Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah😂😂😂
Tuko nje ya muda mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Panda mti kata mtu, hii ni mpya kwangu. Vijana wanekua wajanja sana
Pole. Mimi niliambiwa eti kapoteza morale na wanawake [emoji1787] na sijawah mkosea kipindi chote nilijitahidi kuwa mwaminifu, nilimpenda bila kona kona aisee maisha haya sijui yapoje.Hakikisha unawekeza maina na figo sehem ingine na mapafu pia maana moyo ushampa wote, ili siku anautoboa basi utatumia mapafu ,tafuta side chick ila usiipe attention , wanawake sio watu nimedate na mwanamke miaka mitano love love kweli siku alioniacha alinitafutia sababu hadi kesho sijui aliipataje, hakika uchawi upo saiv yupo na yule aliekuwa anamtongoza ananambia anamkatalia
Hatari, lakini wanasema " kupasha kipiro hutumii moto mwingi"Tuko nje ya muda mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabu ya vitu km hivi, hizo hasira zitamaliziwa kwa mwanaume mwengine ambae hata hahusiki. Life is not fairPole. Mimi niliambiwa eti kapoteza morale na wanawake [emoji1787] na sijawah mkosea kipindi chote nilijitahidi kuwa mwaminifu, nilimpenda bila kona kona aisee maisha haya sijui yapoje.
Uzuri wangu mimi hata nitendwe vipi huwa sihami na mabalaa yangu ya mahusiano yaliyopita sababu najua watu tunatofautiana. Nikipata mtu mwingine naanza na moja sema nilichojifunza nimepunguza kuamini sana watu ili hata ikitokea sintofahamu mbeleni isiniumuze sana.Tabu ya vitu km hivi, hizo hasira zitamaliziwa kwa mwanaume mwengine ambae hata hahusiki. Life is not fair