Niko katika level ya juu kabisa ya kuinjoi mapenzi, kama penzi letu litapimwa kuenda chini basi litakua limezidi kina cha Mariana trech, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.
Haimaanishi kua hatutofautiani katika baadhi ya mambo ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndio penzi zito kuliko yote duniani kwa sasa. no devil's lie will penetrate, and if he tries, he will be annihilated instantly.
sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?
Kut 20:8-11