Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Ah wee hawezi kukimbia kama kweli the sex is mind blowing. Atakachofanya ni kwamba u will now be his sexmate huku akitafuta wife basi. Enjoy the 🍆 gal. Ukirudi kwa mume mle na watoto wenu. Ukiwa huku pata utam utam
You are so good aisee,hukazi Sanaa...easy yaan.❤️❤️❤️❤️❤️😘
 
Dada umetutukanisha wadada wote tuliopo jf!!
It's either ni mpo mwanzoni mwa mapenzi I mean hata miezi 6 hamjafika or una ushamba wa mapenzi like umeolewa bado hujajitambua...

Achana na huyo kijana wallah am telling you. Stick with your lovely husband kabla hujaharibu ndoa yako kwa upumbavu wako!!!

Pole sanaa.. poor sister [emoji3064]
I am sorry for kuwatukanisha dear. But Nimekuja kuomba mnisaidie dear how to overcome this maana I am confused dear. Tuna Mwaka Sasa but it is not like sijui mapenzi no only that Kijana is a pro dear. Thank you for the advice dear.
 
Ah wee hawezi kukimbia kama kweli the sex is mind blowing. Atakachofanya ni kwamba u will now be his sexmate huku akitafuta wife basi. Enjoy the [emoji533] gal. Ukirudi kwa mume mle na watoto wenu. Ukiwa huku pata utam utam
Thank you dear. Let me find the style to tell him the truth coz if he runs away I am finished dear.
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Umeuremba umeupamba uzi wako lakini haujanifurahisha hata kidogo mama mwenye watoto wanne unafanya upuuzi kama huu hujiulizi hatma ya watoto wenu? Halafu upo tayari kupoteza ndoa yako kisa kijana [emoji44][emoji44], na kwa taarifa yako ukishaanza na vibenteni hata huyo utamwacha utafute HB wa miaka ishirini pole sana Sana sana achana na huyo mtoto wa ke mwenzio atafute maisha yake na wewe endelea na ndoa yako. Maana hutopoteza ndoa tu bali utaharibu maisha ya wanao, maana baba kwa hasira ataoa mke mwingine watoto je? Usitegemee baba atawapenda saana watoto wako mwingine itakuwa kila akiwaona hao watoto anakuwaza na kuwachukia wanae na kuona wanaakili Kama yako.
 
Dadangu kama ulivyosimulia vinaukweli basi nakushauri vunja ndoa haraka sana and utamwambia mtoto yupo kwa baba yake and just disconnect na baba wa watoto na watoto pia halafu anza maisha upya.
Sikwambii umefanya kitu kizuri, jambo ulilofanya ni baya sana ila naangalia namna ndoa yako itakavyokuwa ya shida kwa mwanaume mwenzangu maana binafsi napitia shida kama inayoenda kumpata mwanaume mwenzangu. So achana naye ukaanze maisha yako. Mpe talaka wewe na sababu ni kuwa umechoka kukaa kwenye ndoa full stop
 
Eti ndoa takatifu. Huku ni kumkufuru Muumba kwa kuiita ndoa takatifu wakati umeshainajisi tayari.

Wewe ni malaya kwa asili wala huna tofauti na wale wakujiuza sema tu umejificha kwenye kivuli cha ndoa.
But God is full of Mercy dear. This one I believe dear. I made a mistake and I didn't see it come. And here I am now deep in love.
 
Thank you dear. Let me find the style to tell him the truth coz if he runs away I am finished dear.
Akikimbia njoo nikuoe million.
Trust me hakimbii. Every man loves no strings attached sex
 
Binadamu wote malaya msimshambulie kabisa huyu dada, amejaribu kucheat akalowea. Wote tunacheat ila dada kanigewa. Binafsi jana nimekula mke wa mtu ana mwezi kwenye ndoa sema alikuwa dem wangu kabla hajaolewa
 
Hisia zako zimeshinda uhalisia wa ndoa yako

Watoto wanne,mume anaekujali ndio uhalisia wa.maisha yako..

Mwanamme mrefu mwenye sauti nzuri ndio hisia za maisha.yako

Kutokuwa na macho ya kuona hatari, masikio ya kusikia,pua ya kunusa hatari ndio ujinga wako..

katika wanawake wajinga duniani wewe ni mmoja wao,unahiari kupoteza ndoa yako ya watoto wanne kwa mambo ya kijinga..

Ushauri wangu,Mwambie ukweli huyo jamaa,mwambie ukweli mume wako,fanyeni threesome,muwe watatu kitanda kimoja wakupe maraha..

Usivunje ndoa yako fikiria watoto wako
 
Binadamu wote malaya msimshambulie kabisa huyu dada, amejaribu kucheat akalowea. Wote tunacheat ila dada kanigewa. Binafsi jana nimekula mke wa mtu ana mwezi kwenye ndoa sema alikuwa dem wangu kabla hajaolewa
Hata wewe ni walewale na wakwako atatafunwa ni swala la muda karma itafanya kazi,ulete mrejesho hapa.
 
Dadangu kama ulivyosimulia vinaukweli basi nakushauri vunja ndoa haraka sana and utamwambia mtoto yupo kwa baba yake and just disconnect na baba wa watoto na watoto pia halafu anza maisha upya.
Sikwambii umefanya kitu kizuri, jambo ulilofanya ni baya sana ila naangalia namna ndoa yako itakavyokuwa ya shida kwa mwanaume mwenzangu maana binafsi napitia shida kama inayoenda kumpata mwanaume mwenzangu. So achana naye ukaanze maisha yako. Mpe talaka wewe na sababu ni kuwa umechoka kukaa kwenye ndoa full stop
Pole, yamekupata yepi mkuu?
 
Daily Huwa Nina waeleza vijana wenzangu hakuna mwanamke asiye liwa nje ya mahusiano yake iwe ni mahusiano ya ndoa Au Boyfriend girlfriend

Yaani ukiona manzi katulia ha- cheat usijipe guarantee kuwa atakuwa hivyo Bali Ina kupasa utambue kuwa Hilo ni suala la muda tu , wakati ukifika utajua haujui Hilo haijalishi wewe ni mwema na muungwana Kwa kiasi Gani kwake , Lazima ata kunyoosha tu

Hawa ndio wanawake bwana , Sifa Yao kubwa ya Tabia Yao ni kupatwa na mabadiliko kama rangi ya kinyonga
Kweli kabisa kiongozi. Nakazia hapa
 
I am sorry for kuwatukanisha dear. But Nimekuja kuomba mnisaidie dear how to overcome this maana I am confused dear. Tuna Mwaka Sasa but it is not like sijui mapenzi no only that Kijana is a pro dear. Thank you for the advice dear.
tatzo linakuja huyo kijana amempa penzi ambalo hakuwah kupewa popote pale yaan penzi limevunja hadi zile degree za thermometer

au kwa lugha nyingne alikuw anakula maharage sasa kapewa kitimoto yenye pilipili kwa mbaaaaali.
 
ukute na mme wake huko kuna ka slayqueen kanamuendesha kichizi.
 
Back
Top Bottom