Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

Wewe unasema akina Messi, Inesta na Xavi ndio walimfanya Guardiola kuwa bora.
Tafadhari wasikie Telegraph wanavyosema hapo chini:
"Pep Guardiola’s 2008-12 spell in charge of Barcelona was when Xavi truly excelled and won the bulk of his trophies. He translated his manager’s demands and ideas into spellbinding performances on the pitch, managing to record 100 per cent passing accuracy several times when frequently passing the ball over one hundred times per game."

Zingatia maneno yaliyokolezwa wino mweusi. Kabla ya Guardiola Xavi na wengine walikuwepo lakini hawakuwa na ubora kama wakati wa Guardiola.
Source: Xavi: The greatest midfielder of a generation
 
Aliofanya Guardiola yamefanywa na Ancelloti, Mourinho na Zidane.
unaakili kweli wewe...kuna coacher ambaye ameshawahi kuchukua vikombe 11 ktk misimu miwili zaidi ya pep...??
huyo mou ameshakutana na pep Mara kibao naamekuwa akichezea vichapo..kichpo chamwisho nihiki chajuzi ..mlipigiwa Mpira mpka mkataka kuzirai
 
Ranieri, Mourinho, Ancelotti na wengine.. Pep ni above average coach ila sio best kama ambavyo wengi mnadai.
Sasa mkuu Pep kaingia kwenye ukocha rasmi 2008 leo hii ndio anaenda kufikia miaka 10 akiwa kocha.Hao wengine wana miaka zaidi ya 20 wakiwa makocha lakini leo Pep anafananishwa na hao huoni kama Pep ana kitu cha ziada kuliko makocha wengi?.
 
hahaaa wewe Jamaa unasumbuliwa na chuki pamoja na wivu juu ya pep
nawivu juu ya huyo kiumbe utakupatia vidonda mkuu..Hivi ulitegemea kuona luwa league ya EPL anayefuatia ktk nafasi ya pili akiwa ameachwa kwa point 15..huku city ikiwa haijapoteza mechi hata moja mpka sasa...Hivi ulitegemea kumuona rahim sterling huyu wasasa jinsi anavyolisakat kabumbu nakuwa mwiba ktk team pinzani..wakati sterling huyu huyu alikuwa nikituko misimu miwili iliyopita...ifike mahala pep aheshimiwe aiseee...kwanza anamuda mchache mnoo tangu aibuke ktk ulimwengu wa soccer na ameshawaonjesha shubir makocha wote mliokuwa mnawasujudia
pep ni genius
 
Average trainer anawakibiza matrainer wakubwa kama Mournho how come Dude?.
 
Ranieri, Mourinho, Ancelotti na wengine.. Pep ni above average coach ila sio best kama ambavyo wengi mnadai.
hao uliowataja wote hakuna aliyeweza kufikia uwezo wa pep hata kiduchu..kwanza safari yao ya mafanikio imewachukua muda mrefu mnoo mpka kufika hapo walipo nitofauti na pep mwenye miaka michache ktk tasnia ya ucoacher lakini anacho kideliver ni Mara 3 ya uwezo walionao hao uliowataja ..
 
Average trainer anawakibiza matrainer wakubwa kama Mournho how come Dude?.
kapagawa Huyo atakupasuà kichwa achana nae...na makocha wake hao walioishiwa mbinu...haaha mou anaelkea kumaliza mcmu wa pili sasa namsimu wake wakwNza aliumaliza mcmu kwakuifikisha nafasi ya 7..kule Chelsea alitimuliwa kwakutka kuishusha team daraja...then ndio wataka kumfnanisha na pep ..mtu ambaye alimtwanga 5 0 pale Spain ..akamuulize fergie. Wenger.. pep ..ninani atakupa habari yeye uliyehuku bara lagiza huwezi kumfahamu vyema..
 
Wenger hatumii hela nyingi kusajili hafanikiwi mnamponda, Pep katumia pesa nyingi kusajili kafanikiwa Mnamponda....Haters bwana
 
Acha Mpira Uitwe Mpira Kamanda. Kuna Kauli za kimpira wa miguu huwa zina maana kubwa sana. Mfano, "Mpira ni dakika 90", "Mpira unadunda", "Mpira una matokeo matatu yani kufunga, kufugwa au droo" nazingine nyingi.

Sasa, Wewe Endelea Kukariri hivyo hivyo...
 
Mimi nishabiki wa Arsenal ila SAF ndiye mwalimu bora wa muda wote. Alicho archieve na United ni kikubwa zaidi kuliko aliyo archieve pep tangu aanze kufunza soka.
 
Mimi Mshabiki was Arsenal Damu Kocha Bora was Sikh zote in
1.Vincent del Bosque-Aliifundisha Real Madrid ya Zadane,Roberto Carlos,Fernando Hiero,Claude makelele,Steve mackmanamn,nk
Na Wamechukua vikombe Kila Aina Uefa,LA liga,Super Cup Mpaka World cup 2010 Akiwa na Spain!
2.Sir Alex Furguson
3.Fabio Capelo
4.Carlo Ancellotti
5.Pep Guardiola
6.Zinedine Zidane
7.José Mourinho
8.Arsen Wenger
9.Kocha Mkuu wa Ujeruman
10.Kocha wa Atletico Madrid!
 
Mimi nishabiki wa Arsenal ila SAF ndiye mwalimu bora wa muda wote. Alicho archieve na United ni kikubwa zaidi kuliko aliyo archieve pep tangu aanze kufunza soka.
Wengine mnachekesha kiukweli Pep ana miaka tisa kwenye soka.Lakini SAF aliichukua Man u tangu 1987 kama sio 1988 mpaka 2011/2012 katumia miaka zaidi ya 25 ya ukocha wake unamlinganisha na Pep kwelii?.Pep anaweza kuwa kocha mzuri kuliko hata huyo SAF ngoja tumpe miaka 15 halafu utaelewa.
 
hicho ndo nachoipendea epl
 
Dawa ya gadiola ni mou... Mou ndiye aliyemfanya aondoke barca baada ya kupigwa na madrid!! Tukutane raundi ya pili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…