Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Mbona id mpya hii ya hivi karibuni , usijekuta unajitongoza maana we vladmirovich putin kwa ku creat new id tu na kwa kujifanya sometime wa kike mhmhhh
 
Aaahhhhh nmewachoka kwakweli .... Mwanamke nikujue Mimi ....unijue wewe ....alafu Presha wawe nazo wengine chaaaaaaa

Yaaan mtu anavutika kufuatilia maisha yawatu kushinda maisha yake.

Baby ,,, usichoke kunipa masuprise km hayaaa...ujue unanifanya kila siku nifikirie namna gan yakukufanya ujione wakipekeeee hapa dunian

Ningekupa dunia mpenzi Wangu ,ila nmegundua Wenye Roho mbaya nao pia wanaitajika kuwepo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina pressure mima wako ilimradi mi nawe mapenzi mubashara my dear wacha waumwe tu hakuna namna.
 
Ama kweli ,,ngoja wabaki na iman yao iyo iyo !!!... Hatongozwi mtu. Hatongozeki mtu.
kabisaaaa yahn humu wamezidi ubinafsi mamaeeee siku akibebishana mima na Putin basi watu mapovu yanawatoka sijui wanatakaje mbona kwa wengine sawa ahaaa basi hii inanifanya niamini mapenzi yetu yanakitu cha ziada alafu nimegundua yana wachawi wengi wasiopenda maendeleo ya wenzao duuuh ni shida
 
I THINK SO BABY ,,THATS WHY PEOPLE STARE AT US !!! DO YOU KNOW WHY ??????. BECAUSE WE HAVE A TRULY BEAUTIFUL ,UNIQUE AND DIFFERENT RELATIONSHIP !!. AMBAYO WEWE NAMM WE PERFECT EACH OTHER ....

MIMA YOU ARE AN ANGEL TO ME BABY GIRL , UWEPO WAKO KWANGU NIKAMA DICTIONARY MAANA UMENIONGEA MAANA MPYA MAISHAN MWANGU.
 
Asante mupenzi that's y I luv you mnoooooo
 
Yaaaaaaaap niilo tuuu .

Alafu sijui kwann ,,, wakiwa hawapendezi ,siwaache kukoment ????? Au ndo umbeya tuuu?????? Ivi wahivi nao wanaolewaga au kuoa?????.
Umeona eeeh wengine hawajawi kupendwa wanaishia kudanganywa danganywa humu jf so wakiona MTU una mahusiano yaliyo thabiti wanashindwa kuzuia chuki zao za wazi.

Sweatheart kila siku nipe zaidi ya Jana .Na Mimi I luv you nya'ng'a nya'ang'a.ANaeona Uzi wa hivi unamchoma apite mbali asubili Uzi anazoona zitamuuma akicoment kuliko kutumwagia mapovu ya kipumbavu.BOra Thad kajisemea ukweli wake ye ana ugonjwa wa wivu na akiona mibebishano anajiweka mbali hataki maimivu.

Na bado kuna watu watadanga sana kwa roho mbaya zako.
 
JF bana ..akiwa Bold na Nipha [emoji818]
Akiwa Ivuga na ina[emoji818]
Akiwa Daby na nanii[emoji818]
Akiwa Sky na Aspirin[emoji818]
Akiwa smart na mahondwa[emoji818]

SASA AKIWA ,,MIMA NA PUTIN[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777].
Cheeeeeee jaman ,,, Shida ni Mimwhite ????????? Au shida ni Putin????????? Bado naendelea kufikiria lkn jibu sipati .

Mbn mkiandikiwa au mkiandikia ,hamna Mahali Mimwhite au Putin tunakuja kuwadis ????? Sijui multiple ID ,,sijui fake ID sijui ivi Nov 24 hayo yamefanywa muda gan ??? Sijui cheeeeeeeee Mimi Putin NIMEWACHOKA . MWACHEN BINTI WAWATU APUMUE CHEEEEE ...KAMA UNAMWANAMKE AU MWANAMME MUANZISHIE UZIIII ,,TUJE TUCHANGIEEEEEEEE ..TATIZO MNAWAPENZI KIBAOOOOO HUMU SASA UNAWAZA UKIMUANZISHIA YULE ,,NAHUYU ATAGOMBA ,,ACHENIIII ZENUUUUUUU.

IFIKE WAKATI MKUBALIANE NA MATOKEO KWAMBA MIMAWHITE NI MWANAMKE WA PUTIN FULL STOP....... SASA MULTIPLE ID ILI IWEJE ?? YAAAAN YEYE MIMA NDO ANAENDESHA NA AKAUNTI YANGU???? AU MIMI PUTIN NDO NAENDESHA NAIYO??.

ITS TIME TO FACE THE TRUTH KWAMBA ,,MIMA IS IN LOVE WITH PUTIN ... ....

NAHUYU MWANAMKE NIBONGE LAKISUUUUUUUU YAAAAN NIKISU BALAAAAA ,,KAMA NI CHAKULA UNAMLA BILA MBOGA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hamna sehemu ya kucomment kwa sauti jamani

Ila asante sana Mh mima jomoni nikaribishe basi hivi umesomapo hapa????
 
Daahhhhh Mkuuu bora yenu ,,hamuambiwi Multiple ID ...duuuhhh nataman hili jini LA multiple ID lihamie kwenu nasisi tupumzike !!.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] endeleeni kubebika waachieni wanafiki kazi hiyo
 
Aaahhhhh nmewachoka kwakweli .... Mwanamke nikujue Mimi ....unijue wewe ....alafu Presha wawe nazo wengine chaaaaaaa

Yaaan mtu anavutika kufuatilia maisha yawatu kushinda maisha yake.

Baby ,,, usichoke kunipa masuprise km hayaaa...ujue unanifanya kila siku nifikirie namna gan yakukufanya ujione wakipekeeee hapa dunian.

Ningekupa dunia mpenzi Wangu ,ila nmegundua Wenye Roho mbaya nao pia wanaitajika kuwepo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kula ule wewe sie huku full miguno na kukata mauno hajajajaja inahuuuuuuuu.........mxiewwwwwww
 
Back
Top Bottom