Nyie bebikeni tu si ndo kero yao kubwa mpk waache kuwa wanacomment kwenye nyuzi zenu mimi nipo ntawapamba na kigelegele cha maanaYahnbkapeace wengine sawa akiwa mima na Putin.....uuwiii watu wanafukunyua tarumejiunga lini sijui hivi vile ilimradi utumbo tu ama kwa hakika nimesadiki maneno yako humu wachawi wengi **** wafanye wako ndio wanakuwa wako sahihi lakini mima na Putin mamaweeeeeeeeh
Oooh yeah ndo wangezeeka ujue stress zinazeesha eh!!!I wish ingekuwepo ....ningetoa Waraka Wa VOICE MESSAGE HAPAAA.
Ila Sauti ya Mima ,ingewazuzua wengi nawengine kufa kwa wivu ...ujue kwasababu ???? Malaika sauti zao huwa nizakipekee sana!!!!.
Ukiwa na akili NA makalioni ,lazima ujishuhulishe na ubize usokua nafaida.Yahnbkapeace wengine sawa akiwa mima na Putin.....uuwiii watu wanafukunyua tarumejiunga lini sijui hivi vile ilimradi utumbo tu ama kwa hakika nimesadiki maneno yako humu wachawi wengi **** wafanye wako ndio wanakuwa wako sahihi lakini mima na Putin mamaweeeeeeeeh
Ndo napokupendea aisee mima ana bahati mno ila upunguze ukali sometimesAma hakika hawatoweza ...maana kwangu mapenzi na huduma ni 100% guaranteed!!!.
Akili za makalioni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiwa na akili NA makalioni ,lazima ujishuhulishe na ubize usokua nafaida.
Naivo ndo wanavyofanya.
Hata Mimi nashangaaa sanaaaaBasi robot hilo, wanajua tulipotokea au tunaishi wapi watuache tuwashwe tubebike tulike tupagawe hatujaua wala kuvunja sheria za nchi
Pilipipi usoila yakuwashia nini????
Umeonaaaa watuache tubebike kwa raha zetu watu wa nataka kujutia umiliki wa jf kwamba mazuri yote yao wakifanya wenzao makosa watuache tu ikiwachoma wapite kama hamna kilochotokea wapite kimya kimyaNyie bebikeni tu si ndo kero yao kubwa mpk waache kuwa wanacomment kwenye nyuzi zenu mimi nipo ntawapamba na kigelegele cha maana
Hakika watu ,vidole vitavunjika.Nasubiri mbebisho wako wa baadae navyokujua ktk hiyo sekta baba ndo watalike mpk vidole vibonyeee
Ama hakika Matotoisi ,,tumemwona !!!.matotoisi wewe matoisi tumekuonaaaaaaa.........unalike tuuuuu unalikeeee tu.....tunakuchora tuuu
..
Ikiwapa tumbo uharo wakaharishe na matibabu hatuwachangiiiUmeonaaaa watuache tubebike kwa raha zetu watu wa nataka kujutia umiliki wa jf kwamba mazuri yote yao wakifanya wenzao makosa watuache tu ikiwachoma wapite kama hamna kilochotokea wapite kimya kimya
JF bana ..akiwa Bold na Nipha [emoji818]
Akiwa Ivuga na ina[emoji818]
Akiwa Daby na nanii[emoji818]
Akiwa Sky na Aspirin[emoji818]
Akiwa smart na mahondwa[emoji818]
SASA AKIWA ,,MIMA NA PUTIN[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777].
Cheeeeeee jaman ,,, Shida ni Mimwhite ????????? Au shida ni Putin????????? Bado naendelea kufikiria lkn jibu sipati .
Mbn mkiandikiwa au mkiandikia ,hamna Mahali Mimwhite au Putin tunakuja kuwadis ????? Sijui multiple ID ,,sijui fake ID sijui ivi Nov 24 hayo yamefanywa muda gan ??? Sijui cheeeeeeeee Mimi Putin NIMEWACHOKA . MWACHEN BINTI WAWATU APUMUE CHEEEEE ...KAMA UNAMWANAMKE AU MWANAMME MUANZISHIE UZIIII ,,TUJE TUCHANGIEEEEEEEE ..TATIZO MNAWAPENZI KIBAOOOOO HUMU SASA UNAWAZA UKIMUANZISHIA YULE ,,NAHUYU ATAGOMBA ,,ACHENIIII ZENUUUUUUU.
IFIKE WAKATI MKUBALIANE NA MATOKEO KWAMBA MIMAWHITE NI MWANAMKE WA PUTIN FULL STOP....... SASA MULTIPLE ID ILI IWEJE ?? YAAAAN YEYE MIMA NDO ANAENDESHA NA AKAUNTI YANGU???? AU MIMI PUTIN NDO NAENDESHA NAIYO??.
ITS TIME TO FACE THE TRUTH KWAMBA ,,MIMA IS IN LOVE WITH PUTIN ... ....
NAHUYU MWANAMKE NIBONGE LAKISUUUUUUUU YAAAAN NIKISU BALAAAAA ,,KAMA NI CHAKULA UNAMLA BILA MBOGA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuamin.....hata ukibaki wewe pekee yako,,,namima ..mnanitoshaaaa.Nyie bebikeni tu si ndo kero yao kubwa mpk waache kuwa wanacomment kwenye nyuzi zenu mimi nipo ntawapamba na kigelegele cha maana
Ama hakika ,stress ,,,nihatare kwa afya yako.Oooh yeah ndo wangezeeka ujue stress zinazeesha eh!!!
Heri rafiki mmoja mkweli kuluko marafiki mia wanafiki tu sinaga unafiki unanijuaNakuamin.....hata ukibaki wewe pekee yako,,,namima ..mnanitoshaaaa.
Hahahahahhaa Mima sasa kanijuliaaaa.Ndo napokupendea aisee mima ana bahati mno ila upunguze ukali sometimes
Itabidi anifundishe hiyo mbinuHahahahahhaa Mima sasa kanijuliaaaa.
Sana tuuuNakuamin.....hata ukibaki wewe pekee yako,,,namima ..mnanitoshaaaa.
Bila shaka ,hamna hoja yoyote ITAKAYOWEZA KUKUBADILISHIA UHALALI WA WAZAZI ...SINDIO???.Tulia ww usitake kulazimisha watu waamini vitu unavyovitaka ww kila mtu ataamini vile roho yake itakavyo sasa kama nyie mnaanzisha uzi mnataka watu watoe maoni mnayoyataka mtasubiri sana kila mtu na akili yake hapa
Hakika...Bahati nzuri ,,Humu hamna anayenilisha wala kunivisha ..Heri rafiki mmoja mkweli kuluko marafiki mia wanafiki tu sinaga unafiki unanijua
Mtakubaliana wenyewe huko.Itabidi anifundishe hiyo mbinu