Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Yahnbkapeace wengine sawa akiwa mima na Putin.....uuwiii watu wanafukunyua tarumejiunga lini sijui hivi vile ilimradi utumbo tu ama kwa hakika nimesadiki maneno yako humu wachawi wengi **** wafanye wako ndio wanakuwa wako sahihi lakini mima na Putin mamaweeeeeeeeh
Nyie bebikeni tu si ndo kero yao kubwa mpk waache kuwa wanacomment kwenye nyuzi zenu mimi nipo ntawapamba na kigelegele cha maana
 
Ukiwa na akili NA makalioni ,lazima ujishuhulishe na ubize usokua nafaida.

Naivo ndo wanavyofanya.
 
Nyie bebikeni tu si ndo kero yao kubwa mpk waache kuwa wanacomment kwenye nyuzi zenu mimi nipo ntawapamba na kigelegele cha maana
Umeonaaaa watuache tubebike kwa raha zetu watu wa nataka kujutia umiliki wa jf kwamba mazuri yote yao wakifanya wenzao makosa watuache tu ikiwachoma wapite kama hamna kilochotokea wapite kimya kimya
 
Umeonaaaa watuache tubebike kwa raha zetu watu wa nataka kujutia umiliki wa jf kwamba mazuri yote yao wakifanya wenzao makosa watuache tu ikiwachoma wapite kama hamna kilochotokea wapite kimya kimya
Ikiwapa tumbo uharo wakaharishe na matibabu hatuwachangiii
 
JF bana ..akiwa Bold na Nipha [emoji818]
Akiwa Ivuga na ina[emoji818]
Akiwa Daby na nanii[emoji818]
Akiwa Sky na Aspirin[emoji818]
Akiwa smart na mahondwa[emoji818]

SASA AKIWA ,,MIMA NA PUTIN[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777].
Cheeeeeee jaman ,,, Shida ni Mimwhite ????????? Au shida ni Putin????????? Bado naendelea kufikiria lkn jibu sipati .

Mbn mkiandikiwa au mkiandikia ,hamna Mahali Mimwhite au Putin tunakuja kuwadis ????? Sijui multiple ID ,,sijui fake ID sijui ivi Nov 24 hayo yamefanywa muda gan ??? Sijui cheeeeeeeee Mimi Putin NIMEWACHOKA . MWACHEN BINTI WAWATU APUMUE CHEEEEE ...KAMA UNAMWANAMKE AU MWANAMME MUANZISHIE UZIIII ,,TUJE TUCHANGIEEEEEEEE ..TATIZO MNAWAPENZI KIBAOOOOO HUMU SASA UNAWAZA UKIMUANZISHIA YULE ,,NAHUYU ATAGOMBA ,,ACHENIIII ZENUUUUUUU.

IFIKE WAKATI MKUBALIANE NA MATOKEO KWAMBA MIMAWHITE NI MWANAMKE WA PUTIN FULL STOP....... SASA MULTIPLE ID ILI IWEJE ?? YAAAAN YEYE MIMA NDO ANAENDESHA NA AKAUNTI YANGU???? AU MIMI PUTIN NDO NAENDESHA NAIYO??.

ITS TIME TO FACE THE TRUTH KWAMBA ,,MIMA IS IN LOVE WITH PUTIN ... ....

NAHUYU MWANAMKE NIBONGE LAKISUUUUUUUU YAAAAN NIKISU BALAAAAA ,,KAMA NI CHAKULA UNAMLA BILA MBOGA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tulia ww usitake kulazimisha watu waamini vitu unavyovitaka ww kila mtu ataamini vile roho yake itakavyo sasa kama nyie mnaanzisha uzi mnataka watu watoe maoni mnayoyataka mtasubiri sana kila mtu na akili yake hapa
 
Bila shaka ,hamna hoja yoyote ITAKAYOWEZA KUKUBADILISHIA UHALALI WA WAZAZI ...SINDIO???.

KAMA NDIO ,,TULIZA MAKALIO YAKO CHINI YAPATE JOTO .
 
Back
Top Bottom