Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzangu...tena nimeona leo IG kwenye page yake, mbona hampost tena?....mandumba safari hii yamefeli si alikuwa Mme wa mtu yule??!Mastaa wa bongo hawaishi vituko. Hivi yale mashauzi ya Dida Shaibu na Mwenyekiti yaliishiaga wapi maana ilikuwa too much.
[emoji101] [emoji101] [emoji101] mwenyekiti yupi???[emoji13] [emoji13]Mwenzangu...tena nimeona leo IG kwenye page yake, mbona hampost tena?....mandumba safari hii yamefeli si alikuwa Mme wa mtu yule??!
Mastaa wa bongo hawaishi vituko. Hivi yale mashauzi ya Dida Shaibu na Mwenyekiti yaliishiaga wapi maana ilikuwa too much.
Hilo ndio tatizo la kuwa demu mrembo sana, mwenye mvuto na superstar
M/kiti wa kata CCM huko bagamoyo..[emoji101] [emoji101] [emoji101] mwenyekiti yupi???[emoji13] [emoji13]
Ungejua alichofanya hamisa usingeongea huu uchafu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yule mama hamnazo kabisa
Mungu nilinde na kizazi changu naskia enzi zake anaenda na bar na lulu halafu anaanza kujisifu mwanangu mzuri Mimi...mwanangu atanletea pesa
So vyote vile mama ndo msingi mkuu!
Alivyokufa Seki nahis alirudi tena kwa Sangoma ktkt dira ya Sangoma kikoo kikasoma majizoo
ndo hamisa alipoachwa hapa na mtoto mdogooo...
Ila majizzo Mungu anamuona Muache àtombewe si ananyakua majini Maimuna yy mwenyewe!!
Seki baada ya kumpata Lulu alikuwa hashkiki nyumbani haonekani na ndani halali! Mmama wa watu akaenda jiunga na kikundi cha kimafia cha wanawake wenye waume matajiri mwanza wanaokomesha nyaku's nyaku's mjini[emoji15] [emoji15] ....kishukuru seki akafa kabla mpango haujatimizwa, manake kilikuwa kinaleta nyodo kwa yule mama ( na ni mlokole)Halafu mkewe mzuri very Classic ladyy!!
Mpambanaji walikua wanajenga hotel Dom Maeneo ya Kisasa!
Mshahar wa dhambi mauti!
Mmmhh!dida nae!!M/kiti wa kata CCM huko bagamoyo..
Yoyote hapa anachambwa!!Mmmh mbona wanawake mnamshambulia sana huyu binti?
Kuna nini nyuma ya pazia?
Ni wivu au roho mbaya?
Wivu wa watanzania mbona hajakamatwa basi au kufatiliwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
team wema ni nyokkkkooooo!!
yaani wale....hapana yaani utahama asubuhi na utafuta acc!!
maana kuna wale visible na invisible team wema anawaeza house girl tu!!
tzshaderooom i
wanamtukanaaaa!!hapohapo anawarudia tenaaa!!
Wema ana jeshi la sisimizi au nyuki...
Wako vizuri wale balaaa!!!
Shoga ya majizo na utajiri wake Mange ashasemaga anauza mapoudaaaa!!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Shoga sikupata!!nipe mchapo!!Binamu nae hukupta umbea
Naon umekuja kumtetea!!!Ungejua alichofanya hamisa usingeongea huu uchafu
Yule nyani mzee haogopi mishaleSeki baada ya kumpata Lulu alikuwa hashkiki nyumbani haonekani na ndani halali! Mmama wa watu akaenda jiunga na kikundi cha kimafia cha wanawake wenye waume matajiri mwanza wanaokomesha nyaku's nyaku's mjini[emoji15] [emoji15] ....kishukuru seki akafa kabla mpango haujatimizwa, manake kilikuwa kinaleta nyodo kwa yule mama ( na ni mlokole)
[emoji16] [emoji16] [emoji16] ...kumbee ndo maana namuonaga na alama ya nyembe kwenye komwe lake...basi huwa sielewiiYule nyani mzee haogopi mishale
Kashaopigwa nyembe kkoo enzi hizo na mke wa mtu mmoja hivii
Lulu hana maana hata kidogo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyembe hizooo!![emoji16] [emoji16] [emoji16] ...kumbee ndo maana namuonaga na alama ya nyembe kwenye komwe lake...basi huwa sielewii
Mwenyewe nakula hii[emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574][emoji23] [emoji23] [emoji23] nyembe hizooo!!
best naona tumevamiwa na team lulu ngoja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mwenyewe nakula hii[emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
disco limeingia mmasai!!
akichambwa wema au wolper watu wamashangilia balaaaa!!
Leo tumegusa jini mauti!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
We wa kike?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nani Kaka yako?! [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]