Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Jamani niseme ukweli kila nikichunguza penzi la Wema na Whozu naonaga kama limekaa upande mmoja hivi.
Wema anampenda sana Whozu ila kwa Whozu naonaga kama anamtumia tu Wema kufanikisha mambo yake .
Halafu za chini chini inasemekana Wema anatoa pakubwa sana kuliko Whozu . Wema siku zote hakosagi madanga hata mara moja yani unaambiwa ukikaa na Wema simu ya Wema muda wote zinaingia simu za madanga mara kapiga huyu mara kapiga yule halafu sasa wanaompigia kumtongoza wote sio wanyonge kipesa wote wapo vizuri.
Wema jinsi gani anavyompenda Whozu pesa yake nyingi anatumia kumpendezesha Whozu nyingine ndo wanatenga kulia bata.
Ila sasa njoo kwa bwana Whozu yeye bhana unaambiwa asilimia kubwa pesa yake anaitenga kwa ajili ya Lola tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣cha ajabu masikini Wema hata hashtukiii.
Sema bhana tatizo la Wema naye huwa anapenda vibaya sana lakini mwisho wa siku masikini ya Mungu wanamtumia kisha wanamuacha solemba daah 😥
😥😥😥
Sina mengi sana ila namuombea tu kwa Mungu huyu naye asije akamtenda Wema maana nahisi Wema atachanganyikiwa sana na sidhani kama atakuja kupenda tena maisha mwake 🤣🤣🤣🤣🤣