Penzi limekolea hadi najiuliza wanaochepuka wanatafuta nini?

Majibu ya Kwann tunachepuka ni :-
  1. Kutafuta ladha mpya
  2. Tunafanya comparison
  3. Tunabalance shobo*
  4. Kuongeza experience & exposures
  5. Hata hatujui inatokea tu unajikuta umechepuka.
NB: kwa mjibu wa wachepukaji
You are missing something. try to stay with one person and practice tough love, have a goal to achieve like carrier, you will later realize that mpango wa kando is a wastage of time and resources
 
Ugali maharage daily inachosha, mda mwinge mlenda, dagaa nyama au samaki !
 
Niko katika level ya juu kabisa ya kuinjoi mapenzi, kama penzi letu litapimwa kuenda chini basi litakua limezidi kina cha Mariana trench, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.

Haimaanishi kua hatutofautiani katika baadhi ya mambo ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndio penzi zito kuliko yote duniani kwa sasa. no devil's lie will penetrate, and if he tries, he will be annihilated instantly.

sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?

Kut 20:8-11
Umepigwa shuntama wewe ACHA uboya
 
Kama kuna kitu nimejifunza nikutozungumza neema zako, mana kwa povu mnalotoa naamini wengine kama mnauchawi na ingekua physically mngeturonga, ni aibu sana kwa watu kana nyinyi
Unatafuta sababu ukiachwa useme umerogwa
 
Ni suala la muda tu, kwa sasa enjoy to the fullest ili yakija majonzi usijutie.

Chakata kadri ya utakavopata muda, hawana dhamana hao atakuponyoka soon.
 
Kama kuna kitu nimejifunza nikutozungumza neema zako, mana kwa povu mnalotoa naamini wengine kama mnauchawi na ingekua physically mngeturonga, ni aibu sana kwa watu kana nyinyi
Hapa JF, pengine na waafrika kwa ujumla tuko negative sana.
Hapa watu wanataka ulete stori kama

"nimeachwa na Mke"

" Mpenzi wangu kaolewa na mtu mwengine baada ya kumsomesha"

" Ndoa yangu haina furaha"

Ukiwa humu JF unaweza kuhisi huko nje hakuna watu wana furahia ndoa zao.
Kiujumla watu wengi humu wana Wivu. Unaweza ukaona kama wanatania ila ndio wako serious.

Jukwaa limejaa Sadists kama wote. Eti kwa sababu yeye kaachwa basi anaconclude na wewe utaachwa tuu.!!
Ni ujinga, na wivu vimejaa humu.

Mkuu wew Enjoy ndoa yako wala usiwe na wasiwasi eti ukae unawaza lini nitaachwa.
 
Thanks for your wisdom, jina lako lina akisi , you are really genuine man
 
Hapa JF, pengine na waafrika kwa ujumla tuko negative sana.
Hapa watu wanataka ulete stori kama

"nimeachwa na Mke"

" Mpenzi wangu kaolewa na mtu mwengine baada ya kumsomesha"

" Ndoa yangu haina furaha"

Ukiwa humu JF unaweza kuhisi huko nje hakuna watu wana furahia ndoa zao.
Kiujumla watu wengi humu wana Wivu. Unaweza ukaona kama wanatania ila ndio wako serious.

Jukwaa limejaa Sadists kama wote. Eti kwa sababu yeye kaachwa basi anaconclude na wewe utaachwa tuu.!!
Ni ujinga, na wivu vimejaa humu.

Mkuu wew Enjoy ndoa yako wala usiwe na wasiwasi eti ukae unawaza lini nitaachwa.
Huyu bado ni mdogo, walichofanya wadau ni kumpa uhalisia wa mambo. Bado yuko na illusion nyingi kuhusu love
 
Asilimia kubwa iko hivyo, yeye anaweza dhani kila siku itakua hivyo hivyo
"Asilimia kubwa" iko hivyo.
Kumbe bado kuna asilimia ndogo wanaishi vizuri.

Mimi nimeona kwenye forum za wenzetu ( ambao Divorce rate iko juu), lakini mtu anapoleta kitu positive kuhusu mahusiano members huwa wanasapoti positively na kumpongeza.

Hapa kwetu ni tofauti, na hii sio kwenye mahusiano tuu, ni karibia mambo yote.

Ukishare na wa- Afrika kitu cha mafanikio, lazima tegemea negativity kubwa kuliko positive.
Waafrika tuna roho za kipekee.
 
Sawal
Niko katika level ya juu kabisa ya kuinjoi mapenzi, kama penzi letu litapimwa kuenda chini basi litakua limezidi kina cha Mariana trench, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.

Haimaanishi kua hatutofautiani katika baadhi ya mambo ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndio penzi zito kuliko yote duniani kwa sasa. no devil's lie will penetrate, and if he tries, he will be annihilated instantly.

sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?

Kut 20:8-11
Sawa jiandae kwa kamikaze drones ili kupukutisha hilo penzi. Hauna ulinzi wa anga tatizo
 
Back
Top Bottom