Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Nakupa mkasa Kuna jamaa wangu kipind tupo ofisi fulani tuliajiriwa mwaka mmoja tulikuwa kama 5 ivi yeye akampenda demu tuliyeajiriwa nae sawa maana wanaume tukiwa 3 wanawake 2 .
Tukaishi pale kama mwaka then tukaanza kupewa vituo mi na jamaa tukabaki makoa mkuu dar wale mademu wawili mmoja akiwa demu wake na alishamtambulisha hata wanakotoka ni mkoa mmoja.... Yule demu wake kituo alipata na jamaa wote walikuwa wawili demu mwingine alipewa kituo alone palikuwa hamna kazi sana na pia ni huko kwao kanda ya ziwa

Basi bhana Maisha yaliendelea yupo dar mchizi demu yupo mkoani walipanga kufunga ndoa ila jambo limeharibika tangu hapo kabisa tuliishi mwaka mmoja mbele kabla ya mim kuhama pale lakini hamna ndoa !!!! Nilishahama pale mwaka na kitu nimekuuliza jamaa anasema ndoa bado sana sasa sijui labda Kuna matatizo ila wanaenda mwaka wa 3 sasa hata kupostiana status sion kabisa dp wametoana sijui nn kinaendelea?
 
Roho ya usingle mama inakutemblea iiaribishe
Dear nimewaza hii but nasikia sauti ikiniambia maisha Ni Sasa. Live it to the fullest.Like I really don't care what tommorow may bring.
 
Mal*ya
 
Mnapata raha gani kuja kuandika story za kutunga humu. This is a typical lie. Uongo kabisa. Hakuna reality katika hii story em fikiri upya andika tena.

Msipoteze muda na ukute ni dume limekaa likaandika hii takataka...
Yeah hata mimi nimehisi hivyo!!!?
inawezekana tatizo la ajira ni kubwa sana hapa Tz mtu hana shughuli anakaa kuandika uwongo kama huu
 
Mnapata raha gani kuja kuandika story za kutunga humu. This is a typical lie. Uongo kabisa. Hakuna reality katika hii story em fikiri upya andika tena.

Msipoteze muda na ukute ni dume limekaa likaandika hii takataka...
Sema hilo siyo dume bali ni lile miongoni mwa LSBGT.
 
Umeenjoy zako uzi, unatiririka chini unasoma comments za unakuta mtuu kaandika “hii ni chai”, stimu yote inakata. Jamani someni uzi kama una ushauri toa, ukiona ni chai piga kimya maana sasa watu watashindwa kuomba ushauri humu, alafu thread kama hizi zinasaidia kusukuma siku.
 
Dear nimewaza hii but nasikia sauti ikiniambia maisha Ni Sasa. Live it to the fullest.Like I really don't care what tommorow may bring.
Unajichimbia shimo ambalo kuja kujitoa ni mtihani, anyway, every decision comes with a price.
 
Daaah hatari sana hii.Ndoa ni ngumu sana hizi wakuu.he he hee😝
 
Ndio shida ya kuruka kituo, hiyo hatua uliyopo hujawahi kutana nayo ndio maana,

Hapo ndipo mr Liverpool anapoona bora asioe.
 
Dear I feel like crying. Thank you for this beautiful advice. Mungu anisaidie dear nivuke hapa dear maana for sure my husband is a heaven sent Basi Tu sijielewi na Kijana. Thank you kipenzi.May God help me to overcome this dear
 
Naamini utavuka cute wangu.....huenda ungeamua kufanya maamuz kimya kimya ....kulileta humu ni Mungu anataka akurudishe kwenye mstari.....❤️😘
 
Dear shida yangu Ni je atakubali kuendelea na Mimi akijua ukweli??. Huu ndo wasiwasi wangu like atakubali kweli,??. Na akikimbia je?? Maisha yangu yatakuwaje??. Maana pia Ni mtu ameshika dini.
Tumeshakushauri vunja hio ndoa uolewe na huyo tall wako
 
hii inaweza ikawa chai

watoto wa nne chuchu zinakuw zinatizama chini.au maumbile yanatofautiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…