πππππBora umejisemea ukwelii..Kuna mwenzenu mmoja aliwahi niambiaa nikichepuka nachepukaa na pisi kali zaidi ya mke wanguuuπ π πWanaume tunachepuka si kwamba hatuwapendi wake zetu ni vile tunatamani kuonja ladha tofauti.
Unakutana na pisi kali mkeo haoni ndani hata nusu hapo kimoyo moyo lazima ujisemee hapa mke wangu atanisamehe
Ushafikiwa level ya kupapatukiwa au...? π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€π€π€Niko katika level ya juu kabisa ya kuinjoi mapenzi, kama penzi letu litapimwa kuenda chini basi litakua limezidi kina cha Mariana trech, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.
Haimaanishi kua hatutofautiani katika baadhi ya mambo ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndio penzi zito kuliko yote duniani kwa sasa. no devils lie will penetrate, and if he try, he will be annihilated instantly.
sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?
Kut 20:8-11
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Subiri mwenyekiti wao aje mzabzab
Unamtishaπ€£π€£π€£π€£,???USISAHAU kuleta mrejesho [emoji1787]hayo mambo konyo kabisa
Ni kawaida mkuuUnamtisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],???
Kumbe ndo mkorofi hvi π€£π€£π€£πππMtaachana tu.
Unaongea kwa experience au...?Ni kawaida mkuu
Kidogo, sio sanaππKumbe ndo mkorofi hvi π€£π€£π€£πππ
π€£π€£ππππ Yaani umecoment short and clear ila ni ya kuchokoza mtu....Kidogo, sio sanaππ
Nimekua nayaona[emoji15]Unaongea kwa experience au...?
Siku ukipigwa kitu kizito kichwani usisahau kuja na Uzi wa kuwapongeza wanaochepukaNiko katika level ya juu kabisa ya kuinjoi mapenzi, kama penzi letu litapimwa kuenda chini basi litakua limezidi kina cha Mariana trech, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.
Haimaanishi kua hatutofautiani katika baadhi ya mambo ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndio penzi zito kuliko yote duniani kwa sasa. no devil's lie will penetrate, and if he tries, he will be annihilated instantly.
sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?
Kut 20:8-11
π€£π€£π€£ Daah.. huu mtihani hakuna aliyefudhu...Nimekua nayaona
Aisee.. sawaaNiko katika level ya juu kabisa ya kuinjoi mapenzi, kama penzi letu litapimwa kuenda chini basi litakua limezidi kina cha Mariana trech, kama ni resilience ya kuhumili vishindo, basi hili penzi ni zaidi ya bunker za kujikinga na bomu la nyuklia.
Haimaanishi kua hatutofautiani katika baadhi ya mambo ila namaanisha tunaelewana sana. nadhani penzi letu ndio penzi zito kuliko yote duniani kwa sasa. no devil's lie will penetrate, and if he tries, he will be annihilated instantly.
sasa swali kwa wachepukaji, kwanini mnachepuka?
Kut 20:8-11
Wote tuko masomon[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah.. huu mtihani hakuna aliyefudhu...
Unalolishindwa ww kwa wengine linawezekana , acheni wivuMtaachana tu.
Bado ujafikia kipindi cha mtihani...,?? Mbona unajiamini hivo..π€£π€£π€£Wote tuko masomon[emoji1787][emoji1787][emoji1787]