Ronaldo na Messi wanabebwa na ukubwa wa timu walizochezea,lakini ni wachezaji wa kawaida tu.Kumbuka Guardiola anabebwa na utajiri wa timu anazozifundisha kila mchezaji anaemtaka anampata apewe mid table timu tuone (Barcelona, Beyern,now Man city ) hizi clubs ni exceptional.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu zuri sana Kiongozi.Vilabu exceptional vinataka kocha exceptional
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Klopp ana mataji mangapi tangu aanze kufundisha soka?dawa ya POPO GODIOLO ni JAGI KLOPPU
Mbona Ronaldo hajaenda Torino akaipe ubingwa?Mbona haendi timu maskini? Akafundishe Crystal Palace na aipe ubingwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani keshaipa ubingwa Juve?Mbona Ronaldo hajaenda Torino akaipe ubingwa?
Kwanini asiende timu maskini Torino?
Au Messi,si ameshaipa ubingwa Barcelona?
Kwani kocha gan bora akapewa mid table?Kumbuka Guardiola anabebwa na utajiri wa timu anazozifundisha kila mchezaji anaemtaka anampata apewe mid table timu tuone (Barcelona, Beyern,now Man city ) hizi clubs ni exceptional.
Sent using Jamii Forums mobile app
SafiTeam tajiri Man utd anakuja mbere ya City tena kwa mbali, alafu City hajanunua mchezaji hata wa 70? Wakati kuna wengine wameshatumia zaidi ya 200
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] utetezi wako dhaifu, niambie wewe kocha wako bora ni yupi? Afu tumpe Taifa stars tuone ka tutachukua kombe la dunia au hata CAF championship?Huenda kweli ni kocha bora ila pesa nayo inasaidia! Siku nikimuona yupo Levante afu akachukua ubingwa nitamsifu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila anachagua timu zenye hela ili asajili apendavyo.Pep ni wa dunia nyingine
ubora mzuri wa kupima mpambano huamuliwa vizuri pale atakaeshinda mpambano ni nani,hivyo basi hiko ni kipimo kimojawapo cha kuzidiana.
Sio kuangalia makombe ni vizur zaidi?ubora mzuri wa kupima mpambano huamuliwa vizuri pale atakaeshinda mpambano ni nani,hivyo basi hiko ni kipimo kimojawapo cha kuzidiana.
ndio nakubali ila sasa hapo watakuja watakuambia mourinho ni kocha mbovu.
Kocha gani bora alifundisha timu ya kawaida na bajeti ya kawaida?Asilimia kubwa kocha akipewa hela atakayo na wachezaji atakao, mafanikio huja. Kama pep yuko vizuri achukue timu ya kawaida tu kama uliyoitaja kwa bajeti ya kawaida.
Basi tunahitimisha kocha bora anajengwa na pesa.Kocha gani bora alifundisha timu ya kawaida na bajeti ya kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app