Mkuu asante kwa kunifungulia hii code nilikuwa najiuliza hii misuli ya mkono si amshauri mume wake aende gym woiii kumbe misuli ya kichwa cha chiniHivi kijana alikut*mba mara ngapi hadi ukanogewa na misuli ya mb*o yake ? Maana nimeona umeionyesha code ya misuli ya mkono kwamba kijana mkono wake una misuli haswa Ila mumeo hana misuli tuliosoma Cuba hio code tumeifumua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie kwani kuna limit uko kwenye kubadili
[emoji23][emoji23] na uzee huu sithubutu kwa wenye midevu acha nisubiri tu masai mwenye kingozi
Hapa jf kila siku tunapigishana kelele na feminist katika suala hilo la kucheat. Huwa tunawaambia ya kwamba kuna tofauti ya kucheat kati ya mwanamme na mwanamke.Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.
Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you
NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Ndio mkuu ni misuli ya somewhere in between kijana kajazia Ila mume hajajazia Sasa shida ndio hio,Mkuu asante kwa kunifungulia hii code nilikuwa najiuliza hii misuli ya mkono si amshauri mume wake aende gym woiii kumbe misuli ya kichwa cha chini
[emoji23][emoji23] Yaani masai popote alipo ajue kuna nafasi yake kingozi oyeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una akili saaaana.
Kingozi hoyee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo veins zinasaidia nini??? Kwenye ndowaMishipa ya damu pacha wake anaitwa Arteries
Daaah ukiamua kuolewa ujue ushamalizana na mambo ya ujana sasa huyu mwenzetu usikute mume aliyemuoa kamkuta bikra ndio shida inapoanziaNdio mkuu ni misuli ya somewhere in between kijana kajazia Ila mume hajajazia Sasa shida ndio hio,
He he labda vile ikisimama na misuli kuonekana anachanganyikiwa ila vijana mna shida sana
Hii ni ngumu mpaka ule udhaifu alioona Kwa mumewe ufutike, usipofutika hawezi msahau kijana, Hawa wanawake wanapenda sana kucompare wewe na wanaume alioparamiwa nao, wanataka wanaume Bora.To be honestly umeyataka mwenyewe but kukusaidia tu usiendelee na huyo kijana.
Kamwe usimlinganishe mume wako na mchepuko, hilo ni kosa la jinai .
Block him kila kona, itachukua muda sana but
After a time utamsahau utaanza kurudi normal otherwise consider ni suala la muda your husb ataja gundua na ndoa yako itaishia shimoni.
Kusafirisha damu kwenye mwili, kwenye ndoa inahusika kwenye mnjunjuano moyo usife bila kupata damu ya kutosha, si unajua ukiwa kwenye kipago moyo unanyonya sana damu
Shikilia msimamo huo kabla semeg Atoto hajakuharibu[emoji23][emoji23] Yaani masai popote alipo ajue kuna nafasi yake kingozi oyeeee
Mimi ni mzeeHe he labda vile ikisimama na misuli kuonekana anachanganyikiwa ila vijana mna shida sana
Kweli kabisa sasa sijui imekuaje au alikua anajaribu kucheat aone kuna radha gani si unajua wanawake mnavyopenda kujaribu jaribu,Daaah ukiamua kuolewa ujue ushamalizana na mambo ya ujana sasa huyu mwenzetu usikute mume aliyemuoa kamkuta bikra ndio shida inapoanzia
Hata mie sijui, ukijua nijuze🤣🤣
Ndio auntie, kuna limit.Auntie kwani kuna limit uko kwenye kubadili
[emoji23][emoji23] na uzee huu sithubutu kwa wenye midevu acha nisubiri tu masai mwenye kingozi
Wenzako wanafanya kwa siri lakini wewe unatoa mpaka codesHappy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.
Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you
NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Ndio hivyo kitu kimesimama misuli yote huha inasoma yaan barabara zote zimejichora km vile hua inabeba chuma au inafanyaga mazoeziHe he labda vile ikisimama na misuli kuonekana anachanganyikiwa ila vijana mna shida sana