Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Sema tu kuwa kijana anakunyonya hiyo mbususu wakati mumeo hafanyi mambo hayo ndio maana unaona mumeo hakufai.

Wanawake huwa hamjui mnataka nn
 
The reason trust in marriage is lost ni malaya kama wewe.
 
We mzinzi dhambi maana huyo kijana kuna siku atakuchoka
Umri wako tafadha
🤔🤔🤔🤔🤔

Siviamini vidada ambavyo Kila baada ya sentensi vinaingizia maneno ya kiingereza.
Muache tu jamaa yetu ,uende kwa kijana wako
Vingi vinatokea Arusha na Kagera-Bukoba na ndio kwanza vimeanza kukijua kiingereza kwa mtu anayechanganya mbili ofauti ni ushamba wa lugha kama hakuna ulazima japo upo kwa asiye mtaalamu wa Kiswahili.
 
Kwani huyo kijana unamhudumia (kumhonga) mahitaji yake muhimu? ila tambua ikitokea amekuchoka (kakuacha)utafanyeje utajiua au utamtongoza mwingine.
 
Gunia mbili za mkaa zitakuhusu ni suala la muda tu.
 
Duh, aisee!
Kumbe wale wanaosema mume akichepuka mapenzi yake kwa mkewe hubaki intact hawajui?!!!
 
Kila kitu duniani ukiamua kinawezekana, unatakiwa kufanya maamuzi magumu na ku-focus na maamuzi yako.
 
Wanaume wamepaniki balaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nyie kuchitiwa kunauma pande zote Jamani iwe ke or me
 
Pole sana I can test your feeling todate
I moved on to save my life and I am okay thanks to God! But surely it was a tunnel that was about to take my life!
Wanawake waache walivyo; Imagine unagundua situation anakuwekea Mazingira ufanye kosa aombe devorce anafail hapo anaamua kukutilia sumu ufe.
Unahitaji neema ya Mungu kujua kwamba Anguko la wanaume wengi Ni mwanamke!
Ukijua Hilo you let it Go!
Mwanamke akishaonjwa na mtu mwingine lazima afanye comparison, your weaknesses become weapons against you!
 
Kila kitu duniani ukiamua kinawezekana, unatakiwa kufanya maamuzi magumu na ku-focus na maamuzi yako.
Kitendo alichofanya kumvulia boychild chupi Ni maamuzi magumu Sana na huku akijua kuwa yeye Ni mke wa ndoa takatifu! Shetani akishaingia hapo kinachotakiwa Ni neema ya Mungu tu! Imagine anaregret lakini bado anammis boychild yani anafanya tendo la ndoa then anapuliza perfume za boychild kuleta hisia!

Kitu ambacho hatujui Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya tendo la ndoa na ngono!

Angalia the end point ya watu waliokiuka viapo vyao vya uaminifu!
 

Tafuta mkobeko mnene kama wa punda! Hiyo ndiyo dawa yake!
 
Mstari wako wa mwisho ndio kila kitu!
Na kitakachofuata atajitahidi
Mh wenzio tuna chepuka kwa akili wewe umezama mazima kwa kijana

Nakushauri tumia muda mwingi sana na mumeo jaribu kutoka nae usiku muyajenge sawa mamy

Anayejua kinachoendela Ni Mwanamke, mwnaume hajui chochote, hapo ndo mwanzo wa mwanaume kuanza kujihoji maswali na ultimately sisi wanaume tukishaanza kuona dalili moja we work on it! Mwanaume atajua and that will be the end!
Mwanamke anayeshindwa kusema "naheshimu ndoa yangu, nawapenda watoto wangu na naijali familia yangu" ni muuaji kama wengine.
 
Ccm chama makini mnooo. Kinapenda kuona vijana wakijadili mambo km haya.kuliko ripoti y CAG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…