Pep Guardiola: Huwa nacheka sana wakisema Ronaldo anahama club kutafuta ili changamoto

Yaani aache man city ambapo analipwa vzr aende Aston villa ambako atalipwa kidg, ile kazi sio kutafuta kuonekana bora.
Pia unaweza ukawa bora ukakosa vitendea kazi mwisho ukaonekana hauko bora
Kwahiyo wewe ulitaka Ronaldo aache kwenda Juve anapolipwa pesa nyingi aende Torino atakapolipwa kidogo? [emoji3][emoji3]
 
Unatakiwa kufikiria kauli kabla ujajibu, sidhani ka amesema Ronaldo sio bora. Ila nilichomwelewa kua usimpime ubora wa Ronaldo kwa kuhama timu na kuchukua makombe ila mpime kwa kuangalia anachokifanya, kwenye makombe ni mchango wa timu nzima.

Ndo maana akatoa na mfano wa Danilo kua alichukua akiwa na Madrid, city na Juve ko hicho akiwezi kumfanya kua ni mchezaji bora.
Inawezekana wewe ndio hujamuelewa Pep, kasome tena kwa makini bila kupepesa macho wala kuwaza waza mambo mengine yasiyo ya msingi.

Utaelewa kuwa Pep anaponda uwezo wa kijana........kwa nini Ronaldo aende timu zenye kiwango cha chini wakati yeye ni super talented? ..

Ndio maana wadau wameshauri na yeye aende akaifundishe Norwich au Aston Villa hadi zichukue EPL, UEFA na FA....na sio kuzunguka kwenye timu bora tu.
 
Unatakiwa kufikiria kauli kabla ujajibu, sidhani ka amesema Ronaldo sio bora. Ila nilichomwelewa kua usimpime ubora wa Ronaldo kwa kuhama timu na kuchukua makombe ila mpime kwa kuangalia anachokifanya, kwenye makombe ni mchango wa timu nzima.

Ndo maana akatoa na mfano wa Danilo kua alichukua akiwa na Madrid, city na Juve ko hicho akiwezi kumfanya kua ni mchezaji bora.
Binafsi alichoongea hakiingii akilini.

Kwanini? Tubase kwenye mfano wa Danilo alioutoa, Danilo kiwango chake hakijawahi kua na consistency, sasa hivi yupo Juve lakini anacheza? Anapata namba? Namba yake inachezwa na midfielde Cuadrado.

Kiwango chake ni kibovu kiasi wao wenyewe City walimtupa.

Turudi kwa Ronaldo. Kiwango chake unakionaje? Msimu huu ana zaidi ya magoli 30 yupo yeye, Lewandowski na Immobile katika hiyo level.

ROnaldo timu ikiwa inachukua ndoo na yeye mchango wake utauona. Hivyo haendi tu kujaza nafasi kwenye benchi, kiwango chake kinaongea. Sasa muulizs Guardiola mara ya mwisho UEFA alichukua na timu gani na nini kinamzuia nyakati hizi.
 
Maoni ya Pep Guardiola juu ya Cristiano Ronaldo kushinda taji la EPL, La Liga na serie A:

"Hakuna cha kushangaza juu ya hilo, Danilo alishinda EPL na sisi (Manchester), Kashinda la liga na Madrid na akashinda Serie A na Juventus .... ikiwa unachukua mchezaji kutoka ligi ya chini zaidi duniani na unampeleka Juventus, ninaweza kukuhakikishia msimu ujao atakuwa na medali ya Ubingwa shingoni mwake.

"Aaron Ramsey alijiunga na Juventus msimu uliopita na hivi leo ana medali, Juventus ikishinda Serie A sio habari mpya kwetu.

"Nikisikia kuwa mchezaji anajiunga na Bayern Munich au Celtic na kusema anatafuta changamoto, nacheka maoni kama hayo."
Akafundishe Aston Villa tuone kama nae ataonyesha ubora wake
 
Yaani aache man city ambapo analipwa vzr aende Aston villa ambako atalipwa kidg, ile kazi sio kutafuta kuonekana bora.
Pia unaweza ukawa bora ukakosa vitendea kazi mwisho ukaonekana hauko bora

Sasa why anataka ronaldo aende timu ndogo.. ama ligi ndogo ambazo timu zake hazimlipi vizuri..

Mshahara anaolipwa ronaldo na juventus anaweza akalipwa na timu gani kwa umri wake
 
Maoni ya Pep Guardiola juu ya Cristiano Ronaldo kushinda taji la EPL, La Liga na serie A:

"Hakuna cha kushangaza juu ya hilo, Danilo alishinda EPL na sisi (Manchester), Kashinda la liga na Madrid na akashinda Serie A na Juventus .... ikiwa unachukua mchezaji kutoka ligi ya chini zaidi duniani na unampeleka Juventus, ninaweza kukuhakikishia msimu ujao atakuwa na medali ya Ubingwa shingoni mwake.

"Aaron Ramsey alijiunga na Juventus msimu uliopita na hivi leo ana medali, Juventus ikishinda Serie A sio habari mpya kwetu.

"Nikisikia kuwa mchezaji anajiunga na Bayern Munich au Celtic na kusema anatafuta changamoto, nacheka maoni kama hayo."
Yeye mbona haendi fundisha stoke city na kubeba ubingwa bali anaenda kwenye ubora?
 
Unatakiwa kufikiria kauli kabla ujajibu, sidhani ka amesema Ronaldo sio bora. Ila nilichomwelewa kua usimpime ubora wa Ronaldo kwa kuhama timu na kuchukua makombe ila mpime kwa kuangalia anachokifanya, kwenye makombe ni mchango wa timu nzima.

Ndo maana akatoa na mfano wa Danilo kua alichukua akiwa na Madrid, city na Juve ko hicho akiwezi kumfanya kua ni mchezaji bora.
Ronaldo ni bora wala haina ubishi. Sio vilabuni tu hata timu ya taifa kaibeba
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Akili kubwa hii Mkuu. Jibu ni kwamba hawakuzisaidia timu husika kama CR7 vinginevyo nao wangesikika sana katika vyombo vya habari mbali mbali duniani vinavyojihusisha na soccer, ni wivu tu.

Hao anaowataja kama Individual player wameweza kuisadia timu kama Ronaldo? Maana kunawachezaji ligi inaanza mpaka inaisha hajacheza na timu ikishinda anavalishwa medali ya ushindi kama club. Aache wivu na aache "kutufokea" alisikika shabiki mmoja.
 
Sasa why anataka ronaldo aende timu ndogo.. ama ligi ndogo ambazo timu zake hazimlipi vizuri..

Mshahara anaolipwa ronaldo na juventus anaweza akalipwa na timu gani kwa umri wake
Kumbe pointi kuhama timu sio kigezo cha muhimu ka unafanya kazi yako ipasavyo.
Dan Alves timu zote alizopita amechukua makombe. Kucheza ligi moja haikuondolei ubora wako
 
Back
Top Bottom