Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Penzi la Lulu, Majizzo chalii..

Mahusiano ya mastaa yakivurugika ata sishangai!
Ila hiyo ya Lulu na matunguli niliwai isikia, sidhani kama ni kweli. Si walisema kua kila mwanaume anaelala nae anakufa kwa sababu ya Kanumba na Komba!
Usimsahau Seki.
 
Aaaaaah, hirizi inahema? Loooh mtoto hafai Yule, ukikaona kadogo ila kwa uchawi hakajambo, unadhani mpaka kaangukia kwa CEO mchezo? Watu wanajilipua
tena binamu tujiulize haswaaa....

kirahisi rahisi hvi hivi.m
 
d48eb6e82a4a99e724721141c26739ed.jpg
ad8ca981278899f4887fb588d17aa0db.jpg
umempatia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji101] [emoji101]
 
Hivi ile kesi ya mauaji ya Steven Kanumba ilishamalizika? Maana sikuifuatilia kabisa. Ila kama bado hukumu basi kweli katoto ni kalozi haka. Ila kanaua sana. Halafu pia kama ni kweli Majizzo kaona uchawi ujue basi na yeye atakuwa amewekwa sana sana kiasi kwamba huwezi muwangia. Tunguli zinazidiana uzito ati.
 
Back
Top Bottom