Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Aaah umenivunja mbavu, muombe aku unblock
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] kwa katoto kale


bahati hiyo haipati katu!!

kwanza hamna cha maana zaidi kikomwe,ufupi na mashauzi!!
 
Mleta hii habari naona kaleta umbeya wa uongo hao wawili inaonyesha bado wanapendana na hawana dalili yoyote ya kuachana!
 
Hii habari hata kanjanja anaweza kaa chini na kupika
 
Hako kalulu kanaishi kwa kuzungusha kiuno mjini,,sasa bila kuwachanganya unadhani kataishije mjini.

Na hiyo naniliu yake itakuwa imeota hadi na Sigda kwa jinsi anavyoitendea haki yake ya msingi
 
Haters at work,
 
Mmnh hivi hii kitu ni kweli??
 
atatetemeka mpk kikomwe mile

yule kugawa must maana umalaya kaanza toka tumboni kwa mama yake!


halafu kule IG nako kaniblock nilimuita jini mauti!
Mmmh ila mm nampenda lulu jamn
 
We acha tuu...yale yale Wema nakupenda kufa! Hivi wanaowasifiaga ni mabeki tatu ama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vitoto vya certificate zoom polytechnical...

wamama wa nyumbani....

visichana vyo hovyo hovyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…