Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Biblia inasema ndoa iheshimiwe na watu wote omba toba kwa Mungu akusamehe na achana na huyo mtu.. unaenda kuharibu familia nzuri unataka kuleta magonjwa ndani ya ndoa unatafuta balaaa kimbia sana shetani anataka kukuangamiza hiko ni kifo unakikaribia fikiri vizuri mumeo anakupenda...
 
Usisikitike!! Siyo kisa cha kweli, ni hadithi hiyo!! Hadithi kaitupia hapa jukwaani ili ajipime kama ana uwezo wa kutunga hadithi kwa kuangalia watu watakavyochangia! Hadithi yanyewe kajitahidi lakini bado hajafika kiwango!
Kwanin mnaamini huu ni uongo ?
 
So unataka ku justify upuuzi kwa hoja za show!?
 
Gharama ya kumpoteza husband angalau kidogo Ila gharama ya kumpoteza Kijana nawaza nitakuwa chizi Mimi I just can't imagine
Peleka umalaya wako huko[emoji706][emoji706] eti gharama za kumpoteza mume uliezaa nae wtt 4 ni ndogo kuliko kumpoteza kijana[emoji849][emoji848],umalaya unakusumbua
 
Kuna wakati niliwahi kwenda mkoa mmoja hivi kufanya project ya kama 2 months. Nikiwa huko siku Moja nikaenda kununua simu, duka nilikonunua nikamkuta mdada mmoja mzuri sana. Sasa nilikuwa na colleague ambaye ilionekana amemzimia yule mdada na akaniomba nifanye jitihada nipate namba yake. Bahati nzuri nikapata namba yake, tukachat nikampa ombi la mshikaji wangu, lakini ikaonekana yeye alikuwa ananitaka Mimi na sio rafiki yangu so tukaanzisha mahusiano.

Baadae akaja kunambia ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja. Mumewe alikuwa anamlinda kwelikweli na lile duka lilikuwa la kwao na mumewe. Sasa kwasababu mi nilikuwa sikai sana Kule nikataka kula mzigo tu halafu nisepe. Ila kwenye mzungumzo ikafikia hatua ya yule mwanamke kutaka kumuacha mumewe na kuondoka na Mimi nikimaliza project iliyonipeleka.

Mpaka wakati huo sikuwa nimekula mzigo kwasababu ilikuwa ngumu sana yule dada kutoka bila mumewe kujua aliko na alikuwa anapiga simu Kila mara. So hata siku tunapanga nikale mzigo ilibidi adanganye anaoenda Kwa mama yake mdogo ndio akaja hoteli nilipokuwa nimefikia. Of course tulianza fore play lakini baadae roho yangu ikakataa kabisa kula mzigo. Ikabidi nimuache ingawa ilikuwa kesi kubwa akidai nimemchezea halafu nimemuacha kwasababu nimemdharau. Lakini niliwaza kitendo nilichokuwa nakifanya hakikuwa sawa so ikabidi nisitishe like zoezi.

Nimeanza na story kuonyesha namna wanawake wanavyokuwa pale wanapoingia kwenye mahusiano mapya. Wanawake wanapenda Kwa hisia kwahiyo wakizama wanazama wazima wazima ambapo matumizi ya akili Huwa yanakuwa madogo sana mpaka pale yanapowakuta. Unless wawe wawazi na wakutane na mwanaume mwenye akili timamu ambaye ataweza kucontrol hizo hisia zao na kuwafanya wasiharibu maisha Yao.

Sasa ushauri wangu ni huu,
Dada yangu najua Kwa sasa unafikiria Kwa kutumia moyo na sehemu zako za Siri. Hii inaitwa INFATUATION na Ina muda tu in few days/weeks/months itapita na wewe mwenyewe utajishangaa kama ni huyo mtu mwanzoni ulikuwa unampenda kufa.

Sasa ndoa imara au mahusiano imara hujengwa na COMMITMENT na kamwe sio hisia. Hii ni kwasababu hisia zinaflactuate yaani Kuna wakati zitapanda na Kuna wakati zitashuka. When they are at the lowest Bado utawndelea KUMTII mume/Mke kwasababu you are committed to. So Rudi kwenye commitment uliyoiweka personally Kwa mumeo wakati mnakutana/kufunga ndoa na baadae kupata watoto. Ukifika hapo utaanza kufikiria Kwa kutumia kichwa na sio moyo na sehemu za Siri kama unavyofanya sasa.

Usipofanya hivyo yafutayo yatatokea
  • Soon utaanza kumdharau mumeo na yeye atajua soon kama Bado hajajua.
  • soon you will have to choose whom to hurt na Kwa situation ya sasa atakuwa mumeo. Kumbuka ukimuumoza yeye umewaumiza pia watoto wako na hapo hata sifa ya MAMA unapoteza kwasababu mama Bora siku zote huweka maslahi ya watoto wake kabla ya kwake.
  • Kama mumeo anakupenda athari atakayoipata itakwenda kuruin maisha yake, ya watoto wenu na ya kwako wewe. Hapa ndio utashangaa huyo kijana wako anajua ukweli na yeye atakuacha pia.
  • Mwanaume mwenye akili hawezi kuoa mwanamke aliyemtoa kw mwanaume mwingine kwasababu anajua ipo siku pia ataporwa na mwingine kama alivyopora yeye.
  • Huyu kijana anapata free pussy and nobody doesn't like that. Sasa hivi anakupenda kwasababu humbani unampa space ili ubalance time na mumeo. Mumeo asipokuwwepo utaanza kumbana na hapo ndio utaona picha kamili.

Mwisho wa siku nakuhakikishia, ukirogwa ukavunja ndoa Yako, in the next six months utatuletea hapa mada ya kutafutiwa psychiatrist kukusaidia usicomit suicide.

Mi sikushauri Cha kufanya nakwambia tu TUMIA KICHWA CHAKO KIDOGO KUFIKIRI NA SIO MOYO NA SEHEMU ZA SIRI
 
Sis kama mpaka hapo huja elewa basi ni hakika tunampigia Mbuzi amapiano...
Wanasema kuna "Thick line between LOVE & HATE"
 
True pia mtu yeyeto mkifanya nae ngono KILA siku mnaunganisha nafsi,
 
Nlicho jifunza ni kwamba nyege hazina baunsa....... siku nyege zikikuisha na akili ikakuka sawa ndo utajua hujui .... labda nikushauri kama wewe umeamua kumpa utamu sababu za genye zako usivunje ndoa yako ... heshimu ndoa
 
Mi niko nje ya mada, kama hii ni kweli nnawaza jinsi hawa watoto wanne walivyopata mama taahira, popoma na jinga la mwisho, Nnawaza jinsi huyo mumeo alipoteana kaoa limalaya linajificha kwenye ndoa, hayo mengine utajua wewe na huyo kibwengo mwenzio nnatamani akuambukize Gono uzunguke nalo
 
Halafu kuna ndugu wananishauri nioe, nimerogwa?
 
Naomba Sana hii story iwe chai, vinginevyo inashitua Sana kwa sisi tulio ndoani aisee!! Watoto wanne ndani ya ndoa na bado unatafta ushauri wa kuvunja ndoa yako kwa mikono yako mwnyw!? Karma itakulipa bye bye..!
 
 
[emoji28][emoji28] hata na ww unakubali Leo?
Mie mbona ndio national anthem yangu...hamnaga mbususu yako peke yako. Ukipewa ipelekee moto maana ukiondoka mwengine nae anakuja chovya asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…