Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

KILA SIKU SABABU ZINAZONIFANYA NIFIKIRIE KUHUSU KUACHANA NA ISSUE ZA NDOA ZINAONGEZEKA

All in all inahuzunisha saaaana.
 
Auntie libaki hilihili sijui kwa nini nalipenda sana

Halafu huyu mwanamke mwenzetu atakuwa kakutana na wale wanaume wenye midevu [emoji23] nasikia wale lazima wakuchanganye
🤣🤣🤣🤣 Hata hivyo siruhusiwi kubadili tena eti😭😭😭

Sasa auntie mbona unanivuruga!! Hata kingozi bado ushahamia kwenye mindevu tena🙆🙆🙆🙆🙆
 
KILA SIKU SABABU ZINAZONIFANYA NIFIKIRIE KUHUSU KUACHANA NA ISSUE ZA NDOA ZINAONGEZEKA

All in all inahuzunisha saaaana.
Wewe unashindwa kuoa Kwa sababu ya cheatings??
Cheating zilianza tangu Zama za yesu Ila ni vile hakukuwa na social media za kushea info

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usivunjike moyo dear..go and marry.. Marriage is the beautiful thing. Kuteleza kupo since we are human beings Ila haituzuii kuonesha upendo Kwa tunaowapenda.
Hivi kijana alikut*mba mara ngapi hadi ukanogewa na misuli ya mb*o yake ? Maana nimeona umeionyesha code ya misuli ya mkono kwamba kijana mkono wake una misuli haswa Ila mumeo hana misuli tuliosoma Cuba hio code tumeifumua
 
Happy Easter Monday MMU Family...... Hope all is well and if not,we hope for the bright tommorow......
Back to the topic Nashukuru Mungu, I am married, And a mother of four kids,
Miaka hiyo Nilikuwa nashangaa Sana kusikia mwanamke ameolewa halafu anacheat oh Nilikuwa nashangaa Sana not until Siku imenibidi kwenda mbali na familia kufanya kazi nikadata na kijana mapenzi motomoto.
Ni Mwaka Sasa umepita tangu nimeanza kucheat. But ndugu zangu Mwaka Jana Nilienda kuona Familia yangu I was surprised wakati wa kushare tendo la ndoa na mume wangu nilikuwa sihisi chochote. Ni Kama ananibaka vile. I was sooo dry in such a way that Nilikuwa nauguza maumivu in my private parts.Nilikuwa nafanya tu Basi nisigundulike na kufake ku mourn sex. I came back to work and life was Ok. Sasa This Easter nimepata likizo Niko na mume wangu, but it's the same story .Simfeel hata kidogo, Nimenunua hata na Perfume anayotumiaga kijana nilijua maybe itanisaidia but sioni tofauti na imagine Niko na muda Sijakutana na Kijana( nilipigwa kibuti baada ya kumuambia ukweli kwamba am married and I have four kids[emoji28] after like a month he came back but na Mimi nikaona nimzingue)of which I was expecting nitakuwa na sex feelings kwa mume wangu but I don't feel him, wakati when am alone I feel kabisa I need sex but kuja kumuona as if sio mimi.

Yesterday night niliwaza mengi Sana.... I wish ningeweza ku undo what I did but I can't, we had sex but I was Off off Mood. Nikaanza hata kufanya comparison ya kijana na mume wangu, niko nampapasa lakini akili yangu inawaza blood veins zake hazionekani Kama kijana, ananikiss Niko najisemea but this kiss sio Kama ya kijana[emoji27] . Nimewaza Sana Nakatamani ingewezekana kuishi pamoja Ila Sex tusifanye. Tufanye majukumu mengine tu. My husband is a very good person jamani, Ananitreat vizuri mnooo nimejaribu hata kufikiria mazuri yake nirudishe feelings but nimeshindwa Mimi. Naombeni kwa aliyepitia situation Kama ya kwangu anisaidie what to do please nipate feelings na mume wangu or kwa wanandoa is it possible kugawana vumba na kuendelea na Mambo mengine bila sex na mkaishi kwa amani?. Ningeweza kudai talaka but nawaza pia this man is too good, angekuwaga ni monster hapa ndo ingekuwa mlango wangu wa kutokea, but he is a humble man and he loves me alot
Please be soft to me please [emoji120]. Thank you

NB: Dear MMU wives if you never cheated on your husband please don't Dare to do it please.
Achana na mumeo nenda Kwa kijana wako.
This is madness. Ila nimegundua kosa la mumeo, he is not tough, mwema mno, hakupi challenges, na muda mwingine inawezekana hasimami kama mwanaume. Kwa kufanya comparison unaonekana umempa miliki kijana na kumuondoa mumeo asiwe na milki kwako.
Muachane tu muokoe mumeo asipate magonjwa ya ajabu.
I have nothing to help you, uko emotional affected ambapo ni Mungu wa Yesu Kristo ndo anaweza kukusaidia.
Kiufupi umetekwa, na ni mtumwa wa huyo kijana na sio mumeo.
 
Usivunjike moyo dear..go and marry.. Marriage is the beautiful thing. Kuteleza kupo since we are human beings Ila haituzuii kuonesha upendo Kwa tunaowapenda.
Kupitia wewe hata ile kauli pendwa ya watu humu "tafuta pesa" naona ni ya ovyo tu.... nimejikuta najisikia vibaya sana kuona jamaa anakutunza vizuri pamoja na familia ila bado anasalitiwa na hajui, nawaza mke wangu nae atafanya hivi. Ni huzuni sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata hivyo siruhusiwi kubadili tena eti[emoji24][emoji24][emoji24]

Sasa auntie mbona unanivuruga!! Hata kingozi bado ushahamia kwenye mindevu tena[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Auntie kwani kuna limit uko kwenye kubadili

[emoji23][emoji23] na uzee huu sithubutu kwa wenye midevu acha nisubiri tu masai mwenye kingozi
 
Usivunjike moyo dear..go and marry.. Marriage is the beautiful thing. Kuteleza kupo since we are human beings Ila haituzuii kuonesha upendo Kwa tunaowapenda.
Watoto wanne, Nyonyo Lilikua halijalala yoo?? Au Kijana alikupenda hivyo hivyo?? Hakushtuka kuwa anapigwa??
 
Back
Top Bottom