Pep Guardiola amekamilisha talaka kwa kupoteza Jumba na Nusu ya utajiri wake, mtalaka adai Pep alikuwa bize na mpira

Pep Guardiola amekamilisha talaka kwa kupoteza Jumba na Nusu ya utajiri wake, mtalaka adai Pep alikuwa bize na mpira

Hao wajinga waangalie upya hzo sheria zao,kwanini wanawake wanakuwa wanachukua kikubwa?,kwanini wasipewe robo?
 
Wanawake kuna wakati hata hawaeleweki wanataka nini! Kwa hiyo baada ta kutengana ndiyo atampata mtu atakayekuwa naye muda wote? Yaani hata akitaka kwenda chooni kukata gogo, ataenda naye!! Au ataendelea kuishi maisha yaleyale?

Ubinafsi tu na tamaa ndiyo sababu ya talaka hapo. Hakuna kingine. Hapa ndipo Pepp Guardiola atamkumbuka yule mchezaji wa Morocco anayechezea PSG.
Anaitwa Prof. Achraf Hakimi
 
Ndio maana Christiano Ronaldo hataki kuoa yeye ni kuzaa tu. Ana watoto watano sasa
 
Wanawake wana mambo ya ajabu mno.

Mtu yupo busy kutafuta mkate wa familia,

Yeye anadai mume hana muda nae,

Jamaa angaecha kazi akae nae pia angaachana nae kwakuwa angemuona ni mtu asiye na malengo.
 
Wote tulishangaa. Kwa mara ya kwanza katika maisha yake kama kocha alicheza michezo 11 bila ushindi. Nini kilimpata Pep Guurdiola. A Football genious!

Kumbe kuna vita kubwa nyumbani alikuwa anaipigana. Nyumbani kunapokuwa na ufa hakuna ambacho kitaenda sawa.

Just imagine kuishi na mtu kwa miaka thelathini, kula pamoja, kulala pamoja na mambo mengine mengi kisha inatokea ulazima wa kuachana. Haiwezi kuwa rahisi!

Ni bahati mbaya tu huwa tunaona hitimisho la mapambano ya nyumbani ila sio mwanzo wake.

Mbali na mbinu na uhodari wake, Pep alibaki kuwa binadamu mwenye kuhitaji upendo na faraja.

Pengine alivikosa nyumbani, akapoteza ufanisi kazini, hatukuona kingine zaidi ya vipigo na kuyumba kwa team yake!

Baada ya miaka 30 ya ndoa, Pep Gurdiola kaachana na mke wake.
Halafu kwa sababu mbovu na ya kijinga.
 
Nilikwisha sema na nitaendelea kusema, wanawake japo ni mama,dada,shangazi na ni watoto wetu lakini ni chanzo za matatizo mengi hapa duniani. Wana ushetani ndani yao..ndio maana nimeanza kuwaelewa waPakstani kwa sera zao kuhusu wanawake.
Kabisa . Kiimani hata Hawa (Eva) alileta matatizo alipokula tunda . Leo hii tungekuwa tunaishi peponi
 
Bora huko wanaomba talaka mgawane..
Huku wanakunyonga ili wachukie vyote.
 
Ndoa za kikristo ni pasua kichwa

Mwanaume unahangaika weee alafu kizembe tu inatokea kma hivi
 
Daah mimi nimezinguana tuu na mchepuko wangu tulojuana miezi mitatu naumia hivi [emoji23] sasa Pep miaka 30 sijui anapitia hali gani maana broken heart na mali
 
Nusu ya utajiri wake umepotea, WTF!!!
 
Kwa sasahivi inaonekana wanawake wana win, lakini kuna mbegu mbaya sana inapandikizwa katka jamii kuona ubaya na madhara ya ndoa.

Miaka michache baadae wanawake watazitafuta hizi ndoa kwa tochi na hata hizihizi serikali zitarekebisha sheria zake ili kuchochea wanaume kuingia kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom