Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

Eeh watu wamevurugwa sio kwa kichambo hiki, Lulu akisikia huko alipo lazima apate tetemeko la moyo kama sio kupatwa kwa pressure
atatetemeka mpk kikomwe mile

yule kugawa must maana umalaya kaanza toka tumboni kwa mama yake!

halafu kule IG nako kaniblock nilimuita jini mauti!
 
ahahaaa kuna siku nilimtukana na mimi aliweka viatu nikauliza bei gani akanijibu kwa nyodo nikamuambia utanieleza nini wewe muuaji sugu. damu ya kanumba inakulilia ana nyodo nae?????
 
Mimi siku zote nikiwaambia mapenzi sio pesa mnakataa,haya sasa hapa mtasemaje.mwanamke hata umpe nini yani hata umpe pesa hata magari na nyumba.hongera kwa wanawake walioridhika kwa wapenzi/waume zao kwa kuthamini ndoa zao kwa rizki hiyo hiyo ndogo inayopatikana(sio km joyce kiria alivyosema)
 
atatetemeka mpk kikomwe mile

yule kugawa must maana umalaya kaanza toka tumboni kwa mama yake!

halafu kule IG nako kaniblock nilimuita jini mauti!
Aaah binamu mchokozi kweli, aah Mimi kule insta nakua mpole siwachambi, maana wataniblock halafu ntakosa umbea, navumiliaga tu ku comment, aaah chezeya kupenda ubuyu
 
tatizo kuna sehemu unashindwa kuvumilia,juzi nimekula block la zari
 
Aaah binamu mchokozi kweli, aah Mimi kule insta nakua mpole siwachambi, maana wataniblock halafu ntakosa umbea, navumiliaga tu ku comment, aaah chezeya kupenda ubuyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nshakula block mda sana

halafu sikashobikeagi kivile...!!

yule hana tofauti na wauza nyu wa kimboka
 
ahahaaa kuna siku nilimtukana na mimi aliweka viatu nikauliza bei gani akanijibu kwa nyodo nikamuambia utanieleza nini wewe muuaji sugu. damu ya kanumba inakulilia ana nyodo nae?????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...hajakublock kwelii....?!!
na majizo ajiandae kufa maana
.yule jini mauti!
 
Back
Top Bottom