Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Lulu mjanja, habari za madanga yake unazinyaka kama hivi hasemi na ameshamjengea mama yake nyumba, Wema jina kubwa for nothing na kila kitu kuhusu maisha yake anapost insta.
Si naskia aliuza ile nyumba!!??
Afadhali kidogo kalulu hata hvyo na umalaya wake ana mabwana classic hivi!
 
ahahaaa kuna siku nilimtukana na mimi aliweka viatu nikauliza bei gani akanijibu kwa nyodo nikamuambia utanieleza nini wewe muuaji sugu. damu ya kanumba inakulilia ana nyodo nae?????
Dada! Hiyo uliompa ilikuwa kubwa kuliko.
 
Aliuza maana ndugu waliikomalia sema alikua full documented .
Kuogopa lawama ndo akaipiga being fasta....!![/QUOTE
Ujanja wa Lulu akiwa na watoto wa usuwani ananywea wewe, ndiyo maana na yeye sikuhizi anaiga uswanglish kiaina😀😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti watoto wa ushuani!!
ananywea tumbo!!
 
Najiulizaga, hivi hawa mabinti(bongo movie na wasanii hawana jamii inayo wazunguka, ama ndugu wa karibu wanaoweza wakanya!?, mtoto mdogo kacheza mechi nyingi kuliko Rooney
Mbavu zangu hahahahahaha
 
tatizo kuna sehemu unashindwa kuvumilia,juzi nimekula block la zari
Kilulu sijui kipoje ukikipa ukwel kidogo unakula block
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...hajakublock kwelii....?!!
na majizo ajiandae kufa maana
.yule jini mauti!

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nshakula block mda sana

halafu sikashobikeagi kivile...!!

yule hana tofauti na wauza nyu wa kimboka
 
Back
Top Bottom