Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Hasa jinsia ya kukojoa tumechuchumaa tuko na shida kweli wengine upo hapa unampeti Vlad wao wapo pm wanajitongozesha Putin namuaminia siku moja uwalipue tu wajinga kweli
 
Wamebaki kujifunika na kuwanga na hawatoweza kwa uwezo wa Mungu wetu aliye juu
 
Wacha wadange ...kuna wengine ,,,KAZI YAO WANALIKE KOMENT ZINAZOPONDA HAPA PENZI LETU [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

UNAYEFANYA IVO WEWE NI[emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] kingereza tunakuita Matotoisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nmekuona.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] endeleeni kubebika waachieni wanafiki kazi hiyo
Yahnbkapeace wengine sawa akiwa mima na Putin.....uuwiii watu wanafukunyua tarumejiunga lini sijui hivi vile ilimradi utumbo tu ama kwa hakika nimesadiki maneno yako humu wachawi wengi mboo wafanye wako ndio wanakuwa wako sahihi lakini mima na Putin mamaweeeeeeeeh
 
Hamna sehemu ya kucomment kwa sauti jamani

Ila asante sana Mh mima jomoni nikaribishe basi hivi umesomapo hapa????
I wish ingekuwepo ....ningetoa Waraka Wa VOICE MESSAGE HAPAAA.

Ila Sauti ya Mima ,ingewazuzua wengi nawengine kufa kwa wivu ...ujue kwasababu ???? Malaika sauti zao huwa nizakipekee sana!!!!.
 
Alafu unajua nn Kapeace ....the way Mimi ,,nawewe na Mima ,, tunavyochat ivi ,, watu ndo wanachanganyikiwa.....ifike mahal wanakuhisi Ww ni mwanamme ,namima naye mwanamme.
Basi robot hilo, wanajua tulipotokea au tunaishi wapi watuache tuwashwe tubebike tulike tupagawe hatujaua wala kuvunja sheria za nchi

Pilipipi usoila yakuwashia nini????
 
Nasubiri mbebisho wako wa baadae navyokujua ktk hiyo sekta baba ndo watalike mpk vidole vibonyeee
 
matotoisi wewe matoisi tumekuonaaaaaaa.........unalike tuuuuu unalikeeee tu.....tunakuchora tuuu
..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…