Penzi limekolea hadi najiuliza wanaochepuka wanatafuta nini?

Penzi limekolea hadi najiuliza wanaochepuka wanatafuta nini?

Niko katika level ya juu kabisa ya kuinjoi mapenzi, kama penzi letu litapimwa kuenda chini basi litakua limezidi kina cha Mariana trench, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.

Haimaanishi kua hatutofautiani katika baadhi ya mambo ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndio penzi zito kuliko yote duniani kwa sasa. no devil's lie will penetrate, and if he tries, he will be annihilated instantly.

sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?

Kut 20:8-11
Oa kwanza broo kisha uje baada ya miaka mitatu na ripoti ya penzi😂 itapendeza ukiwa umefukuzwa kazi.
 
Oa kwanza broo kisha uje baada ya miaka mitatu na ripoti ya penzi[emoji23] itapendeza ukiwa umefukuzwa kazi.

Atakapofukuzwa kazi ndipo hapo atazitambua rangi halisi za bidada wake [emoji14][emoji14]

Kwenye cheers [emoji1635] Cheers [emoji482] na raha huwezi mjua mtu halisi [emoji14]

Kwenye mitihani na misukosuko ndipo uhalisia wa moyo na akili ya mtu hudhihirika.
 
Hahahahah ni ngumu mtu mwenye wadhifa kukosa penzi tamu toka kwa mwanamke ambaye kila anachotaka anapewa kwa wakati
 
Atakapofukuzwa kazi ndipo hapo atazitambua rangi halisi za bidada wake [emoji14][emoji14]

Kwenye cheers [emoji1635] Cheers [emoji482] na raha huwezi mjua mtu halisi [emoji14]

Kwenye mitihani na misukosuko ndipo uhalisia wa moyo na akili ya mtu hudhihirika.
Ukiacha uchawi ulioandika paragraph ya kwanza, mengine yote uko sahihi,
 
Mnapaswa kujua tu kwamba wakati mnaoneshana mahaba shetani anawa zoom tu. Yuko kazini md wote [emoji23]
[/QUOTE]Uzuri kauli mbiu ni ile ile kata mti panda mti. Hatukomoi shetani anatutikisa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Uzuri kauli mbiu ni ile ile kata mti panda mti. Hatukomoi shetani anatutikisa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[/QUOTE]
Shetani anafeli maana mutu ziko mob 😂
 
Back
Top Bottom