Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Once a cheater always a cheater!
Ngoja niongeze viungo. Unapendelea iriki na karaafuu au mdarasini??Hata mimi nimegoma kuinywa hii chai.
🤣🤣🤣🤣 Hata hivyo siruhusiwi kubadili tena eti😭😭😭Auntie libaki hilihili sijui kwa nini nalipenda sana
Halafu huyu mwanamke mwenzetu atakuwa kakutana na wale wanaume wenye midevu [emoji23] nasikia wale lazima wakuchanganye
Iliki shem🤣🤣🤣Ngoja niongeze viungo. Unapendelea iriki na karaafuu au mdarasini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasumbufu Sana just hit and run ndyo sloganHaya ni kuyapelekea moto tu,ukimaliza tupa pembeni
Bhaghosha Sana!Siviamini vidada ambavyo Kila baada ya sentensi vinaingizia maneno ya kiingereza.
Muache tu jamaa yetu ,uende kwa kijana wako
Wewe unashindwa kuoa Kwa sababu ya cheatings??KILA SIKU SABABU ZINAZONIFANYA NIFIKIRIE KUHUSU KUACHANA NA ISSUE ZA NDOA ZINAONGEZEKA
All in all inahuzunisha saaaana.
Veins ndio nn ?? MsaadaIliki shem[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi kijana alikut*mba mara ngapi hadi ukanogewa na misuli ya mb*o yake ? Maana nimeona umeionyesha code ya misuli ya mkono kwamba kijana mkono wake una misuli haswa Ila mumeo hana misuli tuliosoma Cuba hio code tumeifumuaUsivunjike moyo dear..go and marry.. Marriage is the beautiful thing. Kuteleza kupo since we are human beings Ila haituzuii kuonesha upendo Kwa tunaowapenda.
Achana na mumeo nenda Kwa kijana wako.Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.
Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you
NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
🤣🤣🤣Mh wenzio tuna chepuka kwa akili wewe umezama mazima kwa kijana
Nakushauri tumia muda mwingi sana na mumeo jaribu kutoka nae usiku muyajenge sawa mamy
[emoji23] Kweli bwana kuna sehemu niliona mabinti wanavyowazungumzia fanya yote usitembee na mwanaume mwenye midevu kama wale wa makumbusho watakuchanganya kama una mpenzi au mume utamuona takatakaAisee[emoji23] Ngoja nifuge ndevu sasa...
Kupitia wewe hata ile kauli pendwa ya watu humu "tafuta pesa" naona ni ya ovyo tu.... nimejikuta najisikia vibaya sana kuona jamaa anakutunza vizuri pamoja na familia ila bado anasalitiwa na hajui, nawaza mke wangu nae atafanya hivi. Ni huzuni sanaUsivunjike moyo dear..go and marry.. Marriage is the beautiful thing. Kuteleza kupo since we are human beings Ila haituzuii kuonesha upendo Kwa tunaowapenda.
Mishipa ya damu pacha wake anaitwa Arteries
Auntie kwani kuna limit uko kwenye kubadili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata hivyo siruhusiwi kubadili tena eti[emoji24][emoji24][emoji24]
Sasa auntie mbona unanivuruga!! Hata kingozi bado ushahamia kwenye mindevu tena[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Watoto wanne, Nyonyo Lilikua halijalala yoo?? Au Kijana alikupenda hivyo hivyo?? Hakushtuka kuwa anapigwa??Usivunjike moyo dear..go and marry.. Marriage is the beautiful thing. Kuteleza kupo since we are human beings Ila haituzuii kuonesha upendo Kwa tunaowapenda.