Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

Niliwahi mkataza wa kwangu kwenda mbali na familia sababu ni hii,
Ubongo wa wanawake wakati mwingine ukitikisika basi haufanyi kazi
Niliandika uzi "wanawake hawana akili wana mawazo na hisia" mods wakaufuta na ili hali uzi ulisheni hoja za kutosha. Leo nadhani mods kwa uzi huu wamepata ushahidi wa how brainless women are.

Hivi huyu shangazi akipewa sumu amuue mumewe na watoto wake wanne ili aolewe na "jinana" niambieni jinsi gani atakataa.
Huh ... Oh noo.But dear do you think like I am too too too bad??.. I am not dear, ukweli nimekamatika and this one wrong doesn't make me be thaaaaat bad dear. Kweli.
 
Mwanamke aliiwahi sana kuolewa na jamaa akazalisha fasta fasta akidhani kuwa ndo atatulia na huko alipo anasema ana watoto wanne ataenda wapi? So full kujiamini

Ila mdada aliruka stage, alitakiwa akutane na tall guys, wenye sauti nzuri na wanaojua kusakata mbususu wamchezeee mpk akili imkae vzr ndo aolewe baada ya kupigika sana.

Mwanamke wa aina hiyo hatokaa adharau ndoa yake maana maumivu ya kitaa anayajua

Ila hawa ambao hawajapata misukomisuko ya ujana hapo wakitoka nje wanakuwa malimbukeni na wanakufa na kuoza kabisa.
 
MaCCM hayataki kufanya mikutano ya hadhara yaeleze wananchi sababu za kupanda gharama za maisha wakati nchi yote ni kijani, yamezuia, yanavizia matamasha ya burudani/michezo na kupeperusha picha za m/kiti wa CCM. Acheni ujinga. Njooni jukwaani tufanye siasa za hoja mafisadi nyie!
 
😳Ushadaka tayari mzungu wa igawa😆 afu kapo kuomba hela🤣🤣...ulijua twenyewe hatuna shida mbalimbali😆😆 inua tu iyo head 😜
Subutuuuuu subutuuuuu hahahahahahaa nakuja keshokutwa nalala Mbeya mjini then naelekea Chunya
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Shikilia hapo hapo.
 
Yaleyale ya ngoswe

Tumia akili kufanya maamuzi

Maneno ya wahenga baki njia kuu cyo ya kwenye kanga it's working
 
Jamani you people are too hard to me jamani[emoji26][emoji26]. I wish mngenijua jamani , I am not that bad vile mnafikiria jamani. Basi Tu nimezama and I didn't see this coming kabisa kabisa, and my heart keep telling me whatever the price I am ready to pay as long as Kijana atakuwa karibu yangu. Please be soft to me please nishaurini ndugu zangu, samahanini kwa wote niliowakwaza, now yameshatokea na naomba mnishauri, Asante kwa wachache wamlionishauri, I appreciate it so much.
Ukiendelea na huu ujuha, utakuja kukosa yote. Utamkosa mume na huyo kijana uliyemdanganya siku akijua ukweli atakutosa na kukuchukia. Utabaki unadanga huku ukiwa umechanganyikiwa......
 
Msiolewe mapema kabla hamjapitia mambo ya dunia ona sasa
Hapo hakuna love wala nini ni lust + wenge lako tu
Mchane ukweli umeolewa katulie na ndoa yako mwanamke penzi jipya ndio huwa hivyo hakuna kitu unique hapo
 
Katika vitu siwezi fanya ni kumshauri mwanaume mwenye pesa na mwanamke alien penda hawa watu wawili utapoteza time yako tu

Mimi nawashauri nyie mnao mshauri Huyu mbuzi kuwa acheni ujinga hizo juhudi mnazo tumia kuandika humu ni bora mkaelekeza hizo nguvu kwenye uzi wetu pendwa wa kula tunda
 
Hii ni chai, lakini wanawake wajinga na wapumbavu wa aina hii pia wapo wengi tu huku kitaa, wanaotema big G kwa karanga za kuonjeshwa
Sio chai kaka ao ndo walivyo hasa wakipenda.Ata mm ninae mmoja mwarabu yupo kama huyo anataka kudai taraka kabisa eti nmuoe mm wakati mm namchora tu
 
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend.

Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya.

Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya kanisani na tumebahatika kupata watoto wanne kwenye ndoa yetu hii takatifu. Kiukweli so far my marriage is good sisemi kwamba hatugombani no sometimes tunapishana tunaombana msamaha yanaisha, Inshort sijawahi kujuta kuolewa na mume wangu, he is a caring man, anapenda Sana watoto wake, for sure he is the best husband and the best daddy to our four beautiful children.

Mwaka Jana nilipata kazi somewhere mbali kidogo so ikanilazimu kuacha familia na kwenda kufanya kazi, Mume wangu alikubali Mimi kwenda kufanya kazi mbali ukizingatia pia hatukuwa vizuri kiuchumi maana Covid 19 iliyumbisha kidogo uchumi wetu, so I came this side kufanya kazi.

Ukweli sikuwahi kumcheat mume wangu tangu anioe na sikuwahi kuwaza kama kuna Siku itatokea maana ukweli ananitreat like a queen, baada ya kufika huku kazini, kweli Nilikuwa Ni mtu wa kuchapa kazi na kurudi home kusettle na kuwaza about my family and my personal issues.

Sikupata kuwaza like sex nimtafute mtu noo, tho as a woman kule kutongozwa kupo but sikuwahi kuipea time kabisa kabisa infact nilikuwa naona ni ujinga Sana kucheat na nimeolewa na my husband is awesome. Not uqntil this day hapa kazini Kuna project tulikuwa tunafanya so tukawa connected na this firm ambayo Sasa ndo hapa nilibadilika.

Katika hii project niliunganishwa na Kijana (28 years) ambaye ndo tutafanya nae hiyo project pamoja. Kweli at the beginning it was a normal talk about the project na sikuwa like kufeel chochote Wala kuwaza chochote out of work. Hadi hii Siku moja ambayo I asked him something about the project hakujibu kwa message badala akatuma Voice note ooh my God hiii voice note ndo ilinimaliza mimi, the man was smart( I like men with brain), voice yake nzuri.

His voice note turned me on kwa kweli nikaanza kufall in love with him from that day, hatukuwahi kuonana before but Ile voice note ilinipa hamu ya kumuona nakuwish awe mtu wangu wa karibu. From that day nikaanza like kumtumia tu message ambazo sio za kazi, like Hi, how was your night blah blah, long story short tukawa wapenzi na hatukuwahi kuonana live[emoji23][emoji23].

For sure mapenzi yalikuwa motomoto Mpaka this day tukaja kuonana and wow I felt sweet seeing this handsome man smelling like a snack[emoji39], amepanda hewani, smart one, kweli moyo ulikuwa unanienda mbio na kujiona wa Bahati Sana katika hii dunia, the date went well and tulifurahi kuonana for the first time[emoji7], hapa ndipo mapenzi yetu yalizidi kuwa motomoto like like like heaven...

He told me his background and his future plans, but ukweli Mimi sikuwa muwazi kwake maana Kwanza Ile tumeenda kuonana for the first time nilivua Pete na sikuwahi muambia nimeolewa na Nina watoto all this long. Nilikuwa Namuambia I am single.

Now mahali ambapo Sasa ndugu zangu naomba mnishauri kwa hekima zenu ni hivi Kijana amenikolea mwenzenu, yaani he is deep in me, sometimes hata napitiliza vituo kwa sababu mawazo yangu yako kwake, sometimes I just smile when I think of him, Juzi namuita boss wangu jina la kijana and I was like God!. I am drunk in Love with Kijana Hadi najuta why sikumjua mapema, He is great kwenye sex, sijawahi enjoy sex like the way I enjoy with him jamani, His kiss is heaven, in short he is a Pro[emoji7].I am confused ndugu zangu.

Sasa Kijana anataka tufanye mchakato anioe and he is very serious, but Sasa hajui nimeshaolewaga na Nina watoto wanne, nilimuambia tu Nina mtoto mmoja na amesema hakuna shida kabisa yeye amenipenda na haoni shida kunioa hata Kama Nina mtoto.

Jamani nawaza kumkubalia anioe then tutajua mbele kwa mbele since I love him so much na I really don't want to loose him, sometimes nawaza ama niombe talaka niwe huru kuolewa na Kijana ,Saa zingine nawaza au tu nimuambie ukweli naona atanikimbia. Saa zingine nawaza au nimzalie tu mtoto nibaki na ndoa yangu? Lengo nataka tu niwe nae till my last breath, I know he is young na ukweli siko kumchuna ama kumuharibia maisha, I love him and kwelikweli I don't want to loose him .

Sometimes nawaza naona gharama ya kupoteza ndoa yangu takatifu ni rahisi Sana kuliko gharama ya kumpoteza huyu Kijana. Jana tulikuwa wote na Kijana akaniambia anataka kunipeleka kwa wazazi wake so nipange Siku tuende, jamani nihisi kupiga kelele Mimi jamani kwamba napoteza hii golden chance hivihivi jamani[emoji24][emoji24].

Nishaurini ndugu zangu nafanyeje wapendwa?, the best way ambayo nitabaki na Kijana pasipo kuathiri pande zote mbili au hata upande mmoja ukiathirika but Kijana awepo. I love him so much na Mungu shahidi, sijawahi penda hivi,. .... What can I do ndugu zangu?

Kijana anajua nimemzidi umri but Hana shida na hili, anajua Nina mtoto Ila Sasa anajua Nina mmoja na wakati ukweli Nina wanne, anajua Niko single wakati ukweli Nina ndoa ya kanisani . Jamani msinitukane please nishaurini maana Nimezama penzini sisikii Wala Nini nimekolea, I just can't imagine my life without Kijana[emoji24]. I feel him so deep jamani.

Asanteni
Nenda ukalalwe Malaya wewe

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Niliandika uzi "wanawake hawana akili wana mawazo na hisia" mods wakaufuta na ili hali uzi ulisheni hoja za kutosha. Leo nadhani mods kwa uzi huu wamepata ushahidi wa how brainless women are.

Hivi huyu shangazi akipewa sumu amuue mumewe na watoto wake wanne ili aolewe na "jinana" niambieni jinsi gani atakataa.
Mods humu hua hawapendi nyuzi zinazoexpose ujinga wa hawa wenzetu. Ndio maana ukifatilia nyuzi nyingi humu ni za masela wanalalamikiwa hawajali etc etc... JF imekua ya kiwaki ndio maana wengine tunaishia kua wasoma comments miaka nenda rudi!
 
Back
Top Bottom