Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama yumo umu naamepitia thread hii basi atakua hana hamu kabisa na Jf make kuna watu wana PhD za kuchamba umu nikiboko.
 
Haka ka manzi kana pepo la ngono kama mnakumbuka marehamu kanumba alijitaidi sana kukatunza na kukalea vizuri. Lakini mwisho wake kakamtesa kwa Julia uroda na wasanii wa bongo fleva

Hata ugonvi wao ulianza kwa sababu ka smat phone ka Manzi kalikua bize sana na wanaume
 
Katuulia msanii wetu![emoji22] [emoji22] [emoji22]
 
Kajala alikua mzuri sana

Sema kajala sasa hivi katulia mnoo

Enzi zake huyuuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Katulia wapi shoga
Siku hizi amekuwa kama dstv Box office unaagiza inakuja
Jana nimekutana naye anatoka hotel flani makumbusho yuko ndani ya brevis jua la saa8 mchana
 
Kwani huyo Majizo hakujua kama Lulu malaya, iweje ampige sasa?
 
Katulia wapi shoga
Siku hizi amekuwa kama dstv Box office unaagiza inakuja
Jana nimekutana naye anatoka hotel flani makumbusho yuko ndani ya brevis jua la saa8 mchana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duhh!!

kweli yule gumegume!!

Ila siku hizi anafanya kimyakimya
Yumkini yule Paula Pfunky kapifwa changa la jicho!

Maana watoto wa Majani wote wanafanana!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duhh!!

kweli yule gumegume!!

Ila siku hizi anafanya kimyakimya
Yumkini yule Paula Pfunky kapifwa changa la jicho!

Maana watoto wa Majani wote wanafanana!
Lazima iwe kimya kimya unajua quick racka ndio kashikilia mapembe
 
Lazima iwe kimya kimya unajua quick racka ndio kashikilia mapembe
Kumbee....!

Halafu huyu K asipoangalia hawa watoto wanaomfunua funua hovyo hovyo..
Watakuja kumgongea mwanawe baadae!

Mtu mzima hajitulizi!!

Wenzie rika lake sasa hivi wako kimyaa!!!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Bina una undugu na Lulu!!!?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwache siku akila block ndio atamjua lulu vizuri
Nakumbuka nilikula block kabla seki le bilionea hajafa
Nikamwambia dogo rudi shule uzuri unachuja huo akatokea msukule wake akajibu ukisoma ww inatosha nikampa kichambo msukule hakujibu tena basi kila nikiingia naona mauzauza nikajua nishafanyiwa rough hapa
Nimegundua zile fan page nyingi ni za mastaa maana ile ya lulu alinijibu md huohuo na block juu
 
nani awafungulie account hao mbuzi ? mimi nilimtukana zari kwenye zarimond daily nashangaa saa hyo hyo nikala block kwa zari na hyo zarimond daily na zarinah_soldier nikashangaa ila nikajua kumbe ni haohao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…