Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakumbukaga mine!

Yule ni shidaaahh
Alivyokufa seki sasa Muna ndo alikua anatukana na vitiem uchwara Maaana yy alipumzika IG kwa muda
Yaani wanaume, Seki alikuwa anajiachia na Lulu open kama hana mke🙄🙄
 
View attachment 400906zawadi yako...anataka kumtibu Ba dangote wakati mshua ake anaumwa alikuwa anakula bata na domo China... Sinaga hamu nae asee[emoji31] [emoji31] [emoji31]
Hana lolote Mnafki tu na yy
Wema nae ana sifaaaa!!
Basi tu!
Halafu shoga angu niulize Muna na Lulu ushoga umeisha!???[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]
 
Nahisi kitu ka hicho...muna kang'ang'ana na wema tu mda kile kibibi nacho sikipendagi halafu hakina hata uzuri wowote[emoji124] [emoji124]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anasafiria nyotaaa....

Kafupi halafu kabayaaa!!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakumbukaga mine!

Yule ni shidaaahh
Alivyokufa seki sasa Muna ndo alikua anatukana na vitiem uchwara Maaana yy alipumzika IG kwa muda
Hivi Lulu na muna siku hiz vepee? Naona yuko busy na wema sepetu, nasikia wema anabeba pochi za muna, maana muna siku hiz Ana pesa chafuu
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Muna katoa wapi hizo pesaa...??
 
Hana lolote Mnafki tu na yy
Wema nae ana sifaaaa!!
Basi tu!
Halafu shoga angu niulize Muna na Lulu ushoga umeisha!???[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]
Mwenzangu ndo nilitak kuuliza binamu, maana walivyokuaga mabest nakumbuka muna ndo alikua anampelekea chakula Lulu rumande, walikua close sana siku hiz sijui ushoga umeisha, maana muna nae siku hiz kawa mtamu, Ana pesa chafuu, si unajua tena binamu ukiwa na pesa huwez kuburuzwa ovyo, siku hiz bibie kawa boss wa wema sepetu, muna Ana pesa wema anasubir, sijui kanatoa wapi pesa kale ka andunje
 
Mpk alivyofiwa na bibi ake lulu walienda kuzika wote...
akamsifiasifia

Ghafla alivyompata majay kambwaga Muna

Lulu akiwa na bwana wa maana hataki ushoga anaogopa kuibiwa kama alivyomuiba seki kwa husnaaa

Hafai hata kidogo

Wema nae chizi tu
 
Sasa hayo majina ya wanaochepuka nao na wewe mleta mada ungetuwekea sisi huku j.f ili na sisi tuwajue.hii mada iko ki nafki nafki si ki wivu wivu si kiumbea umbea !!yaani duuu!!!au uchochezi!!![emoji86] [emoji86]
Bora umesemaa
 
lulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
Hata mm sijawahi kuona uzuri wake 360 inambeba sanaa
 
Mapoudar...kinara yule ka cat anasubiri[emoji124] [emoji124]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Kumbeeeee!!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
lulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
hahahaha... we jamaa utakua ulipigwa kibuti tafuta hela bwana acha kulia lia
 
lulu ana uzuri gani mtu hawi mrefu mpaka avae high heels
anakomwe kile kichwa akitaka kujifunga ushungi labda atumie shuka la futi 6 kwa sita
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom