Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Hivi kijana alikut*mba mara ngapi hadi ukanogewa na misuli ya mb*o yake ? Maana nimeona umeionyesha code ya misuli ya mkono kwamba kijana mkono wake una misuli haswa Ila mumeo hana misuli tuliosoma Cuba hio code tumeifumua
Mkuu asante kwa kunifungulia hii code nilikuwa najiuliza hii misuli ya mkono si amshauri mume wake aende gym woiii kumbe misuli ya kichwa cha chini
 
Cheat na mzee mwenzio mkikutana mnaongelea ada na ujenzi hata mapenzi yanakuwa hayapo. Hao msingi kiuno utasahau familia na kubaki kuowanisha utamu.
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Hapa jf kila siku tunapigishana kelele na feminist katika suala hilo la kucheat. Huwa tunawaambia ya kwamba kuna tofauti ya kucheat kati ya mwanamme na mwanamke.

Na huwa tunawaeleza ya kwamba mwanamme anaweza kutofautisha kati ya love na sex na mwanamme akicheat ni kwa sababu ya sex tuu wala siyo love.

Ila mwanamke hawezi tofautisha kati ya sex na love, yeye akicheat huwa anaenda mazima mazima. Na ndo maana dawa ya mwanamke anayecheat ni kumuacha tuu.

Ila feminist huwa wanabisha sana na kusema kwamba anapofanya mwanamme na mwanamke anaweza fanya na huwa wanasema kwamba hicho ni kichaka cha wanaume wanaocheat.

Sasa mbishieni na huyo mwenzenu na mpatieni ushauri, kesha nasa uko na anataka vunja ndoa.
 
Mkuu asante kwa kunifungulia hii code nilikuwa najiuliza hii misuli ya mkono si amshauri mume wake aende gym woiii kumbe misuli ya kichwa cha chini
Ndio mkuu ni misuli ya somewhere in between kijana kajazia Ila mume hajajazia Sasa shida ndio hio,
 
Mhmm! Women
 
Attachments

  • Womenmemetemplate.mp4
    1.6 MB
To be honestly umeyataka mwenyewe but kukusaidia tu usiendelee na huyo kijana.
Kamwe usimlinganishe mume wako na mchepuko, hilo ni kosa la jinai .
Block him kila kona, itachukua muda sana but
After a time utamsahau utaanza kurudi normal otherwise consider ni suala la muda your husb ataja gundua na ndoa yako itaishia shimoni.
Hii ni ngumu mpaka ule udhaifu alioona Kwa mumewe ufutike, usipofutika hawezi msahau kijana, Hawa wanawake wanapenda sana kucompare wewe na wanaume alioparamiwa nao, wanataka wanaume Bora.
Mumewe asipoonesha bidii, huyu mtu wa ajabu atamletea magonjwa.
Nahisi Hana akili kabisa.
Mungu mkubwa , soon mumewe atajua na itakuwa mwisho wa ndoa Yao na aibu kubwa kwake.
 
Daaah ukiamua kuolewa ujue ushamalizana na mambo ya ujana sasa huyu mwenzetu usikute mume aliyemuoa kamkuta bikra ndio shida inapoanzia
Kweli kabisa sasa sijui imekuaje au alikua anajaribu kucheat aone kuna radha gani si unajua wanawake mnavyopenda kujaribu jaribu,
 
Sio kwa ubaya ila ukweli ni kuwa utakuwa hujielewi au una wenge la mapenzi lililosababisha uone maajabu kudate na huyo kijana, na hii inaweza kuwa na sababu ya kutoutumia vizuri ujana wako kwa kudate na watu tofauti kipindi bado unajitafuta.

Huyo mmoja tu umepagawa, je ungedate na 10 ingekuwaje? Si ndio ungedata kabisa? Acha ushamba ukichepuka usisahau ulipotoka, kama unahisi mmoja kakudatisha basi tafuta wengine watatu ili ujifunze kubalance shobo na utambue hamna kipya huko nje zaidi ya kukutana na mtu ambae hujamzoea
 
Auntie kwani kuna limit uko kwenye kubadili

[emoji23][emoji23] na uzee huu sithubutu kwa wenye midevu acha nisubiri tu masai mwenye kingozi
Ndio auntie, kuna limit.

Mwe mwe mweeeeh!
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Wenzako wanafanya kwa siri lakini wewe unatoa mpaka codes
 
He he labda vile ikisimama na misuli kuonekana anachanganyikiwa ila vijana mna shida sana
Ndio hivyo kitu kimesimama misuli yote huha inasoma yaan barabara zote zimejichora km vile hua inabeba chuma au inafanyaga mazoezi
 
Back
Top Bottom