Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Majambazi mmetawalaKwahiyo unakutana na majambazi tu 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majambazi mmetawalaKwahiyo unakutana na majambazi tu 🤣🤣🤣
Shetani anafeli maana mutu ziko mob [emoji23][/QUOTE]Eeeeh. Naangalia tu kwenye list nani asogee kuzugia wakati nasubiri lile huba la kuamka usiku unaanza kumshukuru Mungu kwa mtu aliekupatiaUzuri kauli mbiu ni ile ile kata mti panda mti. Hatukomoi shetani anatutikisa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji1787]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Majambazi mmetawala
We shindwaaa!! Mie sio mmoja wao🤣🤣🤣Majambazi mmetawala
Eeeeh. Naangalia tu kwenye list nani asogee kuzugia wakati nasubiri lile huba la kuamka usiku unaanza kumshukuru Mungu kwa mtu aliekupatiaShetani anafeli maana mutu ziko mob [emoji23]
Hahahahah hata mhalifu ni kawaida kukana mashtaka mbele ya hakimuWe shindwaaa!! Mie sio mmoja wao🤣🤣🤣
Kuiona Pepo ni ngumu sana kwa hizi draft mnazochezesha watoto wa wenzenu[emoji23][emoji23][emoji23][/QUOTE]Ndo maisha yametupeleka huko tutafanyaje sasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Eeeeh. Naangalia tu kwenye list nani asogee kuzugia wakati nasubiri lile huba la kuamka usiku unaanza kumshukuru Mungu kwa mtu aliekupatia
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Acheni hizo mambo jamani, tunawapenda sana ila tatizo drafti ngumu😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Acha tu mapenzi konyoHio inaitwa "Mobili bakulu" yani kipigo cha mbwa kachoka
Weeeeh!! Wema tupo tumejaa tele, sema wewe jambazi huwezi ona.Hahahahah hata mhalifu ni kawaida kukana mashtaka mbele ya hakimu
Na yaendelee hivyo hivyo, mzidi kumuomba na kumtumainia Mungu awalinde na kuwaepusha na vishawishi.Niko katika level ya juu kabisa ya kufurahia mapenzi, kama penzi letu litapimwa kwenda chini basi litakuwa limezidi kina cha Mariana Trench, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.
Haimaanishi kuwa hatutofautiani katika baadhi ya mambo, ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndiyo penzi zito kuliko yote Duniani kwa sasa. No devil's lie will penetrate, and if he tries, he will be annihilated instantly.
sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?
View attachment 2424167
Kut 20:8-11
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Tulia ww upate shule kwanza[emoji23]Mlioniombea mabaya wote mshindwe, nakemea pepo la wivu
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu poleee sana,inabidi tukutafute tujue umeenda wapShida sometimes mapenz yanakujaga kuanza kudrop gradually. Hata mm nilifikia level zaidi ya hiyo ila sasa nahisi nipo pahala pasipojulikana
[emoji23][emoji23] si litakuwa tukio la halaiki .Hiyo ndio mbinu bora mkuu yaani unamcare mpaka anajisahau[emoji3059][emoji4]siku unalilipua hilo bomu unasepa ZAKO unaacha maafa huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio vzr [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] si litakuwa tukio la halaiki .
Penzi limekolea hawezi kukuelewaTulia ww upate shule kwanza[emoji23]