People Republic of Kenya Mathare north Constituency Nairobi County

People Republic of Kenya Mathare north Constituency Nairobi County

I think am older than you!!!
Also richer but that is not the issue here lakini nimekupata mkuu
Hahaha older than you!
Richer than you!
Mpuuzi kweli!
Unataka nikuumbuwe wewe
Kijana umezaliwa 1990
Tulia Usifuate mkumbo Siasa Zitakupoteza
hayo unayo Shupalia hayata msaidia Mkenya kamwe, bali mnaenda kuwagawa wakenya na Taifa kwa ujumla
uchumi unaporomoka kisa upuuzi wenu !!
 
Hahaha older than you!
Richer than you!
Mpuuzi kweli!
Unataka nikuumbuwe wewe
Kijana umezaliwa 1990
Tulia Usifuate mkumbo Siasa Zitakupoteza
hayo unayo Shupalia hayata msaidia Mkenya kamwe, bali mnaenda kuwagawa wakenya na Taifa kwa ujumla
uchumi unaporomoka kisa upuuzi wenu !!
Sawa mrundi unanijua kweli kweli!!
 
Kenya acheni upuuzi, eti kugawa nchi hizo ni frustrations zilizo hasi. Kwani lazima wote wawe marais, mambo ya kijinga tu hayo mambo ya demokrasia ya kugawa nchi.
Katiba za afrika yapaswa ziwe kama UK mwenye wabunge wengi ndo anakuwa rais, katiba ziache kupigia mtu individual kura kuwa rais.
 
Sherehekea wakati watu wanauliwa. But one day the wind will change direction
Sisherehekei.
Ila nahuzunika watu wa jamii moja walivyobebwa akili na mtu mmoja, mpaka wako tayari kufa kwa sababu yake.
Binafsi mim siwezi bishana na polisi aliye na bunduki kwa sababu ya mwanasiasa. Ata awe nani.
 
Siku zote mimi huongea ukweli bila ushabiki, Wakenya kawaida huwa tunapendana sana, mimi binafsi nimeishi maisha ya kutokea chini kabisa, yaani kitaa wakati nikiwa kijana, maisha ya mama nitilie siku kwa siku. Niliona na kuonja upendo ambao Wakenya tunakuwanga nao kila siku, tatizo huwa plae siasa zinaingia na kutugawa, wanasiasa hupenda kutumia ulimbukeni wa wananchi kama mtaji.

Hili halina hata tofauti na Tanzania, kwenu huwa mna uchama, kwamba unakuta Mtanzania yupo sawa idara zote, lakini likija suala la uchama fahamu zinamtoka na kushabikia mlengo wake, atatumia nguvu nyingi sana kupindisha kila kitu ilmradi chama chake kionekane ndicho. Sasa tatizo hilo kwetu lipo kiukabila, yaani wanasiasa wanatugawa kwenye misingi ya kikabila.

Nafikiri hii picha hapa inaweza kukuonyesha kwa kifupi ninachokisema, kwamba watu kutovumiliana kisa siasa, hapa jamaa wa CHADEMA Tanzania anapigwa kwa mawe na matofali kama mwizi na wafuasi wa chama chako cha CCM kisa tu wametofautiana kimtazamo.

View attachment 610663
Mkuu huwezi kujadili mambo yako bila kuingiza Tanzania. Hii mambo ya Tz huwa yanakuprove wrong kila siku. Tz can't be comparable to Kenya sisi tulishvuka mambo mengi sana ktk umoja was kitaifa ndiyo maana hata wachache wakileta mambo ya kutugawa au kutufarakanisha kwa namna yyte the nation stands one. Siku Rail"0" alipotangaza kujitoa ktk uchaguzi nililiona hili la kujitenga just the same day. Leaders like that who always wish to decide for citizens kuwa macho nao
Siku zote mimi huongea ukweli bila ushabiki, Wakenya kawaida huwa tunapendana sana, mimi binafsi nimeishi maisha ya kutokea chini kabisa, yaani kitaa wakati nikiwa kijana, maisha ya mama nitilie siku kwa siku. Niliona na kuonja upendo ambao Wakenya tunakuwanga nao kila siku, tatizo huwa plae siasa zinaingia na kutugawa, wanasiasa hupenda kutumia ulimbukeni wa wananchi kama mtaji.

Hili halina hata tofauti na Tanzania, kwenu huwa mna uchama, kwamba unakuta Mtanzania yupo sawa idara zote, lakini likija suala la uchama fahamu zinamtoka na kushabikia mlengo wake, atatumia nguvu nyingi sana kupindisha kila kitu ilmradi chama chake kionekane ndicho. Sasa tatizo hilo kwetu lipo kiukabila, yaani wanasiasa wanatugawa kwenye misingi ya kikabila.

Nafikiri hii picha hapa inaweza kukuonyesha kwa kifupi ninachokisema, kwamba watu kutovumiliana kisa siasa, hapa jamaa wa CHADEMA Tanzania anapigwa kwa mawe na matofali kama mwizi na wafuasi wa chama chako cha CCM kisa tu wametofautiana kimtazamo.

View attachment 610663
Mkuu huwezi kujadili mambo yako bila kuingiza Tanzania. Hii mambo ya Tz huwa yanakuprove wrong kila siku. Tz can't be comparable to Kenya sisi tulishvuka mambo mengi sana ktk umoja was kitaifa ndiyo maana hata wachache wakileta mambo ya kutugawa au kutufarakanisha kwa namna yyte the nation stands one. Siku Rail"0" alipotangaza kujitoa ktk uchaguzi nililiona hili la kujitenga just the same day. Leaders like that who always wish to decide for citizens kuwa macho nao
 
Hii ndio ubaya ya kuelect kina kigeugeu to parliament wakati NASA ilikua inaelect Lawyers.
Still waiting to see how Siaya County will vote on 26..... No. Actually there won't be an Election on that day

I'd be happy if the governor or any politician owns the violence expected, so the law can take care of them individually.

Anyway, each constituency has hundreds of polling stations. You are chasing air thinking you can mobilize hooligans to stop voting in all those. By 7am, the constitional requirement will have been fulfilled in all counties. Everything else past that will be bonus.
 
Jomo Kenyatta took NYS to Luo Nyanza to help in clearing the forests/bushes in preparation for crop cultivation, however the people asked for Jembes which Kenyatta promised to deliver. However the same very people who asked for Jembes asked Kenyatta who was to cultivate the land on their behalf, Kenyatta got angry by the sheer laziness and entitlement of these people who do not want to till their land but want to participate in sharing the harvests.
Mk254 weka video au sound clip ya majibizano kati ya Mzee Kenyatta na Jaramogi if you have it please.

Ati Most Universities are in Central Kenya? Jkuat, Kimathi are the only public universities in Central the rest are PRIVATE.

Nairobi and Central Kenya are at close proximity. The colonial government tried to establish Machakos as the capital but it failed due to shortage or lack of adequate supplies such as food from the Akamba people but the moment they settled in Nairobi, the maasai fled while the Kikuyu being farmers spotted an opportunity to supply grains and meat.
The colonial govt took away the fertile Kikuyu lands for cultivation of cash crops and in the process laying the necessary infrastructure which after independence remained in the hands of Central People.

Maendeleo husababishwa na bidii ya watu binafsi kupitia kwa viongizi wao, mkiwachagua viongozi kupiga domo na siasa duni basi mjitayarishe kuvuna domo domo kwa mfano Nchini Tanzania with their socialist tendencies which is ailing the luo nyanza region.
 
What's the purpose of devolution if you still blame the government for underdevelopment?...... And stop that propaganda that central has more government projects than the rest
 
Sam, thanks for making ethnicity a topic of discussion coz upende usipende nchi yetu ina changamoto sio haba nayo. Afu ninachochukia zaidi ni ile attitude ya baadhi ya watu kuona wenzao kama binadamu robo kisa sio wa kabila lao. Those attitudes reflect in political discourse nani. Yaani kuna boss tribes and mboch tribes. Did you know i once kicked out a driver mwenye alijaribu kuniletea hizo mshene za ukabila ndani ya kazi whereby alikuwa anajaribu kuvuruga amani na matamshi na vitendo vya upuzi dhidi yangu. Yaani niliondoa mjamaa where he was standing bila kucheka. Ukabila ushindwe
 
But binafisi nimesema siku nyingi, naona hii ndio njia pekee, japo wengi tunatofautiana kila nikilizungumzia. Nchi hii tumeishi kinafiki kwa miaka mingi, japo tuna katiba bora zaidi ya zote Afrika lakini tumevurugwa kiakili na viongozi na kuishia kuchukiana hata bila sababu.

Igawanywe vipande tu ili tuagane kila upande uende unakotaka. Tumeishi mkao wa kufuata mkumbo na maagizo ya viongozi, leo hii hata hiyo mnaita People republic, ikitokea Kalonzo na Raila wagombane, mtaigawa vipande zaidi, pia ikitokea Uhuru na Ruto wawe na ugomvi, hicho kipande mtakachotuachia itabidi tukigawe zaidi. Yaani nchi tunaendesha kwa hisia za viongozi.

Kiongozi wa kule akigombana na wa huku mnagawa nchi, wa hapa akigombana na wa pale mnagawa nchi zaidi, huo ni mtindio wa ubongo. Kwamba kesho ya kesho Mudavadi akigombana na Wetangula hata Uluhyani itabidi wagawane, kabogo akigombana na Kiraitu tunagawa mkoa wa Kati.....upuzi mtupu.

Halafu unafiki ndio zetu, hamna upande wowote unaoweza kulekeza kidole kwa wa pili, mlengo wa NASA unaongozwa na viongozi wakabila watupu, vile vile Jubilee hawana utofauti wowote.

Naomba hiyo tarehe 26 ifike mapema kama pachimbike pachimbike tu, kama tutatengeneza tutengeneze, lakini ndio iwe mwisho wa haya malumbano, kila Mkenya awe tayari kulipia gharama, wa kufa afe, wa kuishi aishi lakini akiwa na amani akilini, aidha tuigawe nchi vipande au tuiboreshe lakini baada ya hiyo tarehe 26 lazima kieleweke. Sio kila wakati kiongozi akishindwa kwenye uchaguzi, kinachomjia akilini ni kuvuruga na kuharibu kila kitu, lazima tufike mwisho wa haya.
Ngoja JPM avizie counties kadhaa hapo ili tuzingakue.
What an opportunity.
 
That as most of you jubilee supporters dont get to understand is your own position...
You and few i get are not psychos but you need to know that that statement you just made is Jubilees position not Kenyas position!!!!

Mlisema hayo juu ya Tom mboya

Mkauwa Tom mboya mkidhani sasa mumewazika wajaluo .....

The opposite happened mlipea jaramogi na Raila nguvu....

Sasa mnasema hivi tena well guess what Babu owino will or any other person Orengo Nyong'o will rise

Alafu mtaanza kusema shida ya kenya ni huyu akitolewa Kenya itakuwa poa....finaly you will realise just like most Kikuyus are saying shida Ni wajaluo wakitolewa Kenya kutakuwa poa guess what opposition Kisii vote alone is twice total number of registered people in Kisumu!!!

That is what most of you dont get .....its not Jaluos Alone!!!!
It has never been!!!. .just that their leaders are outspoken and have a wider scope in Mind while Luhya Kisii Mijikenda Kamba Taita and Masai leaders have A local scope in Mind!!!


Go to western kenya uone mahali kama kilgoris Narok county
Masais Kales Jaluos Kisiis and luos live together share names inter marry and share their lands
That is same in Bomet east Sotik Kisumu North near Kakamega Migori- also include Kuria here ...

Mnaona hizi tribes zikiwapa small support outside their turfs mnadhania ni kila mtu sasa anasupport Uhuru ispokua wajaluo

Noooo!!
tupatane kwa debe my brother. Democracy is where Majority have their way while the minority their say kwa mfano Nchini jirani ya Tanzania where CCM inao wafuasi wengi kuliko CHADEMA na sijaona wafuasi wake wakizua vurugu na kuharibu Mali ya umma kwa kushindwa uchaguzi. Why can't you emulate our southern Neighbors? Wakikuyu pia ni Wakenya and they struggle like the rest of Kenyans.
 
Kenya will never be divided.the next president is ruto upto 2032 and raila would be dead then...after 2032 God knows
 
Aaah, ni swali gumu sana kulijibu, ila tatizo la Kenya lilitokana na mzee Jommo Kenyatta kushindwa kuwa na maono au lengo la kujenga taifa la Kenya, alidhani wananchi watakuwa kitu kimoja automatically bila kufanya juhudi za makusudi za kuwaleta pamoja, matokeo yake ndio haya tunayoyaona sasa. Jambo la kushangaza wananchi wengi wa Kenya wanaishi maisha ya nadharia sana kwa kujifanya hali hii ya mgawanyiko haipo ni maneno tu ya watu wasioipenda Kenya, wanajidanganya kufuata demokrasia sawa na nchi zisizo na matatizo ya ukabila, walipaswa kuchagua mfumo wa demokrasia ambao ungetilia maanani ukabila wao na kuingiza katika katiba yao ili kuongoza nchi, kwa mfano huku Tanzania tulipoungana na Zanzibar, tulitengeneza katiba ambayo ilitilia maanani utofauti huo wa Tanganyika na Zanzibar, tukafanya kwamba urais uwe ni wakupokezana kati ya Bara na Zanzibar, hatukujidanganya kama wanavyojidanganya wakenya kwa kusema, mtu yeyote agombee tu bila kujali tofauti zilizopo ndani ya nchi, eti kw kigezo cha demokrasia ndiyo inataka hivyo, huko ni kujidanganya, kwa sababu makundi yanaidadi tofauti ya watu, kuna baadhi ya jamii hazitokaa ziongoze milele, kama watu hawajali tofauti zao kama huku Tanzania, hilo sio tatizo, lakini kwa nchi iliyogawanyika kama Kenya, ni lazima kuwa mfumo wa makusudi wa kuhakikisha kila kabila lina uhakika kuna siku watatawala nchi, hata kama ni baada ya miaka mia mbili ijayo, watakuwa wanajiona nao ni raia sawa na kabila lingine lolote nchini, ila kwa sasa, mtaita ana uhakika hata baada ya miaka elfu moja hawezi kuwa rais wa Kenya, njia pekee ni kujitenga ambako huko kunaweza kuwahakikishia nafasi ya kupata kuwa rais.

Kwa kifupi Kenya ni lazima ichague kati ya haya mawili
1)Iweke sheria ya kupokezana nafasi ya urais na makamo rais kufuata makabila, hii itaifanya Kenya iendelee kuwa nchi moja
2)Nchi igawanywe kama inavyopendekezwa na baadhi ya wakenya
Wewe unakurupuka tu, hamna lolote ulijualo kuhusu Kenya. Eti Mzee Jomo Kenyatta Alishindwa kuunganisha wakenya? Je Jaramogi Oginga aliwaunganisha akina Nani?

Ushabiki wako ni wakipuzi na umejaa umbea wa vijiweni bila Facts zozote.
Wachana na Mambo ya Kenya hauwezani naye.
 
Better to die fighting for freedom, than be a prisoner all your life ~ Bob Marley.
 
Secondly
Most people in central Kenya in 1997 after the second post election violence especially in Laikipia were openly asking for seccession

Moi aliwakalia wote sambamba

8804cd3e8b6840b819f0c022230aed64.jpg

Wakati huu wamesahau kabisa kilicho wakumba juu wana uongozi mkononi mwao!!! Itabadilika it always changes

Namtajuta tu!!!...the only proble is that Kenya wont be there mtakuwa nchi yenu mnateswa na watu wenu...


MOTOCHINI my anti jubilee issues arent unfounded!!!
d874507cc7aa7905a76605f34bc0bfc4.jpg


SAsa mnataka kuchukua waluhya by force wakue nchi yenu ya nyanza kwa sababu wameunga mkono raila 2017 ? watakaposema pia wataka urais si mtasema hawawezi ongoza? kwanza hao ni majority kushinda nyie wajaluo afu kwao hawana shamba wengi wao wametegemea rift valley hakuna venye watakubali kuwa part of nyanza simply they want presidency when in really sense they will lose out greatly. Leo ni wazuri kwa kuwa wamewapa support wakati mtapita mnaanza kuwaita watchmen.
 
Aisee pamoja Sana bro wengine tumechoka kukaa kwenye hili liinchi mazee!
193024_c6f2ce8f48ca909f1dd5e9e11981a732.jpg
 
Back
Top Bottom