iloveguinness
Senior Member
- Oct 31, 2010
- 176
- 90
Wamekutana hao watajijua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila wanaume wana roho ngumu paka kasingiziwa, chaaaaa....yaani we kabisa umeshuhudia sio kusikia waliomla wote wamevuta tena kila mtu kwa wakati wake na vifo vyao ni vya ghafla ( kasoro Alikiba, cjui ana hirizi nisife[emoji16] [emoji16] [emoji16] )...bado tu mwanaume mwingine unajiweka tu pale?!...kweli K ni kiboko ya Lib0r0...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hawa nao wapuuzi tuView attachment 400689out of topic
View attachment 400689out of topic
Katuulia msanii wetu![emoji22] [emoji22] [emoji22]Haka ka manzi kana pepo la ngono kama mnakumbuka marehamu kanumba alijitaidi sana kukatunza na kukalea vizuri. Lakini mwisho wake kakamtesa kwa Julia uroda na wasanii wa bongo fleva
Hata ugonvi wao ulianza kwa sababu ka smat phone ka Manzi kalikua bize sana na wanaume
Hivi mbona Majizzo huwa hajisoft, mtu una mihela hadi basi!....halafu anafanana sana na Khalid Chokoraa hasa sura[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Jamani
Katulia wapi shogaKajala alikua mzuri sana
Sema kajala sasa hivi katulia mnoo
Enzi zake huyuuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duhh!!Katulia wapi shoga
Siku hizi amekuwa kama dstv Box office unaagiza inakuja
Jana nimekutana naye anatoka hotel flani makumbusho yuko ndani ya brevis jua la saa8 mchana
Lazima iwe kimya kimya unajua quick racka ndio kashikilia mapembe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] duhh!!
kweli yule gumegume!!
Ila siku hizi anafanya kimyakimya
Yumkini yule Paula Pfunky kapifwa changa la jicho!
Maana watoto wa Majani wote wanafanana!
Bina una undugu na Lulu!!!?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Jamani
Kumbee....!Lazima iwe kimya kimya unajua quick racka ndio kashikilia mapembe
kitoombo cha mchana kitamu jamani hadi nimemuonea wivuKatulia wapi shoga
Siku hizi amekuwa kama dstv Box office unaagiza inakuja
Jana nimekutana naye anatoka hotel flani makumbusho yuko ndani ya brevis jua la saa8 mchana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bina una undugu na Lulu!!!?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kitoombo cha mchana kitamu jamani hadi nimemuonea wivu
ni wivu tu unakusumbua
nani awafungulie account hao mbuzi ? mimi nilimtukana zari kwenye zarimond daily nashangaa saa hyo hyo nikala block kwa zari na hyo zarimond daily na zarinah_soldier nikashangaa ila nikajua kumbe ni haohao.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwache siku akila block ndio atamjua lulu vizuri
Nakumbuka nilikula block kabla seki le bilionea hajafa
Nikamwambia dogo rudi shule uzuri unachuja huo akatokea msukule wake akajibu ukisoma ww inatosha nikampa kichambo msukule hakujibu tena basi kila nikiingia naona mauzauza nikajua nishafanyiwa rough hapa
Nimegundua zile fan page nyingi ni za mastaa maana ile ya lulu alinijibu md huohuo na block juu