YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Hivi manunu alipatikana, niliskia alipotea au whozu ndo alimpata ndo maana anamtunuku?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Manunu hakupotea Wema anapenda drama tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi manunu alipatikana, niliskia alipotea au whozu ndo alimpata ndo maana anamtunuku?
Ramli chonganishi
Usikute mleta uzi ni mwanaume!
Kwani huwa ina makombo? Si inaoshwa tu jamaniHivi nyuchi ya huyo, hua hanuki kweli?
Maana isha mwagiwa manii za Kila aina
Kwahiyo unatuhakikishia hapa tutakula pilau sio? 😁Nimewahi wajua wote kwa nyakati tofaut nawahakikishia wanapendana.wema anapenda wanaume wacheshi wenye vituko rejea diamond na Idris. Kwenye hilo whozu huwa sio mcheshi tu Bali ni professional comedian .
Uhakika sista.Kwahiyo unatuhakikishia hapa tutakula pilau sio? 😁
Whozu kwao ni wapi,hana wazazi au alikuja dar na fuso la ndiziJamani niseme ukweli kila nikichunguza penzi la Wema na Whozu naonaga kama limekaa upande mmoja hivi.
Wema anampenda sana Whozu ila kwa Whozu naonaga kama anamtumia tu Wema kufanikisha mambo yake .
Halafu za chini chini inasemekana Wema anatoa pakubwa sana kuliko Whozu . Wema siku zote hakosagi madanga hata mara moja yani unaambiwa ukikaa na Wema simu ya Wema muda wote zinaingia simu za madanga mara kapiga huyu mara kapiga yule halafu sasa wanaompigia kumtongoza wote sio wanyonge kipesa wote wapo vizuri.
Wema jinsi gani anavyompenda Whozu pesa yake nyingi anatumia kumpendezesha Whozu nyingine ndo wanatenga kulia bata.
Ila sasa njoo kwa bwana Whozu yeye bhana unaambiwa asilimia kubwa pesa yake anaitenga kwa ajili ya Lola tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]cha ajabu masikini Wema hata hashtukiii.
Sema bhana tatizo la Wema naye huwa anapenda vibaya sana lakini mwisho wa siku masikini ya Mungu wanamtumia kisha wanamuacha solemba daah [emoji26]
[emoji26][emoji26][emoji26]
Sina mengi sana ila namuombea tu kwa Mungu huyu naye asije akamtenda Wema maana nahisi Wema atachanganyikiwa sana na sidhani kama atakuja kupenda tena maisha mwake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mchaga asiejielewaWhozu kwao ni wapi,hana wazazi au alikuja dar na fuso la ndizi
Dah nimecheka kama fala😂Kwanza ni upi msimamo wa Wema na huyo Whozu juu ya suala zima la bandari??
Kmmk kuna watu ni majadidii [emoji36][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa bandari ya nini tena huku?Kwanza ni upi msimamo wa Wema na huyo Whozu juu ya suala zima la bandari??