Pep Guardiola amekamilisha talaka kwa kupoteza Jumba na Nusu ya utajiri wake, mtalaka adai Pep alikuwa bize na mpira

Hao wajinga waangalie upya hzo sheria zao,kwanini wanawake wanakuwa wanachukua kikubwa?,kwanini wasipewe robo?
 
Anaitwa Prof. Achraf Hakimi
 
Ndio maana Christiano Ronaldo hataki kuoa yeye ni kuzaa tu. Ana watoto watano sasa
 
Wanawake wana mambo ya ajabu mno.

Mtu yupo busy kutafuta mkate wa familia,

Yeye anadai mume hana muda nae,

Jamaa angaecha kazi akae nae pia angaachana nae kwakuwa angemuona ni mtu asiye na malengo.
 
Halafu kwa sababu mbovu na ya kijinga.
 
Nilikwisha sema na nitaendelea kusema, wanawake japo ni mama,dada,shangazi na ni watoto wetu lakini ni chanzo za matatizo mengi hapa duniani. Wana ushetani ndani yao..ndio maana nimeanza kuwaelewa waPakstani kwa sera zao kuhusu wanawake.
Kabisa . Kiimani hata Hawa (Eva) alileta matatizo alipokula tunda . Leo hii tungekuwa tunaishi peponi
 
Bora huko wanaomba talaka mgawane..
Huku wanakunyonga ili wachukie vyote.
 
Ndoa za kikristo ni pasua kichwa

Mwanaume unahangaika weee alafu kizembe tu inatokea kma hivi
 
Hiyo sababu ilivyotolewa mtu anaweza akadhani labda Pep alikuwa ni shabiki tu wa mira hivyo aliuwa akishinda vibanda umiza.
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†Wanaume tusipoamua kujipigania tutakufa mapema zaidi
 
Daah mimi nimezinguana tuu na mchepuko wangu tulojuana miezi mitatu naumia hivi [emoji23] sasa Pep miaka 30 sijui anapitia hali gani maana broken heart na mali
 
Nusu ya utajiri wake umepotea, WTF!!!
 
Kwa sasahivi inaonekana wanawake wana win, lakini kuna mbegu mbaya sana inapandikizwa katka jamii kuona ubaya na madhara ya ndoa.

Miaka michache baadae wanawake watazitafuta hizi ndoa kwa tochi na hata hizihizi serikali zitarekebisha sheria zake ili kuchochea wanaume kuingia kwenye ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ