Penzi la Wema na Whozu nalitilia mashaka sana

Penzi la Wema na Whozu nalitilia mashaka sana

Nimewahi wajua wote kwa nyakati tofaut nawahakikishia wanapendana.wema anapenda wanaume wacheshi wenye vituko rejea diamond na Idris. Kwenye hilo whozu huwa sio mcheshi tu Bali ni professional comedian .
 
Unaweza kukuta mleta mada ni Baba wa familia na anategemewa kumuua nyoka pindi akiingia sebuleni.
 
Ebu weka majina mengine maarufu waliokua wanatumia nione kama nitawakumbuka aiseee....😎
 
Imagine Ndio wewe Unapendwa na pisi kalii,halafu inakuhonga,halafu Kila mara yenyewe Ndio inakuuliza kama utakula Ndio ule,dah mchaga kajipata
 
Tunaomba picha ya Wema ya hivi karibuni ili tuone kama anachokifanya whozu kinasababishwa na jinsi wema alivo
 
Duh! aisee umeamua kumsagia Wema kunguni kiasi hiki jamani 🤔 Kweli binadamu hawana dogo
 
Back
Top Bottom