It's business, kwanini zisiweze?? Kwahiyo unafikiri Napoli hawawezi?? Ronaldo mwenyewe na brand name, akija kwenye timu yako anakuja na fursa nyingi tu za biasharaLazima uangalia kwanza hizo team unazo zitaja zinaweza kulipa ada ya uhamisho ya pound ml.100,zinaweza mlipa 1.5 biltsh kwa weak,na huduma nyinginezo za kironaldo.
Kule kwenye basketball tunaita cake walk.. Choosing an easy path to win trophies.Kuwa dominant kwenye ligi haimaanishi hakuna changamoto.
Kwani mtu akisema natafuta changamoto mpya anamaanisha kuwa anafuata Ugumu wa ligi?
Soka la Italy ni tofauti na la Uingereza na Uhispania vilevile.
Kama Best player ameona ni vyema akaprove ubora wake katika ligi tofauti.
Na imekuwa hivyo katuonyesha
Mkuu mimi hapa simfananishi huyo unayemsema na Ronaldo. Msimamo wangu ni kwamba Ronaldo hastahili sifa kubwa kiivo eti kwasababu ameshinda Serie A na Juve.Ferguson aliwahi kusema "Nipe Zidane na vipande 10 vya mbao na nitakupa CL" kwa nyakati zetu Zidane wetu ni Messi au Ronaldo. Yeyote mwenye huyo mchezaji ana advantage over other teams.
FisadiKuu Ronaldo ana misimu mingapi amecheza CL akiwa na Juve? Danilo akiwa na City? Juve, City na Madrid zikiwa zinachukua ndoo Danilo anakua na misimu mingapi? Anakua anapata namba?
Changamoto ndio mana uko haliko changomoto yake ni pesa pesa anayoipata ni ndogo anataka apate pesa nyingi...muwe mnamuelewa mwamba CR7Nimemuelewa vizuri. Anaowacheka ni hao wanaosema R7 anaendaga kutafuta changamoto. Mfano akitoka hapo aende PSG, ni changamoto gani anayoenda kuitafuta?
Wote hao ni cake walk mkuu.. Ila angalau hata Pep alivyokuja City kuna ushindani EPL kuliko alivyotoka Barca kwenda Munich..Na yeye aende kufundisha brentford awape ubingwa wa UCL[emoji23]
HahahaNa yeye akafundishe Norwich sasa ili tumuone uwezo wake
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Wewe kama kocha mchezaji wa miaka 35 utamuingiza akushindie makombe? Siyo utamleta kwaajili ya maslahi ya kiuchumi? Kwa ninavyojua Jeep wanamlipa mshahara Ronaldo na siyo Juve, means kama siyo Jeep Ronaldo angekua Marekani au China.Nilishasema huko juu, Ronaldo pale Juve he is just decorating his resume. Huwezi seriously kumsifu Ronaldo eti kaishindisha Juve Serie A, ni ukichaa aisee..
Aya hizo comebacks ziliwasaidia nini? Walishinda CL?? Hivi unafikiri Juve ambaye tayari ni dominant EPL angeingia cost za kumnunua Ronaldo na kumlipa mshahara eti ili tu washinde Serie A?? Juve anastruggle sana CL na wanaitaka kwa udi na uvumba sababu pale Italy hawana changamoto yeyote, na hiyo ndio sababu ya kumuongeza Ronaldo kwenye kikosi chao..
Mimi namshindanisha kwakua ndiye Pep aliyemtaja. Asingemtaja ningebaki kuongea ishu za Ronaldo pekee.Mkuu mimi hapa simfananishi huyo unayemsema na Ronaldo. Msimamo wangu ni kwamba Ronaldo hastahili sifa kubwa kiivo eti kwasababu ameshinda Serie A na Juve.
I will personally praise him akiwawezesha Juve kukata kiu yao ya kushinda CL..
Naona kama unajichanyanganya mwenyewe hapa unasema Juve walimnunua CR7 ili washinde CL kule juu unasema CR7 hakua na impact kwenye mataji ya RAM nishike lipi mkuuNilishasema huko juu, Ronaldo pale Juve he is just decorating his resume. Huwezi seriously kumsifu Ronaldo eti kaishindisha Juve Serie A, ni ukichaa aisee..
Aya hizo comebacks ziliwasaidia nini? Walishinda CL?? Hivi unafikiri Juve ambaye tayari ni dominant EPL angeingia cost za kumnunua Ronaldo na kumlipa mshahara eti ili tu washinde Serie A?? Juve anastruggle sana CL na wanaitaka kwa udi na uvumba sababu pale Italy hawana changamoto yeyote, na hiyo ndio sababu ya kumuongeza Ronaldo kwenye kikosi chao..
Ronaldo alitoka Madrid akiwa anawapa mataji. Akiwa sawa na umri huo huo amewapa Portugal Euro Cup, he is older lakini kwa kumeet short targets tena kwa Tournament kwa CL Ronaldo anaweza kusaidia sana tu..Wewe kama kocha mchezaji wa miaka 35 utamuingiza akushindie makombe? Siyo utamleta kwaajili ya maslahi ya kiuchumi? Kwa ninavyojua Jeep wanamlipa mshahara Ronaldo na siyo Juve, means kama siyo Jeep Ronaldo angekua Marekani au China.
Hao uliowataja hawakuwapo wakati Juve anashinda Serie A kabla ya ujio wa Ronaldo??Mimi namshindanisha kwakua ndiye Pep aliyemtaja. Asingemtaja ningebaki kuongea ishu za Ronaldo pekee.
Pep ana majanga yake ya CL anainvest heavily na bado anachapwa na yeye ni anapanga anamtaka nani na nani hamtaki. Ronaldo anaenda kwenye timu tayari ina Danilo kama beki wa Kulia, tayari ina Bernadesch kama AMF, Higuain kama CF mwenzie
Naomba uquote hapa niliposema CR7 hakuwa na impact na mataji aliyochokuwa Madrid.Naona kama unajichanyanganya mwenyewe hapa unasema Juve walimnunua CR7 ili washinde CL kule juu unasema CR7 hakua na impact kwenye mataji ya RAM nishike lipi mkuu
Ndiyo nikasema Ronaldo yupo pale siyo kisa CL kwakua hata Buffon alitoka Juve ili akatafute CL so Juve never wanted Ronaldo ili wachukue CL.Hao uliowataja hawakuwapo wakati Juve anashinda Serie A kabla ya ujio wa Ronaldo??
Ndio sasa uone hiyo ligi ni ya vichaa tu, Ronaldo ashinde CL na Juve hiyo ndiyo changamoto. Changamoto sio kwenda kushinda kombe lilelile wanaloshindaga miaka nenda rudi teh teh teh teh
Mkuu Castr kuwa serious bana teh teh teh teh kwahiyo Ronaldo alifata changamoto ya kuvunja rekodi ya magoli?? Basi ni labda..Ndiyo nikasema Ronaldo yupo pale siyo kisa CL kwakua hata Buffon alitoka Juve ili akatafute CL so Juve never wanted Ronaldo ili wachukue CL.
Juve kawa dominant. Mbona rekodi kaja kuvunja Ronaldo?
Dybala alikuepo, Pirlo alikuepo, Pogba, Higuain, Mandzukic, Costa. Kwanini Ronaldo?
Vipi kama changamoto aliyoifuata ni kuvunja individual records za Juve?
Turudi kwa Danilo?
Umemsoma niliyemjibu?? Yeye alisema tangia Ronaldo aondoke Madrid hakuna walichoachieve..
Kweli sisi ni ushabiki tu, Ila hiyo hoja ingetolewa na kocha wa WATFORD ingeleta kogic Sana, Yaan anachofanya CR7 ndio hichohicho anachofanya kiparangoto wenu Huyu!!!Mbumbumbu hawawezi kumuelewa alichozungumza ila watabaki na ushabiki tu
Binafsi bado sijaona logic ya kukataa kua hakutani na changamoto.Mkuu Castr kuwa serious bana teh teh teh teh kwahiyo Ronaldo alifata changamoto ya kuvunja rekodi ya magoli?? Basi ni labda..
Lakini kwenye ligi yenye plumbers wengi kama wacheza mpira ni kawaida kwa mchezaji kariba ya Ronaldo kufunga mabao yote hayo. Amekuwa akifanya hivyo kila anakopita..
Hivyo hiyo sio changamoto kwangu, ila kwako yaweza kuwa changamoto na wala sitakubishia..
Teh teh teh teh hao akina Mbappe uliowataja walishawahi kufanya maajabu gani CL?? ππππBinafsi bado sijaona logic ya kukataa kua hakutani na changamoto.
Nimekupa mfano wa CL msimu uliopita walipokutana na ATM.
Nimekuonyesha club records anazozivunja.
Nimekuonyesha aina ya wachezaji alionao Juve.
Wewe unazungumzia CL. Ambayo kaicheza akiwa na Juve mara ngapi?
Hii kusema Juve wamemleta Ronaldo kwaajili ya CL ni maoni yako zaidi kuliko uhalisia. Hakuna kocha mwenye lengo hilo halafu achukue mtu wa miaka 35, angemchukua Mbape, Haaland, Milik n.k. ila wewe unasema Ronaldo?
Unataka nione kama vile uwepo wake kwa timu ni CL tu. Sasa mbona anacheza mechi zote? Si angecheza mechi za CL tu au?
Anyway, kama uhai utakuepo tutaona twist labda na akakukamilishia hamu yako.
Katika mpira Mbape ana potential kuliko Ronaldo. Una uhakika kwamba akikufelisha leo kesho atakufanikishia. Ila kwakua wewe hujui hilo ndiyo maana unacheka mimi kumtaja Mbape.Teh teh teh teh hao akina Mbappe uliowataja walishawahi kufanya maajabu gani CL?? ππππ
Kwahiyo kuiondosha ATM CL ndio achievement hiyo?? Kuhusu wachezaji anaocheza nao kwani si ndo hao hao waliokuwa wanaipa Juve makombe na pia hata kuifikisha nusu fainali na fainali ya CL hapo kabla??