe kachawi kalitaka kumgeuza jamaa ndondocha nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Angejua nina new model wireless asingepata shida yote hii
umeona eeehh!mi hata sishangai hata kidogosasa nyie kwani lulu mlijua sku zote apate mabwana wenye pesa tu ye K yake ina signature ya Balali au kitu gani?
AHAHAHHAHAHAHHAHAHHAHA
umempatia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji101] [emoji101]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii Kali hii looobonge la hirizi na akalichukua akalirudisha mdomoni akalimeza tena kwa madai mganga kamwambia akiitupa atakufa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we ndo majizzo au mdogo wake?unakuta binti chawi utadhani ndiyo liganga lenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Siku hizi hamposti lastly was January kumpostiNimejikuta kumbe majizo account kaweka private
Lakini si katamu eti?? Popote ulipo Lulu pliiiz naomba uje uniroge na mimi huku.Aaaaaah, hirizi inahema? Loooh mtoto hafai Yule, ukikaona kadogo ila kwa uchawi hakajambo, unadhani mpaka kaangukia kwa CEO mchezo? Watu wanajilipua
lazima aroge maana anapenda high life,hana kazi ataishije na yeye ndo mama wa familiaHawaelewi. Mdogo wa umbo mkubwa wa mambo yule.
Kale ka-toto kanajua mambo usiyoweza kuyafahamu mkuu.
Na wengi walimpa yale magauni ya kupigia picha insta kwa ukaribu wake na Majizzo sasa kama mambo yamekua chali, mjini kutakua shubiri.lazima aroge maana anapenda high life,hana kazi ataishije na yeye ndo mama wa familia