Hahaha acha hzo ivuga tushaachana me sina mtu ujue ila kuna mtu nmempenda humu nataka nmwanzishie uzi tubebishane[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna aliyenificha ila kila nikija ugonjwa wangu wa wivu unaamkaga nikikuona unabebishana na Ivunga [emoji12] [emoji12]
Ngoja na sisi sikumoja tuyajenge kisawa sawaKila la heri kwenye mapenz yenu
Not true .....Huyu mwanamke nachompendea ,niupendo wake wakua Wazi ,,ujue yupo open sana mpaka wakat fulan najiuliza nini nimtendeee km shukran zakutambua uwepo wake !!!.
You see ??? Nahii ndo sababu kwann mapenzi ya wazungu yananoga lkn wabongo hayanogi ,unajua kwann ???? .. Wazungu niwapo open sana linapokuja suala LA mahusiano .
Wabongo mpaka kua Open ,inadhihirisha namna gan kajikomiti ,nasi humu tuuu hata nje yahumu !!!.... For really she is a woman ambaye any man lazima apige goti nakushukuru .
Sasa kuhusu tangazo LA bidhaa mojaa,, sikuungi mkono ndo maana "Whitedent" ndo dawa inayoongoza mpaka Leo .
Kuhusu from to .........nityping error ambazo alilenga isomeke ivi
*From Mima to Putin* au *from Mima Wa Putin*.
Hebu muulize. Jana nilijikuta mwenyeweHivi lkn nani kakuficha ile mida yetu au shem nn[emoji40] [emoji40]
Kama kweli mmeachana basi niunganishe nae ili nami nionje ka radha ka kubebishwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaha acha hzo ivuga tushaachana me sina mtu ujue ila kuna mtu nmempenda humu nataka nmwanzishie uzi tubebishane[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kweli kabsa ukujeeNgoja na sisi sikumoja tuyajenge kisawa sawa
...........kama siyo multiple Id sijui!?nawaza tu saiz si ajabu PM ya huyo Vladmr itakuwa imejaa jumbe za wadada wa JF wakitaka nao waonyeshwe hayo mapenzi ya kweli.Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
Gud mkuuu.Nataka kutest tu . Sina matumizi ya kuzidi testing tu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Shem hivi kwanini na wewe usifungue uzi wa kumbebisha rafiki yangu hapa.
Jana ata ww hukujaHebu muulize. Jana nilijikuta mwenyewe
Nakuja inbox tuyajengeKweli kabsa ukujee
Hahaaaaa my sweetheart Kapeace ,, nimekumis mama !!.Nilikuwa nasubiri mgombane nichukue nafasi kumbe ndo kwanzaaa penzi mubashara,,
Nimegundua humu kuna watu wamejawa wivu na roho mbaya hawataki mtu ushushe Uzi wa raha na kubebishana km huu kazi kufatilia ID mpya au ya zamani jf acheni uchawi haswa haswa wanawake km hubebishwi huko ulipo nenda kwa sangoma au funga maombi kwa Mungu wako umpate wa kukubebisha ukiona hizi mada zinakufanya kalio liwashe washe pita bila hata kutia shombo kwenye nyuzi za watu
Mima tunyooshe ila mumeo nae huyo ana wengi we kaba Linda na shambulia ataepatwa na shambulizi mfukie tu hakuna namna ke nyingi humu zimejaa roho nyeusi km wachawi wa gambosh shenzi zenu mxiiiiieeeeeewwww
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Nilikuwa nasubiri mgombane nichukue nafasi kumbe ndo kwanzaaa penzi mubashara,,
Nimegundua humu kuna watu wamejawa wivu na roho mbaya hawataki mtu ushushe Uzi wa raha na kubebishana km huu kazi kufatilia ID mpya au ya zamani jf acheni uchawi haswa haswa wanawake km hubebishwi huko ulipo nenda kwa sangoma au funga maombi kwa Mungu wako umpate wa kukubebisha ukiona hizi mada zinakufanya kalio liwashe washe pita bila hata kutia shombo kwenye nyuzi za watu
Mima tunyooshe ila mumeo nae huyo ana wengi we kaba Linda na shambulia ataepatwa na shambulizi mfukie tu hakuna namna ke nyingi humu zimejaa roho nyeusi km wachawi wa gambosh shenzi zenu mxiiiiieeeeeewwww
Hahhaaaa ngoja nimwiteKama kweli mmeachana basi niunganishe nae ili nami nionje ka radha ka kubebishwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ninong'oneze huyo ulompenda ili niwatungie shairi la mapenzi yenu [emoji4] [emoji4]
[emoji87] [emoji87] nafaham shem ila hujapata namna ya kutibu tu hadi leo?Shem si unajua ugonjwa wangu lakini? Yaani hawa wameshaniamshia ugonjwa wangu,kuna uzi mwingine pia nimeona wa barua kwa mama sabrina.....kwali wanafj wataniua kwa wivu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Haaaaaa unatakiwa kupigwa risasi weweNataka kutest tu . Sina matumizi ya kuzidi testing tu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nilikuwepo. Baada ya kuona kimya nikasepaJana ata ww hukuja
Miss you too my loveHahaaaaa my sweetheart Kapeace ,, nimekumis mama !!.
neno limeeleweka.