Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori.
Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi, ambapo nilibahatika kukaa na binti mrembo ambaye alikuwa sio muongeaji sana; ila kutokana na urefu wa safari, tukajikuta tunazungumza mambo mengi ya hapa na pale.
Baadaye stori za muhimu zikaisha, shetani akaingilia kati, tukajikuta tunaongelea mambo ya mahusiano, kumtazama mrembo machoni, nikamuona anaanza kurembua rembua; hapo mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio sana.
Miaka hiyo bara bara ilikuwa ni ya vumbi, kwa hiyo ilitulazimu kuingia mwanza usiku mkali; ila tukiwa barabarani na giza, nilijikuta naendelea kuchombeza; mara paaa mrembo kaingia kingi, nikajikuta namshika hapa na pale; mara naye akaanza kutoa ushirikiano.
Sijui nilipata ujasiri wa namna gani, ila shetani ana nguvu sana; nikajikuta mkono napeleka kwenye ikulu yake, bila ata kuogopa kama nipo ndani ya basi, mara mrembo akaanza kuhema kwa sauti; waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chapo, hapo ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.
Ila kwa ujumla niliona aibu sana.
Kama huyu binti yumo humu na anakumbukia hilo tukio; nakuomba tuwasiliane haraka sana ili uweze kutunukiwa zawadi.