Kwahiyo wewe ulitaka Ronaldo aache kwenda Juve anapolipwa pesa nyingi aende Torino atakapolipwa kidogo? [emoji3][emoji3]Yaani aache man city ambapo analipwa vzr aende Aston villa ambako atalipwa kidg, ile kazi sio kutafuta kuonekana bora.
Pia unaweza ukawa bora ukakosa vitendea kazi mwisho ukaonekana hauko bora
Na yeye aende Genk kuthibitisha ubora wakeYupo sawa. Kama Ronaldo anatafuta changamoto basi ajiunge na Aston villa.
Hata yeye akafundishe Norwich.Yupo sawa. Kama Ronaldo anatafuta changamoto basi ajiunge na Aston villa.
Sanasana mashabiki wa man uMbumbumbu hawawezi kumuelewa alichozungumza ila watabaki na ushabiki tu
Sure akafundishe Norwich au aston villaNa yeye akafundishe Norwich sasa ili tumuone uwezo wake
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Kwani anachosema Ni uongo?Mbona kama ameumizwa na mafanikio ya Ronaldo.
Inawezekana wewe ndio hujamuelewa Pep, kasome tena kwa makini bila kupepesa macho wala kuwaza waza mambo mengine yasiyo ya msingi.Unatakiwa kufikiria kauli kabla ujajibu, sidhani ka amesema Ronaldo sio bora. Ila nilichomwelewa kua usimpime ubora wa Ronaldo kwa kuhama timu na kuchukua makombe ila mpime kwa kuangalia anachokifanya, kwenye makombe ni mchango wa timu nzima.
Ndo maana akatoa na mfano wa Danilo kua alichukua akiwa na Madrid, city na Juve ko hicho akiwezi kumfanya kua ni mchezaji bora.
Binafsi alichoongea hakiingii akilini.Unatakiwa kufikiria kauli kabla ujajibu, sidhani ka amesema Ronaldo sio bora. Ila nilichomwelewa kua usimpime ubora wa Ronaldo kwa kuhama timu na kuchukua makombe ila mpime kwa kuangalia anachokifanya, kwenye makombe ni mchango wa timu nzima.
Ndo maana akatoa na mfano wa Danilo kua alichukua akiwa na Madrid, city na Juve ko hicho akiwezi kumfanya kua ni mchezaji bora.
Akafundishe Aston Villa tuone kama nae ataonyesha ubora wake
Maoni ya Pep Guardiola juu ya Cristiano Ronaldo kushinda taji la EPL, La Liga na serie A:
"Hakuna cha kushangaza juu ya hilo, Danilo alishinda EPL na sisi (Manchester), Kashinda la liga na Madrid na akashinda Serie A na Juventus .... ikiwa unachukua mchezaji kutoka ligi ya chini zaidi duniani na unampeleka Juventus, ninaweza kukuhakikishia msimu ujao atakuwa na medali ya Ubingwa shingoni mwake.
"Aaron Ramsey alijiunga na Juventus msimu uliopita na hivi leo ana medali, Juventus ikishinda Serie A sio habari mpya kwetu.
"Nikisikia kuwa mchezaji anajiunga na Bayern Munich au Celtic na kusema anatafuta changamoto, nacheka maoni kama hayo."
Yaani aache man city ambapo analipwa vzr aende Aston villa ambako atalipwa kidg, ile kazi sio kutafuta kuonekana bora.
Pia unaweza ukawa bora ukakosa vitendea kazi mwisho ukaonekana hauko bora
Yupo sawa. Kama Ronaldo anatafuta changamoto basi ajiunge na Aston villa.
Ukakate viuno siomkuuHatamimi nikisajiliwa Celtic, Juve au Bayern, baada ya msimu nakua na medali ya Ligi Kuu
Yeye mbona haendi fundisha stoke city na kubeba ubingwa bali anaenda kwenye ubora?
Maoni ya Pep Guardiola juu ya Cristiano Ronaldo kushinda taji la EPL, La Liga na serie A:
"Hakuna cha kushangaza juu ya hilo, Danilo alishinda EPL na sisi (Manchester), Kashinda la liga na Madrid na akashinda Serie A na Juventus .... ikiwa unachukua mchezaji kutoka ligi ya chini zaidi duniani na unampeleka Juventus, ninaweza kukuhakikishia msimu ujao atakuwa na medali ya Ubingwa shingoni mwake.
"Aaron Ramsey alijiunga na Juventus msimu uliopita na hivi leo ana medali, Juventus ikishinda Serie A sio habari mpya kwetu.
"Nikisikia kuwa mchezaji anajiunga na Bayern Munich au Celtic na kusema anatafuta changamoto, nacheka maoni kama hayo."
Una wivu mkuuNimemuelewa vizuri. Anaowacheka ni hao wanaosema R7 anaendaga kutafuta changamoto. Mfano akitoka hapo aende PSG, ni changamoto gani anayoenda kuitafuta?
Ronaldo ni bora wala haina ubishi. Sio vilabuni tu hata timu ya taifa kaibebaUnatakiwa kufikiria kauli kabla ujajibu, sidhani ka amesema Ronaldo sio bora. Ila nilichomwelewa kua usimpime ubora wa Ronaldo kwa kuhama timu na kuchukua makombe ila mpime kwa kuangalia anachokifanya, kwenye makombe ni mchango wa timu nzima.
Ndo maana akatoa na mfano wa Danilo kua alichukua akiwa na Madrid, city na Juve ko hicho akiwezi kumfanya kua ni mchezaji bora.
Tunaangalia ubora. Mshahara pembeni kwanza.Mshahara wa ronaldo unalipa timu nzima aston villa
Hao anaowataja kama Individual player wameweza kuisadia timu kama Ronaldo? Maana kunawachezaji ligi inaanza mpaka inaisha hajacheza na timu ikishinda anavalishwa medali ya ushindi kama club. Aache wivu na aache "kutufokea" alisikika shabiki mmoja.
Kumbe pointi kuhama timu sio kigezo cha muhimu ka unafanya kazi yako ipasavyo.Sasa why anataka ronaldo aende timu ndogo.. ama ligi ndogo ambazo timu zake hazimlipi vizuri..
Mshahara anaolipwa ronaldo na juventus anaweza akalipwa na timu gani kwa umri wake
Kauli kama hizi na kama kweli kasema basi jamaa mtupu. Kumbe anabebwaga na timu anazochagua kufundisha.Mkuu Suley2019 unaweza weka source ya hiyo press ya Pep tuisome ama kui check yote?