Penzi la Najma na Barack the Prince limefikia wapi?

Waliachana wakarudiana
Wakaachana tena Baraka akapungua sana mwili nikaona wamerudiana tena ndio wakapotea

Mapenzi haya
Uliona wap?

Kama una clip yake ebu na mim nitumie nione [emoji4][emoji4][emoji6][emoji6]
 
Mwenye taarifa zaid atujuze, hii couple sjui imepotelea wap, wakat fulan ilitukimbiza sana mtaani.....Ghafla bin vuu Barcka ze prince kafuta post zote instagram, Najma nae kafuta Picha zote akiwa na Baracka, mlioko mtaa wa pili tupeni ripoti kamili.....
images
Kwani wewe penzi lako na yule kinuka mkojo limeishia wapi ?
 
Mwenye taarifa zaid atujuze, hii couple sjui imepotelea wap, wakat fulan ilitukimbiza sana mtaani.....Ghafla bin vuu Barcka ze prince kafuta post zote instagram, Najma nae kafuta Picha zote akiwa na Baracka, mlioko mtaa wa pili tupeni ripoti kamili.....

images
Tunakata kujua kama kamaliza ile "NYUMBA YAKE" aliyotuonyesha EATV Ujenzi.
 
Back
Top Bottom