Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

Haaahah,aya bhuanaaaa furahia penzi lako bt siku mambo yakiwa ndivosivyo usiogope kuja kulialia tana...
 
Not true .....Huyu mwanamke nachompendea ,niupendo wake wakua Wazi ,,ujue yupo open sana mpaka wakat fulan najiuliza nini nimtendeee km shukran zakutambua uwepo wake !!!.

You see ??? Nahii ndo sababu kwann mapenzi ya wazungu yananoga lkn wabongo hayanogi ,unajua kwann ???? .. Wazungu niwapo open sana linapokuja suala LA mahusiano .

Wabongo mpaka kua Open ,inadhihirisha namna gan kajikomiti ,nasi humu tuuu hata nje yahumu !!!.... For really she is a woman ambaye any man lazima apige goti nakushukuru .

Sasa kuhusu tangazo LA bidhaa mojaa,, sikuungi mkono ndo maana "Whitedent" ndo dawa inayoongoza mpaka Leo .

Kuhusu from to .........nityping error ambazo alilenga isomeke ivi
*From Mima to Putin* au *from Mima Wa Putin*.

Nataka kutest tu . Sina matumizi ya kuzidi testing tu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Nilikuwa nasubiri mgombane nichukue nafasi kumbe ndo kwanzaaa penzi mubashara,,

Nimegundua humu kuna watu wamejawa wivu na roho mbaya hawataki mtu ushushe Uzi wa raha na kubebishana km huu kazi kufatilia ID mpya au ya zamani jf acheni uchawi haswa haswa wanawake km hubebishwi huko ulipo nenda kwa sangoma au funga maombi kwa Mungu wako umpate wa kukubebisha ukiona hizi mada zinakufanya kalio liwashe washe pita bila hata kutia shombo kwenye nyuzi za watu

Mima tunyooshe ila mumeo nae huyo ana wengi we kaba Linda na shambulia ataepatwa na shambulizi mfukie tu hakuna namna ke nyingi humu zimejaa roho nyeusi km wachawi wa gambosh shenzi zenu mxiiiiieeeeeewwww
 
Hahaha acha hzo ivuga tushaachana me sina mtu ujue ila kuna mtu nmempenda humu nataka nmwanzishie uzi tubebishane[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kama kweli mmeachana basi niunganishe nae ili nami nionje ka radha ka kubebishwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Ninong'oneze huyo ulompenda ili niwatungie shairi la mapenzi yenu [emoji4] [emoji4]
 
Mhh umejoin 24 November hata mwezi bado mna week kadhaa Kwenye penzi lenu mmetongozana lini ? Vyote hivyo vimefanyika katika wiki kadhaa mpk sifa zoteee Hizo umemmwagia au wewe Ndio vladmir umekuja kujipa ujiko kivingine Nimejikuta nawaza mbaliiii
...........kama siyo multiple Id sijui!?nawaza tu saiz si ajabu PM ya huyo Vladmr itakuwa imejaa jumbe za wadada wa JF wakitaka nao waonyeshwe hayo mapenzi ya kweli.
 
c130e93e10e770e81e1244b62e58e87a.jpg
Shem hivi kwanini na wewe usifungue uzi wa kumbebisha rafiki yangu hapa.
Ila siku ya kuufungua huo uzi unambie mapema ili nilog out kwa muda
 
Nilikuwa nasubiri mgombane nichukue nafasi kumbe ndo kwanzaaa penzi mubashara,,

Nimegundua humu kuna watu wamejawa wivu na roho mbaya hawataki mtu ushushe Uzi wa raha na kubebishana km huu kazi kufatilia ID mpya au ya zamani jf acheni uchawi haswa haswa wanawake km hubebishwi huko ulipo nenda kwa sangoma au funga maombi kwa Mungu wako umpate wa kukubebisha ukiona hizi mada zinakufanya kalio liwashe washe pita bila hata kutia shombo kwenye nyuzi za watu

Mima tunyooshe ila mumeo nae huyo ana wengi we kaba Linda na shambulia ataepatwa na shambulizi mfukie tu hakuna namna ke nyingi humu zimejaa roho nyeusi km wachawi wa gambosh shenzi zenu mxiiiiieeeeeewwww
Hahaaaaa my sweetheart Kapeace ,, nimekumis mama !!.

neno limeeleweka.
 
Nilikuwa nasubiri mgombane nichukue nafasi kumbe ndo kwanzaaa penzi mubashara,,

Nimegundua humu kuna watu wamejawa wivu na roho mbaya hawataki mtu ushushe Uzi wa raha na kubebishana km huu kazi kufatilia ID mpya au ya zamani jf acheni uchawi haswa haswa wanawake km hubebishwi huko ulipo nenda kwa sangoma au funga maombi kwa Mungu wako umpate wa kukubebisha ukiona hizi mada zinakufanya kalio liwashe washe pita bila hata kutia shombo kwenye nyuzi za watu

Mima tunyooshe ila mumeo nae huyo ana wengi we kaba Linda na shambulia ataepatwa na shambulizi mfukie tu hakuna namna ke nyingi humu zimejaa roho nyeusi km wachawi wa gambosh shenzi zenu mxiiiiieeeeeewwww
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Santeeeeeeeeee

Cc Smart911
 
Kama kweli mmeachana basi niunganishe nae ili nami nionje ka radha ka kubebishwa [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Ninong'oneze huyo ulompenda ili niwatungie shairi la mapenzi yenu [emoji4] [emoji4]
Hahhaaaa ngoja nimwite
Saint Ivuga kuna mdada huku kakupenda njoo anaitwa Thad
Uyo mwingine ntakutajia mida yetu sahz wachawi wengi
 
Shem si unajua ugonjwa wangu lakini? Yaani hawa wameshaniamshia ugonjwa wangu,kuna uzi mwingine pia nimeona wa barua kwa mama sabrina.....kwali wanafj wataniua kwa wivu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji87] [emoji87] nafaham shem ila hujapata namna ya kutibu tu hadi leo?
 
Back
Top Bottom