Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Mastaa wa bongo hawaishi vituko. Hivi yale mashauzi ya Dida Shaibu na Mwenyekiti yaliishiaga wapi maana ilikuwa too much.
 
Mwenzangu...tena nimeona leo IG kwenye page yake, mbona hampost tena?....mandumba safari hii yamefeli si alikuwa Mme wa mtu yule??!
 
[emoji101] [emoji101] [emoji101] mwenyekiti yupi???[emoji13] [emoji13]
Mastaa wa bongo hawaishi vituko. Hivi yale mashauzi ya Dida Shaibu na Mwenyekiti yaliishiaga wapi maana ilikuwa too much.
 
Mmmh mbona wanawake mnamshambulia sana huyu binti?
Kuna nini nyuma ya pazia?
Ni wivu au roho mbaya?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

yule mama hamnazo kabisa
Mungu nilinde na kizazi changu naskia enzi zake anaenda na bar na lulu halafu anaanza kujisifu mwanangu mzuri Mimi...mwanangu atanletea pesa

So vyote vile mama ndo msingi mkuu!

Alivyokufa Seki nahis alirudi tena kwa Sangoma ktkt dira ya Sangoma kikoo kikasoma majizoo

ndo hamisa alipoachwa hapa na mtoto mdogooo...

Ila majizzo Mungu anamuona Muache àtombewe si ananyakua majini Maimuna yy mwenyewe!!
Ungejua alichofanya hamisa usingeongea huu uchafu
 
Halafu mkewe mzuri very Classic ladyy!!
Mpambanaji walikua wanajenga hotel Dom Maeneo ya Kisasa!

Mshahar wa dhambi mauti!
Seki baada ya kumpata Lulu alikuwa hashkiki nyumbani haonekani na ndani halali! Mmama wa watu akaenda jiunga na kikundi cha kimafia cha wanawake wenye waume matajiri mwanza wanaokomesha nyaku's nyaku's mjini[emoji15] [emoji15] ....kishukuru seki akafa kabla mpango haujatimizwa, manake kilikuwa kinaleta nyodo kwa yule mama ( na ni mlokole)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

team wema ni nyokkkkooooo!!

yaani wale....hapana yaani utahama asubuhi na utafuta acc!!

maana kuna wale visible na invisible team wema anawaeza house girl tu!!
tzshaderooom i
wanamtukanaaaa!!hapohapo anawarudia tenaaa!!

Wema ana jeshi la sisimizi au nyuki...
Wako vizuri wale balaaa!!!

Shoga ya majizo na utajiri wake Mange ashasemaga anauza mapoudaaaa!!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wivu wa watanzania mbona hajakamatwa basi au kufatiliwa?
 
Seki baada ya kumpata Lulu alikuwa hashkiki nyumbani haonekani na ndani halali! Mmama wa watu akaenda jiunga na kikundi cha kimafia cha wanawake wenye waume matajiri mwanza wanaokomesha nyaku's nyaku's mjini[emoji15] [emoji15] ....kishukuru seki akafa kabla mpango haujatimizwa, manake kilikuwa kinaleta nyodo kwa yule mama ( na ni mlokole)
Yule nyani mzee haogopi mishale

Kashaopigwa nyembe kkoo enzi hizo na mke wa mtu mmoja hivii

Lulu hana maana hata kidogo!
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] ...kumbee ndo maana namuonaga na alama ya nyembe kwenye komwe lake...basi huwa sielewii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyembe hizooo!!
best naona tumevamiwa na team lulu ngoja[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mwenyewe nakula hii[emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574] [emoji574]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
disco limeingia mmasai!!

akichambwa wema au wolper watu wamashangilia balaaaa!!

Leo tumegusa jini mauti!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom