uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Ferguson kwangu sio kocha bora.
- Wakati wake ushindani ulikuwa mdogo, alikuwa anapata challenge kutoka kwa Arsenal ya Wenger pekee.
- Alikuwa na uwezo mkubwa wa kiuchumi, Man Utd ilikuwa na uwezo wa kumsajili mchezaji yeyote mzuri inayomuona toka timu pinzani, kama Berbatov toka Spurz, na Rooney toka Everton, hivyo kuwapunguza nguvu washindani wake.
- Fitna na Uingereza wake, alikuwa ana influence mpaka kwa marefa, na chama chao cha mpira.
Hivi unamlinganishaje MTU aliyefundisha vilabu 3 tofauti kwa Nchi 3 tofauti na kumlinganisha na MTU aliyefundisha club mmoja tu tena ya Nchi mmoja.
Its madness
Sir Alex aliipenda kazi yake na aliweka viwango vya juu kwa kila mchezaji ku archive
Nilikuuliza ni mechi gani toka uanze kufuatilia mpira enzi za fergie ilipendelewa sidhani km utasema
Fergie alijitafuta sana misimu ya mwanzo united alimanusura United iporomoke daraja
Kafuatilia game ya man utd vs chelsea yupo webb kati[emoji23]
Sisemi fergie alipendelewa or ni kocha mbovu ila naamini pep leo anaenda kuchukua position ya fergie na si kwasababu tu ya uefa no!! The man is genius!!! Amedominate mpira wa epl kitu kilichokuwa kigumu na ametuachia xavi ten hag na arteta we call it legacy!!!
Mechi hazizidi tatu web alizoboronga
Ten hag sio zao la Pep mtoe apo
Xavi bado yule, arteta ndio usiseme
Kwanini ten hag sio zao la pep na arteta ni zao la pep??
PEP ni bora......lakini Ferg nj bora zaidi.....pep Ana mbinu lakin anasidiwa na top quality player.
Ten hag alijitafuta mwenyewe na Bayern alienda timu ya vijana yeye km yeye Bayern
Km unaifatilia Barcelona ,xavi bado hajawa kocha mzuri
Arteta unamwamini yule?[emoji16]
Xavi hajawa kocha mzuriii bro mmmh unazingua . Xavi toka anafundisha ile timu ya huko uarabuni final game ya fifa club world cup ile timu the way ilivyokuwa inacheza [emoji91][emoji91]! Arteta kaonyesha ni kocha bora this season huwezi kubisha kwa hali iliyokuwa nayo arsenal ! Wenger misimu ya mwisho uefa alikuwa hacheziii now arteta ndo kairudisha arsenal kwenye ubingwa wao wa top 4. Vipi na kompany na burnley ilikuwa inacheza mpira wa butua krosii kona goli now inavyocheza ni tofauti kabisa
Kuna mtu asiyependa kazi yake ?!!! Fergie alipata bahati crop ya talent kubwa ilipanda kwa wakati mmoja kutoka academy; Kina Gigs, Scholes, Gary Neville wote walipanda kutoka academy kwahio walikuwa wanamsikiliza ipasavyo, na hio ndio ilipelekea hata David Berkamp kutokana na U-Prima Donna wake na kuwa kwenye media kwa sana na kumuoa star Victoria walikuwa wana-crash na Sir Alex..., Point yangu ni kwamba sasa hivi ni vigumu sana kuwa mkali kwa ma-star unaweza kujikuta Kazi inaota mizizi kama Gullit alivyomuweka Bench Allan Shearer au kama kule Liverpool ubishane na Michael Owen au Steven Gerald...; Wachezaji mastar kuwamanage ni vigumu hususan ukiwa mkali sana ni rahisi ku-backfire especially siku hiziSir Alex aliipenda kazi yake na aliweka viwango vya juu kwa kila mchezaji ku archive
It's a well-established idea among football fans that there's something called "Fergie time" - an extra helping of added time when Sir Alex Ferguson's team, Manchester United, are losing. But does it really exist?Nilikuuliza ni mechi gani toka uanze kufuatilia mpira enzi za fergie ilipendelewa sidhani km utasema
Fergie alijitafuta sana misimu ya mwanzo united alimanusura United iporomoke daraja
Hata Pep anaingia fainali kwa sababu timu nyingi kubwa haziko kwenye Pick.Kazi ya zidane haijaonekana Uefa cups wanasema he was lucky kikosi kilikuwa kwenye pick na timu nyingi ulaya hazikuwa kwenye pick
Sina hakika na hao anaowashinda ILA tambua tu, zama hizi sio zama za mpira niliowahi kuuona mimi nikiwa shabiki!Ameshinda EPL tano ndani ya miaka sita aliyokuwepo Uingereza, huyu mtu ni superhuman!.
Hakuna cha Superhuman wala nini.Ukwasi hauchezi mpira myfriend!.
Guardiola ameleta mapinduzi ya football kwenye pitch, kama ni suala la ukwasi, siku hizi timu nyingi zina pesa, lakini mbona zote hizo zinashindwa kucheza mpira wenye mafanikio kama wa Guardiola?
Ameshinda EPL tano ndani ya miaka sita aliyokuwepo Uingereza, huyu mtu ni superhuman!.
Nionavyo, akienda PSG ndio ataifanya ile ligi ya France iwe one sided ever, kama ameweza kuituliza EPL pamoja na uwepo wa wajuaji wengi, kwa ligi ya Ufaransa ndio hata usiulize!.
Na sio hilo tu, quality ya mpira imeshuka sana ukifananisha na miaka mingi nyuma!Hata Pep anaingia fainali kwa sababu timu nyingi kubwa haziko kwenye Pick.
Namaanisha CL ya mwaka huu ni dhaifu.
Unamaanisha kuwa KDB ndio alikuwa mchezaji pekee? Timu ilikuwaje yenye mchezaji mmoja?Nguvu ya pesa ipi ? Hivi pep ametembelea timu gani iliyoundwa na wengine mmmh bro unafuatilia mpira kweli?? Pep pale man city amemkuta kdb pekee ake wengine wote kasajili yeye! Nitajie mchezaji ambae hajasajiliwa na pep?