Penzi ndani ya basi

Penzi ndani ya basi

Kwani ungemalizia kwakusema ..... baada ya mambo yote ndani ya basi tulifika mwanza usiku mzito sana ikabidi nichukue room na kabla ya kulala nili vuta ndumu kisha nikanza kumwaga sumu ...
Sikufanikiwa mkuu, na sikuonana naye tena kwa sababu hakukuwa na mawasiliano.
 
Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori.

Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi, ambapo nilibahatika kukaa na binti mrembo ambaye alikuwa sio muongeaji sana; ila kutokana na urefu wa safari, tukajikuta tunazungumza mambo mengi ya hapa na pale.

Baadaye stori za muhimu zikaisha, shetani akaingilia kati, tukajikuta tunaongelea mambo ya mahusiano, kumtazama mrembo machoni, nikamuona anaanza kurembua rembua; hapo mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio sana.

Miaka hiyo bara bara ilikuwa ni ya vumbi, kwa hiyo ilitulazimu kuingia mwanza usiku mkali; ila tukiwa barabarani na giza, nilijikuta naendelea kuchombeza; mara paaa mrembo kaingia kingi, nikajikuta namshika hapa na pale; mara naye akaanza kutoa ushirikiano.

Sijui nilipata ujasiri wa namna gani, ila shetani ana nguvu sana; nikajikuta mkono napeleka kwenye ikulu yake, bila ata kuogopa kama nipo ndani ya basi, mara mrembo akaanza kuhema kwa sauti; waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chapo, hapo ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.

Ila kwa ujumla niliona aibu sana.

Kama huyu binti yumo humu na anakumbukia hilo tukio; nakuomba tuwasiliane haraka sana ili uweze kutunukiwa zawadi.​
Kumbe age imeenda hvyo
 
Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori.

Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi, ambapo nilibahatika kukaa na binti mrembo ambaye alikuwa sio muongeaji sana; ila kutokana na urefu wa safari, tukajikuta tunazungumza mambo mengi ya hapa na pale.

Baadaye stori za muhimu zikaisha, shetani akaingilia kati, tukajikuta tunaongelea mambo ya mahusiano, kumtazama mrembo machoni, nikamuona anaanza kurembua rembua; hapo mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio sana.

Miaka hiyo barabara ilikuwa ni ya vumbi, kwahiyo ilitulazimu kuingia Mwanza usiku mkali; ila tukiwa barabarani na giza, nilijikuta naendelea kuchombeza; mara paaa mrembo kaingia kingi, nikajikuta namshika hapa na pale; mara naye akaanza kutoa ushirikiano.

Sijui nilipata ujasiri wa namna gani, ila shetani ana nguvu sana; nikajikuta mkono napeleka kwenye ikulu yake, bila hata kuogopa kama nipo ndani ya basi, mara mrembo akaanza kuhema kwa sauti; waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chapo, hapo ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.

Ila kwa ujumla niliona aibu sana.

Kama huyu binti yumo humu na anakumbukia hilo tukio; nakuomba tuwasiliane haraka sana ili uweze kutunukiwa zawadi.​
We mzee bure kabisa,unasafiri na mtu from Ar to Mz barabara vumbi unashindwa kupiga? Wanao wasije rithi huo ujinga kwa kweli!!!
 
Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori.

Nilikuwa nasafiri kutoka Arusha kwenda Mwanza kwa basi, ambapo nilibahatika kukaa na binti mrembo ambaye alikuwa sio muongeaji sana; ila kutokana na urefu wa safari, tukajikuta tunazungumza mambo mengi ya hapa na pale.

Baadaye stori za muhimu zikaisha, shetani akaingilia kati, tukajikuta tunaongelea mambo ya mahusiano, kumtazama mrembo machoni, nikamuona anaanza kurembua rembua; hapo mapigo ya moyo yalianza kwenda mbio sana.

Miaka hiyo barabara ilikuwa ni ya vumbi, kwahiyo ilitulazimu kuingia Mwanza usiku mkali; ila tukiwa barabarani na giza, nilijikuta naendelea kuchombeza; mara paaa mrembo kaingia kingi, nikajikuta namshika hapa na pale; mara naye akaanza kutoa ushirikiano.

Sijui nilipata ujasiri wa namna gani, ila shetani ana nguvu sana; nikajikuta mkono napeleka kwenye ikulu yake, bila hata kuogopa kama nipo ndani ya basi, mara mrembo akaanza kuhema kwa sauti; waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chabo, hapo ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.

Ila kwa ujumla niliona aibu sana.

Kama huyu binti yumo humu na anakumbukia hilo tukio; nakuomba tuwasiliane haraka sana ili uweze kutunukiwa zawadi.​
Bado unamuita binti tu! Au umezeeka wewe tu yeye kabaki palepale
 
Kabisa iliwahi kunikuta nilikaa kwenye siti na binti mmoja kutoka moshi, ilikua mwaka 1994 , yeye akienda singida mimi mwanza, ilibidi nishuke kwanza nilale singida kama kesho nikapanda lori kuelekea mwanza na nikakuta wamefanya mazishi shetani ananguvu sana , popote alipo P namkumbuka sana
 
Ukajikuta umeongeza gharama zisizotarajiwa
 
Back
Top Bottom