Not true .....Huyu mwanamke nachompendea ,niupendo wake wakua Wazi ,,ujue yupo open sana mpaka wakat fulan najiuliza nini nimtendeee km shukran zakutambua uwepo wake !!!.
You see ??? Nahii ndo sababu kwann mapenzi ya wazungu yananoga lkn wabongo hayanogi ,unajua kwann ???? .. Wazungu niwapo open sana linapokuja suala LA mahusiano .
Wabongo mpaka kua Open ,inadhihirisha namna gan kajikomiti ,nasi humu tuuu hata nje yahumu !!!.... For really she is a woman ambaye any man lazima apige goti nakushukuru .
Sasa kuhusu tangazo LA bidhaa mojaa,, sikuungi mkono ndo maana "Whitedent" ndo dawa inayoongoza mpaka Leo .
Kuhusu from to .........nityping error ambazo alilenga isomeke ivi
*From Mima to Putin* au *from Mima Wa Putin*.