Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

kabisaaaa yahn humu wamezidi ubinafsi mamaeeee siku akibebishana mima na Putin basi watu mapovu yanawatoka sijui wanatakaje mbona kwa wengine sawa ahaaa basi hii inanifanya niamini mapenzi yetu yanakitu cha ziada alafu nimegundua yana wachawi wengi wasiopenda maendeleo ya wenzao duuuh ni shida
Hasa jinsia ya kukojoa tumechuchumaa tuko na shida kweli wengine upo hapa unampeti Vlad wao wapo pm wanajitongozesha Putin namuaminia siku moja uwalipue tu wajinga kweli
 
Umeona eeeh wengine hawajawi kupendwa wanaishia kudanganywa danganywa humu jf so wakiona MTU una mahusiano yaliyo thabiti wanashindwa kuzuia chuki zao za wazi.

Sweatheart kila siku nipe zaidi ya Jana .Na Mimi I luv you nya'ng'a nya'ang'a.ANaeona Uzi wa hivi unamchoma apite mbali asubili Uzi anazoona zitamuuma akicoment kuliko kutumwagia mapovu ya kipumbavu.BOra Thad kajisemea ukweli wake ye ana ugonjwa wa wivu na akiona mibebishano anajiweka mbali hataki maimivu.

Na bado kuna watu watadanga sana kwa roho mbaya zako.
Wamebaki kujifunika na kuwanga na hawatoweza kwa uwezo wa Mungu wetu aliye juu
 
Umeona eeeh wengine hawajawi kupendwa wanaishia kudanganywa danganywa humu jf so wakiona MTU una mahusiano yaliyo thabiti wanashindwa kuzuia chuki zao za wazi.

Sweatheart kila siku nipe zaidi ya Jana .Na Mimi I luv you nya'ng'a nya'ang'a.ANaeona Uzi wa hivi unamchoma apite mbali asubili Uzi anazoona zitamuuma akicoment kuliko kutumwagia mapovu ya kipumbavu.BOra Thad kajisemea ukweli wake ye ana ugonjwa wa wivu na akiona mibebishano anajiweka mbali hataki maimivu.

Na bado kuna watu watadanga sana kwa roho mbaya zako.
Wacha wadange ...kuna wengine ,,,KAZI YAO WANALIKE KOMENT ZINAZOPONDA HAPA PENZI LETU [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

UNAYEFANYA IVO WEWE NI[emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] kingereza tunakuita Matotoisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nmekuona.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] endeleeni kubebika waachieni wanafiki kazi hiyo
Yahnbkapeace wengine sawa akiwa mima na Putin.....uuwiii watu wanafukunyua tarumejiunga lini sijui hivi vile ilimradi utumbo tu ama kwa hakika nimesadiki maneno yako humu wachawi wengi mboo wafanye wako ndio wanakuwa wako sahihi lakini mima na Putin mamaweeeeeeeeh
 
Hamna sehemu ya kucomment kwa sauti jamani

Ila asante sana Mh mima jomoni nikaribishe basi hivi umesomapo hapa????
I wish ingekuwepo ....ningetoa Waraka Wa VOICE MESSAGE HAPAAA.

Ila Sauti ya Mima ,ingewazuzua wengi nawengine kufa kwa wivu ...ujue kwasababu ???? Malaika sauti zao huwa nizakipekee sana!!!!.
 
Alafu unajua nn Kapeace ....the way Mimi ,,nawewe na Mima ,, tunavyochat ivi ,, watu ndo wanachanganyikiwa.....ifike mahal wanakuhisi Ww ni mwanamme ,namima naye mwanamme.
Basi robot hilo, wanajua tulipotokea au tunaishi wapi watuache tuwashwe tubebike tulike tupagawe hatujaua wala kuvunja sheria za nchi

Pilipipi usoila yakuwashia nini????
 
Wacha wadange ...kuna wengine ,,,KAZI YAO WANALIKE KOMENT ZINAZOPONDA HAPA PENZI LETU [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

UNAYEFANYA IVO WEWE NI[emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] kingereza tunakuita Matotoisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nmekuona.
Nasubiri mbebisho wako wa baadae navyokujua ktk hiyo sekta baba ndo watalike mpk vidole vibonyeee
 
Wacha wadange ...kuna wengine ,,,KAZI YAO WANALIKE KOMENT ZINAZOPONDA HAPA PENZI LETU [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

UNAYEFANYA IVO WEWE NI[emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] [emoji217] kingereza tunakuita Matotoisi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...nmekuona.
matotoisi wewe matoisi tumekuonaaaaaaa.........unalike tuuuuu unalikeeee tu.....tunakuchora tuuu
..
 
Back
Top Bottom