McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Ukiachana na kipaji chake kwenye muziki,Diamond ni bora sana katika kutengeneza habari za udaku anajua udhaifu wa mashabiki wengi wa muziki wa Bongo fleva na uwezo mdogo wa kufikiri anahakikisha anabaki midomoni mwa watu bila hata wimbo,usishangae kawatengeneza kama kawaida yake na pia uyo mzazi mwenzie nae anajua pia kwenda na mdundo wa dogo maana akijambisha nae anazuga kamaindi baafa ya siku chache mkiamini wamemwagana anawakera kwa habari mpya wakiwa wote Dubai wanakula mbuni kwenye hili atawaburuza sana vilaza.