Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Nina hakika miaka kadhaa mbele kutakuwa hakuna kuoana tena. Watu wataishi kisela tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hasira anamalizia pale kama sio 4+Jumapili naipa Ipswich win kudadeki
Kuoana kupo tu mzee,sema kujiongeza katika mirathi ndipo watu watajiongezaNina hakika miaka kadhaa mbele kutakuwa hakuna kuoana tena. Watu wataishi kisela tu.
Ulaya wana sheria za kiboya sana
Anaitwa Prof. Achraf HakimiWanawake kuna wakati hata hawaeleweki wanataka nini! Kwa hiyo baada ta kutengana ndiyo atampata mtu atakayekuwa naye muda wote? Yaani hata akitaka kwenda chooni kukata gogo, ataenda naye!! Au ataendelea kuishi maisha yaleyale?
Ubinafsi tu na tamaa ndiyo sababu ya talaka hapo. Hakuna kingine. Hapa ndipo Pepp Guardiola atamkumbuka yule mchezaji wa Morocco anayechezea PSG.
Halafu kwa sababu mbovu na ya kijinga.Wote tulishangaa. Kwa mara ya kwanza katika maisha yake kama kocha alicheza michezo 11 bila ushindi. Nini kilimpata Pep Guurdiola. A Football genious!
Kumbe kuna vita kubwa nyumbani alikuwa anaipigana. Nyumbani kunapokuwa na ufa hakuna ambacho kitaenda sawa.
Just imagine kuishi na mtu kwa miaka thelathini, kula pamoja, kulala pamoja na mambo mengine mengi kisha inatokea ulazima wa kuachana. Haiwezi kuwa rahisi!
Ni bahati mbaya tu huwa tunaona hitimisho la mapambano ya nyumbani ila sio mwanzo wake.
Mbali na mbinu na uhodari wake, Pep alibaki kuwa binadamu mwenye kuhitaji upendo na faraja.
Pengine alivikosa nyumbani, akapoteza ufanisi kazini, hatukuona kingine zaidi ya vipigo na kuyumba kwa team yake!
Baada ya miaka 30 ya ndoa, Pep Gurdiola kaachana na mke wake.
Kabisa . Kiimani hata Hawa (Eva) alileta matatizo alipokula tunda . Leo hii tungekuwa tunaishi peponiNilikwisha sema na nitaendelea kusema, wanawake japo ni mama,dada,shangazi na ni watoto wetu lakini ni chanzo za matatizo mengi hapa duniani. Wana ushetani ndani yao..ndio maana nimeanza kuwaelewa waPakstani kwa sera zao kuhusu wanawake.
Sahihi kabisa mkuu.Kabisa . Kiimani hata Hawa (Eva) alileta matatizo alipokula tunda . Leo hii tungekuwa tunaishi peponi
Kuna muda wanawake huwa wanajiona walikuwa na mchango mkubwa sana kuliko uhalisiaAlikuwa busy na mpira!!!!?? Mae-mae walahi. Hizo mali alizozipata kama mgao zimetokana na nini?
Hiyo sababu ilivyotolewa mtu anaweza akadhani labda Pep alikuwa ni shabiki tu wa mpira hivyo alikuwa akishinda vibanda umiza.Kuna muda wanawake huwa wanajiona walikuwa na mchango mkubwa sana kuliko uhalisia
😆😆😆😆Wanaume tusipoamua kujipigania tutakufa mapema zaidiHiyo sababu ilivyotolewa mtu anaweza akadhani labda Pep alikuwa ni shabiki tu wa mira hivyo aliuwa akishinda vibanda umiza.
Poor Pep ...Pray for Pep View attachment 3204754
Soma pia
Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...www.jamiiforums.com